babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Wasenge sana madalali.Hivi namna gani serikali inaweza kuwakusanya hawa na kuwarudisha makwao vijijini.Hiii gari ni moja ila
Madalali tofauti… na bei ni tofauti gap kubwa kabisa
33m vs 38m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasenge sana madalali.Hivi namna gani serikali inaweza kuwakusanya hawa na kuwarudisha makwao vijijini.Hiii gari ni moja ila
Madalali tofauti… na bei ni tofauti gap kubwa kabisa
33m vs 38m
Halafu wanaendekeza njaa,kuna mwaka niliuza gari kupitia dalali wa migo pale bila yeye kujua,baadae huko akaja kujua yule mteja aliyomleta ndie niliemuuzia alilalamika sana nimpe hata ya maji lakini ndio ikawa too late,mteja kafika bei niitakayo mimi na tena laki 7 juu,dalali hataki kuuza eti laki 7 ndogo na hapo hapo kwangu ilibidi ale kama 2 hivi,dogo wangu mmoja akachukua namba ya mteja kijanja pale pale,tukamuita docho tukafanya biasharaDsm madalali wengi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahah alafu wanakwambia, AC mpaka unaganda, chuma anaisukuma mwanamke wa kihindi anataka kurudi kwao fasta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]unaweza kuwa sahihi upande wako lakini ukweli ni kwamba soko la magari kwa mwanza na demand ya magari used kwa dar siyo kubwa.
Biashara ya magari used dar imekuwa kubwa mno kiasi cha watu wengi kuwekeza hela ,zao sababu risk ni ndogo mno kulinganisha na faida utayopata maana kupata 2m kama profit kwa gari ni kawaida.
nini kinafanyika?
always watu wenye shida wapo na mtu apatapo shida kubwa humtafuta mtu na kuuza gar yake kwa bei ya hasara tunaita kulengesha hivyo hii gari ikipatikana ni ngumu sana kumfikia mteja bali huuzwa juu kwa juu na dalali mlengaji ambae yeye huinunua na kuirudisha tena sokoni
mfano anaweza nunua gari ist namba dj kwa 6m yeye akairekebisha kidogo kwa kuweka hta laki 5 tu then akaja kuiingiza sokoni kwa 9m mpka 8.5m ikiwa vizuri.
hivyo unavyoona gar zinauzwa kwa bei hyo ndogo mwanza ni kwa sababu demand ya magari si kubwa kama dar na madalali wa huko hawana mitaji mikubwa ya kufanya hyo biashara
talking with eperience
Tupo pamoja.hivyo unavyoona gar zinauzwa kwa bei hyo ndogo mwanza ni kwa sababu demand ya magari si kubwa kama dar na madalali wa huko hawana mitaji mikubwa ya kufanya hyo biashara
talking with eperience
Sukubaliane nawewe zamani watu walikua wanatoka mwanza kuenda Dar kununua magari, ila sasa tredi imebadilika sasa watu wanatoka Dar kuja mwz kufuata hayo magariunaweza kuwa sahihi upande wako lakini ukweli ni kwamba soko la magari kwa mwanza na demand ya magari used kwa dar siyo kubwa.
Biashara ya magari used dar imekuwa kubwa mno kiasi cha watu wengi kuwekeza hela ,zao sababu risk ni ndogo mno kulinganisha na faida utayopata maana kupata 2m kama profit kwa gari ni kawaida.
nini kinafanyika?
always watu wenye shida wapo na mtu apatapo shida kubwa humtafuta mtu na kuuza gar yake kwa bei ya hasara tunaita kulengesha hivyo hii gari ikipatikana ni ngumu sana kumfikia mteja bali huuzwa juu kwa juu na dalali mlengaji ambae yeye huinunua na kuirudisha tena sokoni
mfano anaweza nunua gari ist namba dj kwa 6m yeye akairekebisha kidogo kwa kuweka hta laki 5 tu then akaja kuiingiza sokoni kwa 9m mpka 8.5m ikiwa vizuri.
