Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Natamani sana kujibu kwa Lugha rahisi ,ila changamoto kubwa ni kuwa Upo Ignorant kwenye Dini ya Uislamu....Ila Nitajibu kiurahisi ili ieleweke kama Ifuatavyo.....Uislamu haufundishi kumwaga Damu Aidha kwa vita ,au yale mambo yaliyofanyika ya kigaidi kama yaliyofanywa na kina Osama Bin Laden,au vikundi mbalimbali vya kigaidi ikiwemo ISIS ,Hamas Israel,Al Shabab na vyenginevyo ambavyo wengi huviusisha na Mwenendo wa Uislamu...Osama Bin Laden, na Makundi mengine ya kigaidi ,ni magaidi kama Magaidi wengine ambao wanafanya Ugaidi wao wakijificha nyuma ya pazia la Uislamu ,Mara nyingi Makundi haya ya kigaidi na Magaidi hawa wanafanya mauaji na kusababisha kadhia mbalimbali ikiwemo kulipua Majengo, wakisingizia Wanafanya hivyo kwasababu ni "Jihad"....Maana ya Jihadi ni kupigania Dini ya mwenyezimungu ,Jihadi kubwa katika Uislamu ,ni Jihadi ya Nafsi ,ambayo hii ni Jihadi mtu anayoifanya kwa ajili ya kuzuia nafsi yake isitende matendo maovu, kama kuiba, kuzini ,Kuua nk....Jihadi ndogo ni Jihadi ya kivita ambayo ikilazimika na kukiwa hakuna njia ya kuepusha mmoja anapambania dini yake kwa njia ya Kutumia nguvu(Vitani) pindi inapobidi mfano Vita vingi vilivyopiganwa waislamu walichokozwa na waliwekwa to the point of no return ni aidha wapigane au Dini yao iuliwe moja kwa moja na wapoteze kila kitu ikiwemo Uhai wao(Vita vyote ukisoma "Historia ya Uislamu " utaelewa na sababu zake")...Aina hii ya jihadi ni vita ya uso kwa uso ,jeshi na jeshi, sio kulipua majengo,sio kukamata watu na kuchinja ,sio kujilipua kwenye ndege,sio kulipua magorofa lahasha......Hayo ni matendo ya watu ambao ni magaidi ,na gaidi anaweza kuwa Muislamu au dini nyengine, na akifanya hivyo au wakifanya hivyo ,hata kama wote ni waislamu haimaanishi kuwa Uislamu unafundisha Ugaidi....Tuendelee ,Katika hiyo Jihadi ya Vita ,kuna sheria zipo wakati wa kupigana na baada ya kupigana miongoni mwa sheria ni Kukatazwa Kuharibu au kukata miti au njia yoyote ya kuharibu mazingira,Wanawake hawaruhusiwi Kuuliwa au kufanyiwa uhalifu wowote ,Na pindi adui atakapojisalimisha ,harushusiwi kuuliwa ....Hizo ni baadhi ya Sheria zilizopo katika vita ya Jihadi....Kwa Muhtasari huo ningependa kuhitimisha kukufungua ,kukuambia kuwa Hao Magaidi ambao ni waislam au pengine sio waislam ila wanajificha nyuma ya Mgongo wa Uislamu(Mfano hawa ISIS ni Organization inasemekana inakuwa run by American Government ,it's a propaganda, yeah lakini there must be something in it)..Kwakuhitimisha Hao magaidi mnaowaita waislamu ,though huenda ni waislam ,matendo yao wanafanya kwa Matakwa yao wenyewe ,ila Uislam haufundishi kumwaga Damu wengi wanasingizia ,"JIHADI" ,Lakini baada ya kukuelezea kwa Ufupi maana ya Jihad Utajua kuwa wako Ignorant ,hawajaelewa au wameelewa Ila Ni wanafanya Makusudi wakijificha nyuma ya Kivuli cha Uislamu.Wanafanya Hivyo na wataendelea kufanya hivyo because wanakitu cha kusingizia na Kujustify Ukatili wao ,wakidai wanafanya wachofanya In the Name of Allah and Jihad..."Na watawaaminisha Watu kama wewe kuwa Islam Teaches evil na Muslims are proud killing and bombing innocents, (Hata Atheists hawawezi fanya hiki kitu)"
UKITAKA KUULEWA UISLAMU NI LAZIMA USOME NA NDIO UJUDGE ,UISLAMU HAUFUNDISHWI KWA KUJUDGE CHARACTERS ZA WATU LAHASHA ,UTALETA WRONG CONCLUSIONS...."Kasome FIQH ya Usilamu ,au sheria Katika Dini ya Uislamu au Kasome Historia ya Uislamu".......Islam means Peace ..Maadui wanapambana kuvuruga hii Peace...By the way ISLAM is the Fastest growing religion in the world currently Despite hivyo vitu vyote Ulivyongea ,Vinavyotokea na Vilivyotokea...UKITAKA KUELEWA ZAIDI PLEASE UKASOME USIANGALIE MATUKIO YANAYOTOKEA NCHI ZA KIISLAMU..
 

