wilsonwizzo3
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 625
- 2,704
magari mengi ya Mwanza ni ya wachimba dhahabu wa kutoka kahama,geita na nyamongo, watu wa kule huwa wanashindana kubadili magari hivyo huwa wanauza kwa madalali wa mwanza kwa bei cheap ili wakanunue magari mapya
Supply and demand....Dar wahitaji wengi hivyo wauzaji wana options, Mwanza wahitaji sio wengi hivyo muuzaji ana limited options.
pamoja sana mkuuMzee hapo umemaliza kabisa boss wangu
Shoorom" ndio Nini mkuu😂😂Vp kuhusu shoorom kati ya mwanza&dar
AC si inatumia mafuta mengi labda wanashusha vioo kupunguza matumiz ya mafuta kwenye gariGari za Mwanza ni bei chee kweli shida ni wamiliki wa magar huko hawajui kuyatunza
Unakuta gari mtu anatembelea vioo wazi ili aonekane na watu wakat gar ina ac inasababisha ichoke ndani mapema
Unakuta mtu hajui mambo ya kufanya service gari inakufa vipur ye yuko tu anakomaa so unashangaa gari mpya inaanza kumsumbua
Yes gari za mwanza used ni cheap but ukibahatisha ambayo haisumbui shukuru Mungu
Mwamba kweli wewe ni frontier!Hata mimi mwenyewe inanipaga changamoto ila kwa wenye wadau TRA anaweza akachungulia info kupitia namba za usajili. Kisha anakuchukulia contact za mwenye gari unampigia direct.
Its illegal but a working kind of way ambayo baadhi ya madalali wanaitumia kuwapiku madalali wenzao kwenye game.
Sipoi kama mwamba wa KremlinMwamba kweli wewe ni frontier!
Hupoi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Madalali wa dar ndo wanafanya huu upuuzi wa kupandisha sana bei za magari,yani dalali anaweka mil 2 hadi 3 kwenye gari used bongo ya mil 8 .ila madalali wa mwanza naona hawana tamaa kubwa kama hawa wa dar
Shoorom" ndio Nini mkuu[emoji23][emoji23]
Kuuza magari nayo si kazi?Dsm sehemu moja ambayo imejaa matapeli kuliko sehemu nyingine zote Tanzania
Watu wanataka utajiri bila kufanya kazi, watu wana mambo ya hovyo
Udadali upo kila sehemu . Acha watu waishi mjini
Udadali upo kila sehemu . Acha watu waishi mjini
Kama ni hizi used bongo kabla huzijanunua inabidi uwafollow madalali hata 20 huko instagram ndo unaweza bahatisha ukampata dalali mwenye bei ya chini kidogoHiii gari ni moja ila
Madalali tofauti… na bei ni tofauti gap kubwa kabisa
33m vs 38m
Tapeli naye kafanya kazi, na katumia akili hadi mtu aingie kingiDsm sehemu moja ambayo imejaa matapeli kuliko sehemu nyingine zote Tanzania
Watu wanataka utajiri bila kufanya kazi, watu wana mambo ya hovyo