Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Mpaka Sasa maeneo ya mbezi beach jua linawaka Kama pasi
 
Huku nilipo mawingu yapo mengi ila jua linayakwepa na kutuunguza[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_0196.jpg
 
Na bahati nzuri nilichokiandika leo Kinajielezea Ndugu. Mvua hazinyeshi nchi nzima na Jua nalo limeshaanza kuwa Kali.
Popoma katika ubora wako, kama wewe upo mtaani kuna haja ya serikali kufunga hospital ya mirembe.
 
Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.

Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Ulijuaje kama leo haitonyesha?!!!
 
Mungu haleti mvua kwa ajili yao wakristo bali hataki kufuru yao katika siku ya krismasi na pasaka,ndio huwa anazuia kwa kuleta mvua ili wasifurahi vizuri kwa nafasi.
Waislam sikukuu zao zote hazina mvua mungu ameridhia washerehekee bila kikwazo baada ya kutekeleza agizo lake la kufunga.
Akili ya kawaida tu,mtu akimwaga maji njia unayopita ili kutengeneza tope ujue huyo hataki upite hiyo njia.Wakristo mungu hapendi krismasi wala pasaka ndio maana huleta mvua ili mazingira yasiwaruhusu kusheherekea kwa uhuru Kama wanavyosheherekea waislam wenye dini ya kweli.
 
Back
Top Bottom