Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

Dsm madalali wengi sana
Halafu wanaendekeza njaa,kuna mwaka niliuza gari kupitia dalali wa migo pale bila yeye kujua,baadae huko akaja kujua yule mteja aliyomleta ndie niliemuuzia alilalamika sana nimpe hata ya maji lakini ndio ikawa too late,mteja kafika bei niitakayo mimi na tena laki 7 juu,dalali hataki kuuza eti laki 7 ndogo na hapo hapo kwangu ilibidi ale kama 2 hivi,dogo wangu mmoja akachukua namba ya mteja kijanja pale pale,tukamuita docho tukafanya biashara
 
unaweza kuwa sahihi upande wako lakini ukweli ni kwamba soko la magari kwa mwanza na demand ya magari used kwa dar siyo kubwa.

Biashara ya magari used dar imekuwa kubwa mno kiasi cha watu wengi kuwekeza hela ,zao sababu risk ni ndogo mno kulinganisha na faida utayopata maana kupata 2m kama profit kwa gari ni kawaida.

nini kinafanyika?
always watu wenye shida wapo na mtu apatapo shida kubwa humtafuta mtu na kuuza gar yake kwa bei ya hasara tunaita kulengesha hivyo hii gari ikipatikana ni ngumu sana kumfikia mteja bali huuzwa juu kwa juu na dalali mlengaji ambae yeye huinunua na kuirudisha tena sokoni

mfano anaweza nunua gari ist namba dj kwa 6m yeye akairekebisha kidogo kwa kuweka hta laki 5 tu then akaja kuiingiza sokoni kwa 9m mpka 8.5m ikiwa vizuri.

hivyo unavyoona gar zinauzwa kwa bei hyo ndogo mwanza ni kwa sababu demand ya magari si kubwa kama dar na madalali wa huko hawana mitaji mikubwa ya kufanya hyo biashara
talking with eperience
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
 
Sukubaliane nawewe zamani watu walikua wanatoka mwanza kuenda Dar kununua magari, ila sasa tredi imebadilika sasa watu wanatoka Dar kuja mwz kufuata hayo magari
 
Sukubaliane nawewe zamani watu walikua wanatoka mwanza kuenda Dar kununua magari, ila sasa tredi imebadilika sasa watu wanatoka Dar kuja mwz kufuata hayo magari
Chukua tahadhari unabishana na dalali kubwa la Dar tena muha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magari ya Mwanza mengi yamechoka sana ukilinganisha na ya Dar..magari yanayouzwa Mwanza yametumika Dar kisha yakauzwa huko..inasemekana 70% ya magari yanayoingizwa nchini hubaki Dar..na yanapochoka huuzwa huko mikoani
daah! Umetuonaje sisi huku mikoani tuchukue ndinga used kutoka dar kwani hatujui dar pia mnadaka ndinga 2nd hand.
 
Chukua tahadhari unabishana na dalali kubwa la Dar tena muha[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji854]mimi nilikua dalali kwa miaka 10 nina uzoefu wa hiyo biashara trendi imebadilika kwabb kuu moja kwa 90% mkoa wa kagera Geita hununua magari yao kampala, ya kichoka kdgo kuyapeleka mwz kuyauza ndo maana bei zimeshuka sanaa ya used mwz
 
Oh kumbe sababu ni magari yao mabovu kutokana na utunzaji mbovu. Nashukuru kwa kunielewesha.

Ingawa nina watu wangu kadhaa wamenunu mwanza na zipo very clean… nitaendelea kufuatilia kwa watu wengi zaidi ili nisije kuingizwa chaka na gari zao
Uongo ni mazuri. Mi nilinunua langu huko na Nina miaka miwili wala halina shida youote
 
Habari za asubuhi wakuu.

Kwa muda kidogo nimekua nikifanya utafiti mdogo wa madalali wauzaji wa magari instagram na social media nyingine.

Kuna kitu nimegundua nikaona nijadiliane nipate majibu sahihi.

Nimeona madalali wa mwanza wanauza gari kwa bei rahisi sana ukilinganisha na wa Dar es Salaam (kwa gari zenye specificationa sawa)

Mfano
Toyota crown
Mwanza nakuta nyingi average milion 8 (zinaanza 7m mpaka 10m hivi) ila dar es salaam average milion 11 (zinaanzia 10m mpaka 13m).

Toyota mark x
Mwanza around 5.5m mpaka 7m, ila Dar es salaam around 8m mpaka 11m

Toyota kluger
Mwanza 9m mpaka 14m.. ila Dar es salaam 14 mpaka 18

Toyota harrier tako la nyani
Mwanza 14m mpaka 18m
Dar 16 - 22m

Sasa ndugu zangu naomba kujua sababu ya utofauti huu mkubwa wa bei! Je madalali wa Dar ni kwamba wanapiga cha juu kingi au watu wa mwanza wana pesa sana ndio sababu wanauza bei ndogo?

Maana nimeshawishika kidogo kununua harrier kwa hawa jamaa wa Mwanza maana bei zao kitonga sana.

Nawasilisha
Wengine ni matapeli,
Anakutamanisha na Bei rahisi ila gari iko mikoani ili ukikolea anakuambia tuma hela ya mafuta uletewe Dar.
 
Back
Top Bottom