Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uone nn??Tusubiri na kesho tuone.
Huu mchezo hauhitaji hasira sheikh!Uone nn??
Umbea na uzumbukuku unawasumbua sana
Mpaka Sasa maeneo ya mbezi beach jua linawaka Kama pasiSikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.
Mbona makasiriko bwana mudi?Uone nn??
Umbea na uzumbukuku unawasumbua sana
Na bahati nzuri nilichokiandika leo Kinajielezea Ndugu. Mvua hazinyeshi nchi nzima na Jua nalo limeshaanza kuwa Kali.Huu mchezo hauhitaji hasira sheikh!
🤣 🤣 tulia mkuu achana nahuyo jamaa itanyesha tu siunaona mawingu mawingu yalivyo tanda,ngoja tuvumilie kidogo.Uone nn??
Umbea na uzumbukuku unawasumbua sana
Naona unamtia Moyo Kinafiki na kwa Kumsanifu pia. Hongera Ndugu.🤣 🤣 tulia mkuu achana nahuyo jamaa itanyesha tu siunaona mawingu mawingu yalivyo tanda,ngoja tuvumikie kidogo.
Hakuna mtu mwenye akili timamu anaependa sherehe yake kunyeshe mvua labda uwe umefulia unataka upate sababuHuku nilipo mawingu yapo mengi ila jua linayakwepa na kutuunguza[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2209549
Acha uchonganishi, apoulipo kamaupo ndani hebutoka nje alafu angaliajuu, ehe unaona nini? Huoni dalili za mvua" nakuuliza huoni mawingu?.Naona unamtia Moyo Kinafiki na kwa Kumsanifu pia. Hongera Ndugu.
Popoma katika ubora wako, kama wewe upo mtaani kuna haja ya serikali kufunga hospital ya mirembe.Na bahati nzuri nilichokiandika leo Kinajielezea Ndugu. Mvua hazinyeshi nchi nzima na Jua nalo limeshaanza kuwa Kali.
Ulijuaje kama leo haitonyesha?!!!Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania.
Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema kwa Waja wake.