hivyo unavyoona gar zinauzwa kwa bei hyo ndogo mwanza ni kwa sababu demand ya magari si kubwa kama dar na madalali wa huko hawana mitaji mikubwa ya kufanya hyo biashara
talking with eperience
we lisome kiswahili hivo hivo kama hujaelewa kaa kmya.Shoorom" ndio Nini mkuu😂😂
ok asanteShow room Dar wako cheap zaidi ya Mwanza. Kwa baadhi ya showroom ambazo zina brach Mwanza kama Jan International bei hazitofautiani na Dar
Dar 90% watu ni wezi kila idaraDSM maiisha magumu, na matapeli wengi
Wengi wanataka kutatua shida zao ndani ya muda mfupi
Wasukuma wana tabia ya kuigana, akinunua Masanja kluger na Shija atanunua hiyo hiyoNaona wanazipenda sana, labda kutokana na mazingira yao
Hii inaweza kuwa kweliBidhaa nyingi Mwanza bei rahsi chaka la Kampala linawabeba Sana
Kweli mtani.Wasukuma hawana Njaa wala Dhiki!!
Chukua tahadhari unabishana na dalali kubwa la Dar tena muha[emoji23][emoji23][emoji23]Sukubaliane nawewe zamani watu walikua wanatoka mwanza kuenda Dar kununua magari, ila sasa tredi imebadilika sasa watu wanatoka Dar kuja mwz kufuata hayo magari
daah! Umetuonaje sisi huku mikoani tuchukue ndinga used kutoka dar kwani hatujui dar pia mnadaka ndinga 2nd hand.Magari ya Mwanza mengi yamechoka sana ukilinganisha na ya Dar..magari yanayouzwa Mwanza yametumika Dar kisha yakauzwa huko..inasemekana 70% ya magari yanayoingizwa nchini hubaki Dar..na yanapochoka huuzwa huko mikoani
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji854]mimi nilikua dalali kwa miaka 10 nina uzoefu wa hiyo biashara trendi imebadilika kwabb kuu moja kwa 90% mkoa wa kagera Geita hununua magari yao kampala, ya kichoka kdgo kuyapeleka mwz kuyauza ndo maana bei zimeshuka sanaa ya used mwzChukua tahadhari unabishana na dalali kubwa la Dar tena muha[emoji23][emoji23][emoji23]
Uongo ni mazuri. Mi nilinunua langu huko na Nina miaka miwili wala halina shida youoteOh kumbe sababu ni magari yao mabovu kutokana na utunzaji mbovu. Nashukuru kwa kunielewesha.
Ingawa nina watu wangu kadhaa wamenunu mwanza na zipo very clean… nitaendelea kufuatilia kwa watu wengi zaidi ili nisije kuingizwa chaka na gari zao
Wengine ni matapeli,Habari za asubuhi wakuu.
Kwa muda kidogo nimekua nikifanya utafiti mdogo wa madalali wauzaji wa magari instagram na social media nyingine.
Kuna kitu nimegundua nikaona nijadiliane nipate majibu sahihi.
Nimeona madalali wa mwanza wanauza gari kwa bei rahisi sana ukilinganisha na wa Dar es Salaam (kwa gari zenye specificationa sawa)
Mfano
Toyota crown
Mwanza nakuta nyingi average milion 8 (zinaanza 7m mpaka 10m hivi) ila dar es salaam average milion 11 (zinaanzia 10m mpaka 13m).
Toyota mark x
Mwanza around 5.5m mpaka 7m, ila Dar es salaam around 8m mpaka 11m
Toyota kluger
Mwanza 9m mpaka 14m.. ila Dar es salaam 14 mpaka 18
Toyota harrier tako la nyani
Mwanza 14m mpaka 18m
Dar 16 - 22m
Sasa ndugu zangu naomba kujua sababu ya utofauti huu mkubwa wa bei! Je madalali wa Dar ni kwamba wanapiga cha juu kingi au watu wa mwanza wana pesa sana ndio sababu wanauza bei ndogo?
Maana nimeshawishika kidogo kununua harrier kwa hawa jamaa wa Mwanza maana bei zao kitonga sana.
Nawasilisha
Magari ya mwanza ndiyo habari ya mjini. Mi nilinunua Brevis yangu huko, namba DNS, Lipo poa na Bomba kabisa.
Uongo ni mazuri. Mi nilinunua langu huko na Nina miaka miwili wala halina shida youote