Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Kumbuka mvua huleta maafa pia,huko Afrika kusini mvua imeleta mafuriko,watu 300,wamefariki,na mvua hiyo imetokea kipindi hiki cha Pasaka.Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.