Kwanini nashauriwa nioe?

Mmmh mbona mm nna 28 na sioni tatzo au mimi ndy tatzo [emoji1787][emoji1787]
 
Kuoa ni muda utakaokuwa tayari.
Kuna rafiki yangu mmoja ana miaka 22 na ameoa.
Kwa kuwa ndilo hitaji lake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuoa ni muda utakaokuwa tayari.
Kuna rafiki yangu mmoja ana miaka 22 na ameoa.
Kwa kuwa ndilo hitaji lake.
Me niliwahi sana nilishaishi na mwanamke since nikiwa 18yrs tukaachana nikiwa 21yrs ndo maana hata hawa watu hunishauri nioe kwa kuwa walishaniona nikiishi na mwanamke before
 
Mkuu ni hatari wanachokushauri kwa dunia ya sasa
 
Ikawaje mkuu , ulipita nae mmoja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…