Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Hatari Sana.Wenyewe wanapenda siku hizi, wanakwambia kabisa nitafutie mwingine nikushikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari Sana.Wenyewe wanapenda siku hizi, wanakwambia kabisa nitafutie mwingine nikushikie
Kwahiyo kwenye ndoa ya wake wengi dini iliteleza?Miaka hii kuoa wake wengi ni kujitafutia presha na magonjwa tu.
Jibu lako bwanamdogo ni kua wanawake kuvurugana ni dakika 0 tu, kwa akili ya kawaida tu huwezi waweka pamoja watazinguana.
Na wewe kipato kitashuka mno maana ukifanya hilo kwa huyu na yule atataka papo hapo bila kusubiri, wivu wivu wivu , kama hamuoni hawez jua mnaishije atajua tu ana mke mwenza.
Siyo hiyo Dini uliyosema wameruhusu kuoa wake Zaidi ya mmoja.😅ni dhambi kwa mujib gani mkuu?😂wakati ni ruhusa
Lakini salama. 😀😀Hatari Sana.
nimezisoma ndio maana nikakueleza hivyo.Soma hizo data vizuri Kuna swali nitakuuliza
Hizo ni propaganda zao kakanimezisoma ndio maana nikakueleza hivyo.
ndio maana nikasema walisema wamepitisha hiyo sheria ili kusitiri wanawake wajane. Kwahyo sababu ilikuwa ni kuwasitiri wanawake wajane na sio rasilimali za afrika kama wengi tujavyosema. Au sababu ilikuwa ni kuja kuchukua rasilimali.
Dini imeanza leo??Kwahiyo kwenye ndoa ya wake wengi dini iliteleza?
una maana gani mkuu kusema ni propaganda? Unataka kusema hiyo Aya iliandikwa kwa sababu ya kuja kuchukua rasilimali za afrika?Hizo ni propaganda zao kaka
natamani uelewe swali lakn mgumu!Mkuu unapewa majibu ya maana ya swali lako unaishia kutukana!
Ukiwalaza chumba kimoja ikifika saa ya kula mzigo unamtoa mmoja nje? Au mmoja anasikilizia hapo pembeni ukila mzigo! In short haijakaa vizuri, jenga boma mbili hata kama ni karibu karibu, mapenzi ni faragha sio jambo la kushuhudiwa na mtu wa tatu!
huwa yanalala yakitazamana na sio moja unalipaki ndani ya fensi lingine mtaa wa tatu. Unaelewa lakini swali langu?Ukimiliki magari mawili unayaendesha yote kwa wakati mmoja
unataka kusema aibu hii dini haikufikria hilo?Aibu ya HUYU si aibu ya YULE..simple logic
Hapana sishauri kabisa! inatakiwa tulane kwa afya lo sio mwanaume usalandiwe hadi ushindwe kuamka hapana hapanaa!
kwani si wake zake ? Au wametoa na kanuni za kuishi nao baada ya kuwaoa kwamba usilale nao chumba kimoja?Siyo hiyo Dini uliyosema wameruhusu kuoa wake Zaidi ya mmoja.😅
Sijajuanatamani uelewe swali lakn mgumu!
Kama ni swali halali na mume na mke wamekubaliana na dini imeruhusu kuna ugumu gani wa kulala nao pamoja? Yaani kunatokea ugumu wapi wakat tayari mlishakubaliana sijui kama unaelewa au bado?
lakini dini ilitoa maelezo kwamba hiyo ilikuwa kutokana na kipindi kilichokuwepo. Wanawake wengi walikuwa wajana kutokana na vita iliyokuwapo wakati huo. Hivyo ili kuwasitiri ilibidi ipitishwe sheria ya kuwasitiri wanawake hao.Mmoja akipumua huku mwingine anapumua kule! Kuna kulala tena hapo!? Katika hili dini iliteleza sana.