Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kabisa kipo kinachofichwa na siyo ajali, ingekua ni ajali wala hata wasingebembelezwa wasingeisikia sauti ya DC wala OCD wangepokea taarifa kutoka shuleni tuUko sawa kwa maelezo yake huyu kuna linalofichwa, ajali kama ajali haifichwi hivi,kuna jambo na hapo anapouliza swali binti alitokaje shule kwa ruhusa ya nani hapo ndo penyewe,, apeleleze kwa wanafunzi wenzie lazima wapo wanaoijua story,
Pole sana ndugu.
Mazingira ya utolewaji taarifa wa huo msiba unaleta utata kuhusu alivyopata umauti huyo bintiyo (MUNGU amrehemu).
Kesi hii ukitaka kuiendea mwenyewe unaweza pata matatizo maana inavysa ugali wa watu.
Nashauri uende kweye taasisi za haki za binadamu watakusaidia sana.
Walau itarejesha nidhamu na kuwawajibisha wahusika.
Shida unakuta alie sababisha ajali ni mtu mzito.Kaombe mahakama itoe kibali cha kufukua mwili wa marehemu ili ufanyiwe uchunguzi upya
Alafu kama ni ajali mbona hawakua na sababu ya kuficha maana ajali iliyosababisha kifo siyo kuua kwa kukusudia ni manslaughter
Pole sana mkuu kama mzazi inasikitisha sana, tatizo humu mmevamiwa na dot. Com,na vi tiss uchwara ambavyo vinajifanya ni semi God's, nchi imepoteza heshima na adabu yake, iam afraid hii case ina kila dalili itakua ni cold case soon, kama mzazi uamua mwenyewe how to revenge ushenzi na unyama huu, kumbuka kifo cha dada Akwilina, eti risasi imeenda juu na wakati wa kurudi ndio ikamuua ,huu ni uongo wa kinyama, kama upo nje ya royal families sahau haki yako, u need to push back mwenyewe, samahani kwa hili ila ndio ukweli wenyewe, unafiki sio mwema pole sana
Hapa ndipo kuna utataShida unakuta alie sababisha ajali ni mtu mzito.
Au mtoto alikua anetoka kwenda mazingira ambayo hawataki yazungumziwe.
Shule ya girls, boarding siyo rahisi Sana kupata details hasa kwa muda huu mchache tangu tukio litokee.Mkuu hujafanya hata upelelezi huru? Ungeenda mpaka shuleni kiujanja, tafuta wanafunzi wenzake. ...
Shida unakuta alie sababisha ajali ni mtu mzito.
Au mtoto alikua anetoka kwenda mazingira ambayo hawataki yazungumziwe.
Pole sana mkuu ..