Attachments

  • Screenshot_20240322-155914_X.jpg
    465.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240322-155914_X.jpg
    465.4 KB · Views: 3


"mfano wetu" pekee na inamaanisha tu kujua Mema na mabaya katika Biblia (Luka 2:52: MUNGU alisamehe dhambi za Yesu na alikuwa "mfadhili" pamoja naye).

Hii inafanya "sura yetu (au mfano)" na "mfano wetu" kurejelea na kumaanisha kitu kimoja.

Katika sehemu inayofuata hapa chini, tutaona ulinganisho kati ya mali ya miili yetu ya kibinadamu na ya MUNGU Mwenyezi na kuona jinsi ambavyo haiwezekani kwa miili yetu ya kimwili kufanana na ya MUNGU Mwenyezi, kwa vile viungo vyetu vya kimwili (mapafu, mioyo, uume, matako, sivyo? ini, figo n.k.. vyote vilitengenezwa na kubuniwa ili kutusaidia kuishi hapa duniani).

Lakini kwanza, acheni kwanza tuangalie baadhi ya mifano mingi ya usemi wa sitiari ulio katika Biblia ili msomaji aweze kufahamu na kuelewa jinsi mambo nyakati fulani yanavyoandikwa katika Biblia, na maana yake hasa.

Jaribu la mfano la MUNGU Mwenyezi:

Luka 11

2 Akawaambia, β€œMnaposali, semeni: β€˜Baba, jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje.

3 Utupe kila siku mkate wetu wa kila siku.

4 Utusamehe dhambi zetu, kwa maana sisi pia tunamsamehe kila mtu anayetukosea. Wala usitutie majaribuni.' "
5 Kisha akawaambia, Tuseme mmoja wenu ana rafiki, akamwendea usiku wa manane na kumwambia, Rafiki, nikopeshe mikate mitatu;

Lakini, MUNGU MWENYE NGUVU HAJARIBU:

Yakobo 1
13Mtu akijaribiwa asiseme, Mungu ananijaribu. Kwa maana Mungu hawezi kujaribiwa na uovu, wala yeye hamjaribu mtu ye yote;

14lakini kila mmoja hujaribiwa anapovutwa na kudanganywa na tamaa yake mwenyewe.

15Kisha tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi; na dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti.

Luka 11:2-5 na Yakobo 1:13-15 hapo juu, zinathibitisha wazi kwamba MUNGU Mwenyezi haruhusu shetani atujaribu, si sisi tu bali pia Manabii wake.



Mkono wa MUNGU Mwenyezi:

1 Samweli 5

9 Lakini baada ya kuuhamisha, mkono wa BWANA ukawa juu ya mji ule, na kuutia hofu kuu. Aliwatesa watu wa jiji, vijana kwa wazee, kwa mlipuko wa uvimbe.

10 Basi wakalipeleka sanduku la Mungu Ekroni. Sanduku la Mungu lilipoingia Ekroni, watu wa Ekroni walipiga kelele, β€œWamelileta sanduku la mungu wa Israeli karibu nasi ili kutuua sisi na watu wetu.

11 Basi wakawaita wakuu wote wa Wafilisti, wakasema, Liondoeni sanduku la mungu wa Israeli, lirudi mahali pake, la sivyo litatuua sisi na watu wetu. Kwa maana kifo kilikuwa kimeujaza mji hofu; Mkono wa Mungu ulikuwa mzito sana juu yake.

Mistari hiyo ni wazi haizungumzii juu ya Mkono wa kimwili wa MUNGU Mwenyezi, Mkono na Vidole.
 
Kanuni ni rahisi sana;-

Uislam:-ujamaa

Ukristo:-ubepari

Sisi tulioamua kuwa huru tupo mixed!!
Nchi nyingi za kiislamu ziko chini ya Ubepari... Nyingine ni mixed economy za Ubepari na Miongozo ya Dini kama Iran na Iraq ambazo dini ndio inaongoza
Here are the Arab nations typically recognized as having capitalist economies:

1. Saudi Arabia
2. United Arab Emirates
3. Qatar
4. Kuwait
5. Bahrain
6. Oman
7. Jordan
8. Lebanon
9. Egypt
10. Tunisia
11. Morocco
12. Algeria
13. Sudan
14. Palestine (West Bank and Gaza Strip)
15. Mauritania
16. Yemen


These countries have market-oriented economies where private ownership of property and the means of production predominates, with varying levels of government regulation and involvement in economic activities.
 
