Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

Gari za Mwanza ni bei chee kweli shida ni wamiliki wa magar huko hawajui kuyatunza
Unakuta gari mtu anatembelea vioo wazi ili aonekane na watu wakat gar ina ac inasababisha ichoke ndani mapema
Unakuta mtu hajui mambo ya kufanya service gari inakufa vipur ye yuko tu anakomaa so unashangaa gari mpya inaanza kumsumbua

Yes gari za mwanza used ni cheap but ukibahatisha ambayo haisumbui shukuru Mungu
AC si inatumia mafuta mengi labda wanashusha vioo kupunguza matumiz ya mafuta kwenye gari
 
Hata mimi mwenyewe inanipaga changamoto ila kwa wenye wadau TRA anaweza akachungulia info kupitia namba za usajili. Kisha anakuchukulia contact za mwenye gari unampigia direct.

Its illegal but a working kind of way ambayo baadhi ya madalali wanaitumia kuwapiku madalali wenzao kwenye game.
Mwamba kweli wewe ni frontier!
Hupoi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiii gari ni moja ila
Madalali tofauti… na bei ni tofauti gap kubwa kabisa

33m vs 38m
 

Attachments

  • 42E64B35-18B9-4C00-AC0A-FC93DF1BBFB8.png
    42E64B35-18B9-4C00-AC0A-FC93DF1BBFB8.png
    3.8 MB · Views: 87
  • 9B900796-33A1-4848-A764-5DAFA4391194.png
    9B900796-33A1-4848-A764-5DAFA4391194.png
    2.7 MB · Views: 86
Back
Top Bottom