Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

Hata mimi mwenyewe inanipaga changamoto ila kwa wenye wadau TRA anaweza akachungulia info kupitia namba za usajili. Kisha anakuchukulia contact za mwenye gari unampigia direct.

Its illegal but a working kind of way ambayo baadhi ya madalali wanaitumia kuwapiku madalali wenzao kwenye game.
p aiseeh hapo kuipata gari straight kwa mmiliki ndio changamoto ilipo.

Unaeza kutusaidia mbinu gani tunaweza tumia kuwakepa madalali, kumpata mmiliki moja kwa moja?

Maana unaweza kuta unaliwa zaidi ya 4m na madalali
 
Hata mimi mwenyewe inanipaga changamoto ila kwa wenye wadau TRA anaweza akachungulia info kupitia namba za usajili. Kisha anakuchukulia contact za mwenye gari unampigia direct.

Its illegal but a working kind of way ambayo baadhi ya madalali wanaitumia kuwapiku madalali wenzao kwenye game.

Ndio raha ya jamii forum, nashukuru sana mkuu hii nji ni nzuri (ingawa yes its illegal) but sioni kama ina effect sana maana hakuna negative consequences kwa mhusika mwenye gari… and besides alikua anataka kuuza hio gari. So its a win-win (yeye ataniuzia gari na mimi nna save cost).
 
Habari za asubuhi wakuu.

Kwa muda kidogo nimekua nikifanya utafiti mdogo wa madalali wauzaji wa magari instagram na social media nyingine.

Kuna kitu nimegundua nikaona nijadiliane nipate majibu sahihi.

Nimeona madalali wa mwanza wanauza gari kwa bei rahisi sana ukilinganisha na wa Dar es Salaam (kwa gari zenye specificationa sawa)

Mfano
Toyota crown
Mwanza nakuta nyingi average milion 8 (zinaanza 7m mpaka 10m hivi) ila dar es salaam average milion 11 (zinaanzia 10m mpaka 13m).

Toyota mark x
Mwanza around 5.5m mpaka 7m, ila Dar es salaam around 8m mpaka 11m

Toyota kluger
Mwanza 9m mpaka 14m.. ila Dar es salaam 14 mpaka 18

Toyota harrier tako la nyani
Mwanza 14m mpaka 18m
Dar 16 - 22m

Sasa ndugu zangu naomba kujua sababu ya utofauti huu mkubwa wa bei! Je madalali wa Dar ni kwamba wanapiga cha juu kingi au watu wa mwanza wana pesa sana ndio sababu wanauza bei ndogo?

Maana nimeshawishika kidogo kununua harrier kwa hawa jamaa wa Mwanza maana bei zao kitonga sana.

Nawasilisha
unaweza kuwa sahihi upande wako lakini ukweli ni kwamba soko la magari kwa mwanza na demand ya magari used kwa dar siyo kubwa.

Biashara ya magari used dar imekuwa kubwa mno kiasi cha watu wengi kuwekeza hela ,zao sababu risk ni ndogo mno kulinganisha na faida utayopata maana kupata 2m kama profit kwa gari ni kawaida.

nini kinafanyika?
always watu wenye shida wapo na mtu apatapo shida kubwa humtafuta mtu na kuuza gar yake kwa bei ya hasara tunaita kulengesha hivyo hii gari ikipatikana ni ngumu sana kumfikia mteja bali huuzwa juu kwa juu na dalali mlengaji ambae yeye huinunua na kuirudisha tena sokoni

mfano anaweza nunua gari ist namba dj kwa 6m yeye akairekebisha kidogo kwa kuweka hta laki 5 tu then akaja kuiingiza sokoni kwa 9m mpka 8.5m ikiwa vizuri.

hivyo unavyoona gar zinauzwa kwa bei hyo ndogo mwanza ni kwa sababu demand ya magari si kubwa kama dar na madalali wa huko hawana mitaji mikubwa ya kufanya hyo biashara
talking with eperience
 
Mkuu nashukuru sana hapa nimekuelewa vizuri. So kwa uzoefu wako sio kwamba magari ya mwanza ni mabovu, bali ishu ya demand kama ulivoelezea hapo juu.

Maana kuna mdau kachangia hapo kuwa mwanza magari mabovu sana ndiyo maana wanauza bei chee… kwa experience yako unaongeleaje hili mkuu?
 
Ni mabovu[emoji777]
Si mabovu[emoji3581]
 
Mkuu nashukuru sana hapa nimekuelewa vizuri. So kwa uzoefu wako sio kwamba magari ya mwanza ni mabovu, bali ishu ya demand kama ulivoelezea hapo juu.