 
Mimi sizungumzii mzungu au Israel... Nimezungumzia kwa nini Magaidi wengi wanahusishwa na Uislamu na si Uhindi au Ubudha au Ukristo
 
Reactions: 511
Mimi sizungumzii mzungu au Israel... Nimezungumzia kwa nini Magaidi wengi wanahusishwa na Uislamu na si Uhindi au Ubudha au Ukristo
Ongezea pia kwaajili ya kulaaniwa wengi wao ndiyo maana wametupwa kuishi jagwani.
 

β€˜ushahidi’ wa uungu wa Yesu ulionukuliwa sana ni Yohana 1:1 na 14, β€œHapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, na Neno alikuwa Mungu… Naye Neno alifanyika mwili, akakaa kwetu; nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba; amejaa neema na kweli.”

Hata hivyo, maelezo haya hayakutolewa na Yesu Kristo, wala hayakuhusishwa naye na mtunzi wa Injili kwa mujibu wa Yohana.

Hivyo, mistari hii haiundi ushahidi wa uungu wa Yesu, hasa hasa kuzingatia shaka inayoshikiliwa na wasomi wa Kikristo juu ya Injili ya Nne. Wasomi wa Biblia waliotunga Injili tano:

β€œPicha mbili zilizochorwa na Yohana na muhtasari wa injili (yaani Injili ya Mathayo, Marko na Luka) zote mbili haziwezi kuwa ubainifu wa kihistoria.

Neno lilohusishwa na Yesu katika Injili ya Nne limeundwa na wainjilisti kwa sehemu kubwa, na linaakisi mwendelezo wa lugha ya jamii ya Wakristo wa Kiyohana.

Neno la Kigiriki lilotumiwa na mtunzi wa Injili ya Nne asiyejulikana kwa β€œneno” ni logos.

Kwa kufanya hivyo, huyo mtunzi anamtambulisha Yesu kwa logos la wanafalsa wapagani wa Kigiriki, neno ambalo lilikuwa na lengo takatifu na thabiti lililojitokeza ulimwenguni, huyo mtunzi akalipangilia neno hilo na kulipa mfumo na maana.

Wazo la logos katika fikra za Kigiriki huenda linarejea nyuma, kwa uchache hadi kwa mwanafalsafa wa karne ya sita BC, Heracleitus, aliyependekeza kuwa, kulikuwa na logos ulimwenguni anayetenda kwa mwanadamu kulingana na nguvu ya hoja.

Baadaye, Stoics analitambulisha logos kuwa ni tendo, mantiki, na kanuni ya kiroho inayosambaa katika ukweli wote.

Mwanafalsafa wa Kiyahudi anayeongea Kigiriki, Judaeus Philo wa Alexandria (15 BC -45 CE), amefundisha kuwa logos alikuwa ni mpatanishi baina ya Mungu na ulimwengu, kwa kuwa na sifa mbili za uwakala wa Mungu na ulimwengu, na kuwa na sifa mbili za uwakala wa viumbe na wakala wa ambaye kupitia kwake akili ya mwanadamu inaweza kumfahamu Mungu.

Maandiko ya Philo yalihifadhiwa na kutunzwa na kanisa, na kueneza ufunuo kwa mafundisho ya kistaarabu ya tiolojia ya kifalsafa ya Kikristo. Aliacha mafundisho ya fikra za Kipilato wakichukulia logos (Neno) na kuliita β€œmtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Mungu.”

Utambulisho wa Yesu kwa logos, uliendelezwa katika kanisa la kwanza ikiwa ni tokeo la majaribio yaliyofanywa na wanatiolojia wa kwanza wa Kikristo pamoja na watetezi kuielezea imani ya Kikristo kwa istilahi ambayo ingekuwa wazi kwa ulimwengu wa Wayunani.

Zaidi ya hayo, ilikuwa ni kuwavutia wasikilizaji wao na mtazamo wao kuwa Ukristo ulikuwa unashinda, au mrithi wa wale wote waliokuwa wanafalsafa bora wa kipagani.

Kwa hiyo, katika kazi zao za utetezi na ubishani, Mapadri wa Kikristo wa kwanza wameeleza kuwa Yesu alikuwa ni logos aliyekuwepo hapo kabla.

Neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya β€˜Mungu’ katika hiyo ibara ni β€œna Neno lilikuwa kwa Mungu,” lipo katika mtindo wa β€œdefinite form- yaani mtindo uliowazi, au unaofahamika” batheos, Linalomaanisha β€œHuyo Mungu, au Mungu maalum”.

