Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hata mimi mwenyewe inanipaga changamoto ila kwa wenye wadau TRA anaweza akachungulia info kupitia namba za usajili. Kisha anakuchukulia contact za mwenye gari unampigia direct.
Its illegal but a working kind of way ambayo baadhi ya madalali wanaitumia kuwapiku madalali wenzao kwenye game.
Its illegal but a working kind of way ambayo baadhi ya madalali wanaitumia kuwapiku madalali wenzao kwenye game.
p aiseeh hapo kuipata gari straight kwa mmiliki ndio changamoto ilipo.
Unaeza kutusaidia mbinu gani tunaweza tumia kuwakepa madalali, kumpata mmiliki moja kwa moja?
Maana unaweza kuta unaliwa zaidi ya 4m na madalali