Maana kuna mdau kachangia hapo kuwa mwanza magari mabovu sana ndiyo maana wanauza bei chee… kwa experience yako unaongeleaje hili mkuu?
ubovu wa gari hautokani na eneo/mkoa bali unategemea na matunzo ya mmiliki husika naweza kukubaliana na mhusika kwa hili kwa sababu gari nyingi zinazotumika mwanza huwa znafanya kazi ngumu pia mazingira ya mwanza hope unayajua japo sio issue kama mmiliki atazingatia service hasa miguu.

na gari nyingi za dar nyingi hurekebishwa kwanza,then ndo huingizwa sokoni kwa bei nzuri kiasi cha kwamba ukiambiwa ist ni 9m unakubaliana na wewe mhusika kweli ni ya 9m kutokana na ubora.

na ushauri wangu kwako kama unapenda gari nzuri usifate urahisi bali angalia ubora,sababu unaweza acha gari ya 8m ukafata ya 7m,lakini hiyo ya 7 ikakuingiza gharama mpka 10m na zaid na bado usiinjoi gari
 
Binafsi sina gari ila nachangia kama mkazi wa maeneo ya Mwanza.
Mwanza magari yapo ya hali nzuri sana na kinachofanya bei iwe nzuri ni kwamba watu wa huku wapo real sana na hawapendi ubabaishaji. Biashara nyingi za huku hazipitii kwa dalali. Huku hata kiwanja utakipata kwa bei kamili toka kwa mnunuzi. Wengi wanaamini dalali anaweza kukufanya bidhaa yako isinunulike hara kwa kujipangia bei yake.

Taarifa ya kuuzwa kwa kitu huku unaweza kuipata kwa mtu na huyo mtu akakupa hadi namba za mwenye mali . Kwa daslam kuonana na mwenye mali hiyo ni bahati ya mtende. Kwahiyo niseme tu huku sio gari hata kiwanja ukiuziwa 2M jua ni ndio hiyo pesa imemfikia mwenye kiwanja.
 
Mwanza magari yapo ya hali nzuri sana na kinachofanya bei iwe nzuri ni kwamba watu wa huku wapo real sana na hawapendi ubabaishaji. Biashara nyingi za huku hazipitii kwa dalali. Huku hata kiwanja utakipata kwa bei kamili toka kwa muujazi. Wengi wanaamini dalali anaweza kukufanya bidhaa yako isinunulike haraka kwa kujipangia bei yake.

Taarifa ya kuuzwa kwa kitu huku unaweza kuipata kwa mtu na huyo mtu akakupa hadi namba za mwenye mali . Kwa daslam kuonana na mwenye mali hiyo ni bahati ya mtende. Kwahiyo niseme tu huku sio gari hata kiwanja ukiuziwa 2M jua ni ndio hiyo pesa imemfikia mwenye kiwanja.
 
Binafsi sina gari ila nachangia kama mkazi wa maeneo ya Mwanza.
Mwanza magari yapo ya hali nzuri sana na kinachofanya bei iwe nzuri ni kwamba watu wa huku wapo real sana na hawapendi ubabaishaji. Biashara nyingi za huku hazipitii kwa dalali. Huku hata kiwanja utakipata kwa bei kamili toka kwa mnunuzi. Wengi wanaamini dalali anaweza kukufanya bidhaa yako isinunulike hara kwa kujipangia bei yake.

Taarifa ya kuuzwa kwa kitu huku unaweza kuipata kwa mtu na huyo mtu akakupa hadi namba za mwenye mali . Kwa daslam kuonana na mwenye mali hiyo ni bahati ya mtende. Kwahiyo niseme tu huku sio gari hata kiwanja ukiuziwa 2M jua ni ndio hiyo pesa imemfikia mwenye kiwanja.

Mkuu hapo nashukuru sana. Big up sana kwenu watu wa mwanza
 
Hapo nimekupata mkuu, but how about yale
Magari unakuta halijatumika sana nchini

Lets say namba DYZ, nmekuta harrier mwanza anauza 15m while dar 22m, na wote ni DY

Na pia dar gari hio hio moja unakuta bei tofauti, kuna harrier nmekuta madalali watano kila mtu bei yake 16m, 17.5m, 19m .. na ni gari hio hio
Gari sio tu namba D.. au C... lakini pia utumiaji. Gari hiyo hiyo D ilivyotumika Mwanza inategemea na mtumiaji. Mengi ya used cars Mwanza zimetumika Dar au Zanz. Angalia ubora sio Namba

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Nakubaliana na wewe… namba D au C sio kigezo cha ubora, ila ni moja ya factor ambayo inaangaliwa sana na madalali ku determine bei.

In the end tunaangalia ubora YES

Ndio maana nmetoa mfano hapo juu, nina friends kadhaa wamenunua gari mwanza ziko safi kabisa and very clean kwa bei ndogo

Na kuna walionunua dar kwa bei juu ila ubora hauzidi wa mwanza.. mfano rafki yangu mmoja kanunua harrier 15m mwanza, mwingine 19m dar, cha ajabu ya MwanZa ni kali zaidi
 
Magari ya Mwanza mengi yamechoka sana ukilinganisha na ya Dar..magari yanayouzwa Mwanza yametumika Dar kisha yakauzwa huko..inasemekana 70% ya magari yanayoingizwa nchini hubaki Dar..na yanapochoka huuzwa huko mikoani
usiwe na kayumba ya kukalili wewe mi mwenyewe ñishafatilia hilo swala,magari ya mwanza ni very cheap tena hayajachoka tena ni namba D za karibuni kabisa
 
Back
Top Bottom