Hata hivyo, katika ibara ya pili β€œna Neno alikuwa Mungu”, neno la Kigiriki lililotumika kwa maana ya β€˜Mungu’ katika ibara lipo katika mtindo wa β€œindefinite form- yaani mtindo usiowazi, au usiofahamika” tontheos, Linalomaanisha β€˜mungu yoyote, yaani mungu asiyejulikana, au mungu yoyote asiye maalumu’.

Kwa hiyo, Yohana 1:1, kwa uwazi zaidi ilipaswa itafsiriwe, β€œHapo Mwanzo kulikuwa na Neno, na hilo Neno lilikuwa kwa Mungu, na hilo Neno lilikuwa mungu mwingine.” Kwa hiyo, kama hilo neno lilikuwa mungu mwingine kwa ufahamu wa kifasihi, itamaanisha kuwa kulikuwa na miungu miwili na sio mmoja.

Hata hivyo, katika lugha ya Kibiblia, neno β€˜mungu – asiyefahamika’ linatumika kwa maana ya istiari ili kuashiria nguvu. Kwa mfano, Paulo alimtaja shetani kuwa ni β€˜mungu – asiyefahamika’ katika 2 Wakorintho 4:4, "ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu."

Pia, Musa alitajwa kama ni β€˜mungu – asiyefahamika’ katika Kutoka 7:1, "BWANA akamwambia Musa, Angalia, nimekufanya wewe kuwa Mungu kwa Farao; na huyo ndugu yako Haruna atakuwa nabii wako.
 
Ukifanya Jihad na kuua watu basi hiyo ndio Ugaidi
 
Shia hawawez kuudhalilisha uislamu kwa kuwatukana, kubeza na kudharau maswahaba. Pia hawawez kumtukana mke wa kipenzi chetu eti kahaba. Lazima pachimbike maamaee

Wewe unaingia kwa id nyingi unafikiri hatukuoni , unaingia kuvuruga tu na kubadilisha hoja
 
Mimi sizungumzii mzungu au Israel... Nimezungumzia kwa nini Magaidi wengi wanahusishwa na Uislamu na si Uhindi au Ubudha au Ukristo
Kwa sababu aliyeanzisha huo mfumo wa kutengeneza vikundi alivianzisha vingi huko nchi za kiarabu kugawa watu ili kuingiza malengo yake ikiwemo kuweka viongozi anayewataka yeye na kuweza kutumia na kucontrol rasilimali zao hiyo haihitaji elimu kubwa kugundua na hadi leo anavifinance yeye.
Huoni ajabu jana baada ya mlipuko tu isis kajitokeza faster kama yeye ndio kafanya na wahusika wamekamatwa border ya ukraine,na marekani anasisitiza hao ni isis, ni rahisi kwa wajinga huku africa kuwadanganya ila mrusi picha lote analijua na ameshaanza kudeal nao
 
Wewe unaingia kwa id nyingi unafikiri hatukuoni , unaingia kuvuruga tu na kubadilisha hoja
Waislam tukicheza na kukaa kimya tutakosa janah na firdaus siku ya qymah. Haiwezekani Iran na shia wawadhalilishe na kuwatukana maswahaba. Haiwezekani hawa makafir Iran na Shia wamuite mke wa kipenzi chetu Kahaba. Halafu ummah wa uislamu umekaa kimya tu. La hasha sojood inatakikana kwa sana
 
Ukifanya Jihad na kuua watu basi hiyo ndio Ugaidi
kulingana na tafsiri yako,,,,,kwani bible inasemaje kuusu kuuwa?katiba hazitoi pia haki ya kuuwa ikiwa imethibitishwa na mahakama?

hao NATO hawauwi watu kwa maslahi ya nchi yao?iweje muislamu akitaka kuikomboa dini na imani yake aonekane ni gaidi?
 

KAFIRI WEWE MBONA HWISHII KUKERA WATU UNATAKA KUVURUGA UZI`` umechanganyikiwa
 
hujielewi
 
Vietnam
Russia
Ukraine
Drc
Hizo zote nchi za kiislam
Vietnam, Russia, Ukrein sio nchi zenye kukumbwa na Ugaidi wa mara kwa mara... Japo Urusi juzi kavamiwa na Magaidi ambao abajiita ISIS yani Islamic State
 
Kama ningekuwa mkristo wallah kwakufuata hoja zenye akili ningesilimu chap

Katika biblia kuna mambo yanajichanganya sana kwakweli,,, ndio maana viongozi wao hawatakagi maswali.

Namshukuru Allah kwa hii neema ya uislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…