Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Kumbuka mvua huleta maafa pia,huko Afrika kusini mvua imeleta mafuriko,watu 300,wamefariki,na mvua hiyo imetokea kipindi hiki cha Pasaka.
 
Ewe qumer,huna maarifa yoyote,ulitaka kumjua Muhammad na dini yake,kasome Qur'an...Ila ungekua na maarifa,usingemuabudu yule mungu aliyemtia mimba mama yake ili yeye azaliwe
Mutah boy, Koran ni kakitabu hakafiki ata index ya Biblia ,nimekakariri chote na plus Hadith maelfu na tafsir za kutosha
Usitoke nje ya mada
Tunajadili govi la muhammad na anapitia wanawake wapo bleed alikuwa anamatatizo gani?

When ever Muhammad wanted to fondle any of his wives during the periods (menses), he used to ask her to wear an Izar. Sahih al-Bukhari 303
 
Nyie sikukuu zenu zote si zipo kifuku

Sasa ebu fikiria huu mwezi wa nne waislamu wamefunga, hapa sikukuu ya iddi ni mpaka mwezi wa tano ambapo tayari ni kiangazi.

Hiyo mvua itanyesha vipi?

Halafu mvua si mara zote mvua ni yakuifagilia ikinyesha kwenye sherehe. Kuna siku inaweza nyesha na ikatibua sherehe yenyewe mwisho wa siku ikadula.
Saivi kifuku
 
Mutah boy, Koran ni kakitabu hakafiki ata index ya Biblia ,nimekakariri chote na plus Hadith maelfu na tafsir za kutosha
Usitoke nje ya mada
Tunajadili govi la muhammad na anapitia wanawake wapo bleed alikuwa anamatatizo gani?

When ever Muhammad wanted to fondle any of his wives during the periods (menses), he used to ask her to wear an Izar. Sahih al-Bukhari 303
Mmmmh nasubiri majibuu juu ya huu uchafuu mkubwa
 
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Uchochezi
 
Kwako ni mungu,kwetu sisi ni muumini mwenzetu wa mungu muumba,yakitufika shingoni huwa tunamlilia huyo mungu wetu,Kama mwenzetu yesu alivyomlilia msalabani...mungu wangu mungu wangu mbona umeniacha...we endelea kumuabudu yesu,huna tofauti na wahindu wanaoabudu ng'ombe,wote mnaabudu mamalia
How many times Mohamed wrote in Quran
 
Mungu hajawahi kusema nitawashushia mvua wa dini fulani tu na wengine hapana alisema nitawashushia mvua kutoka juu bila kubagua wewe ni nani halafu kumbuka kuna nchi kama huko England kutwa wanashinda Pub kunywa lakini Mungu anawashushia mvua mpaka wanaichukia. Rizki anapewa kila mtu hata kama humuabudu yeye anagawa rizki.
 
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.

Kwa misimu mizuri tanzania; mwezi wa nne ni mwezi wa Mvua nyingi za masika na hata tarehe za mwisho wa mwaka ni mvua za Vuli kwa maeneo yenye vuli. Hiyo miezi mingine mvua zinakuwepo ila hazina uhakika wa lini zitegemewe
Majibu ya maswali mengine yanahitaji maarifa kidogo tu
 
Hata Mimi nashangaa
Kwanini kila mwezi wa sita kuna baridi.
Geography ni somo zuri sana
 
Ratiba ya kula tubadilishe sisi kuumia waumie wengine mbona nyinyi mnafungisha ndoa jinsia moja kwenye nyumba takatifu hakuna aliyewazuia.
 
Hii ina thibitisha kuwa;

Yesu Kristo ni Mkombozi wa Ulimwengu.

Kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri kuwa Yesu Kristo ni Bwana yaani Mtawala wa Ulimwengu wote.

Kuna Siri kubwa sana katika kuzaliwa, kukua, kuteswa , kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom