Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Achani ujinga makundi yote ni yenu hao ISIS ni nyie sio rahisi kuumaliza uislamu, mnatumia pesa kibao kila mwaka ila wapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ukweli unajulikana
Kwa nini waumalize Uislamu na sio kuumaliza Uhindu, Ubudha na Ukristo. Kwa nini nyie tu ndio muhusishwe na Ugaidi na sio Budha wa kichina
 
Marekani ya kusini yote imeharibiwa na US
Tufautisha Makundi ya kigaidi na Makundi ya Dawa za Kulevya... Haya ni makundi yenye malengo tofauti
 
Kwa nini waumalize Uislamu na sio kuumaliza Uhindu, Ubudha na Ukristo. Kwa nini nyie tu ndio muhusishwe na Ugaidi na sio Budha wa kichina
uislamu umesimamia katika misingi yake ya haki na hautaki kupindishwa hao wengine wanafanya maamuzi kulingana na situation ila uislamu wanaangalia quran inasemaje.
 
Kwa hiyo unakiri kuwa Mungu ni Baba?
 
Kama ningekuwa mkristo wallah kwakufuata hoja zenye akili ningesilimu chap

Katika biblia kuna mambo yanajichanganya sana kwakweli,,, ndio maana viongozi wao hawatakagi maswali.

Namshukuru Allah kwa hii neema ya uislamu.

Mud alikuwa mpiga puri hatariπŸ˜…
 
kulingana na tafsiri yako,,,,,kwani bible inasemaje kuusu kuuwa?katiba hazitoi pia haki ya kuuwa ikiwa imethibitishwa na mahakama?

hao NATO hawauwi watu kwa maslahi ya nchi yao?iweje muislamu akitaka kuikomboa dini na imani yake aonekane ni gaidi?
Bible haitoi mwanya wowote wa kulipiza kisasi kwa kumwaga damu, ndio maana hata kipindi Yesu anakamatwa na askari mmoja wa wanafunzi wake alichukua kisu na kumkata sikio askari, ila Yesu akamkataza na kisha kuponesha sikio hilo...

Yesu anatufundisha kusamehe saba mara sabini na kutokulipiza kisasi kwa kisasi. Mwenye kazi ya kuhukumu ni Mungu tu. Na mwenye kazi ya kutoa uhai ni Mungu tu, kwa sababu yeye ndio amkupatia pumzi... Ndio kwenye maziko ya kikristo tunasema "Bwana alitoa na Bwana ametwaa" yani yeye ndio mwenye kutoa pumzi na kuichukua
 
hujielewi
Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za makafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.

Haiwezekani Iran na mashia kuwatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Haiji kabisa akilini rafiki mkubwa wa karibu wa Mtume swahaba Abubakar Caliph atukanwe na mashia halafu tumekaa kimya.

Inauma na kuhuzunisha hawa makafir Iran na mashia wamdhalilishe na kumtukana mke wa kipenzi chetu bi Ayesha eti alikuwa kahaba na anaoga uchi mbele ya wanaume.

Wanatuletea maulid ya hovyo wanaqufr, kweli kuna maulid ya Ali na Fatima kweli? Maulid ni moja tu ya Mtume Muhammad SAW.

Ndo maana siku ya Aaashuurah wanajipiga kujidhuru na majambia usoni utosini na mgongoni siyo wanahuzuni bali ni laana na majitu kutoka kwa maswahaba.

Tusikae kimya ndugu zangu waislam tuutetee uislam hata kwa nafs. Tukicheza tutakosa Janah na firdaus siku ya qyamah.


adriz Mrs Besyige Jagina
 
Hapo ndo palivuruga Kila kitu nahsi.
 
Misimamo mikali ipo kwenye dini zote. Joseph Kony na genge lake kule Uganda ilikuwa ni shida kama ambavyo kule Myanmar kwa mabuddha wenye misimamo mikali. Hapo India kuna Wahindu wana misimamo mikali. Lakini katika dini zote wenye misimamo mikali ni wachache sana.
 
Kwani ugaidi kwa tafsiri yako ni nini ??
Maana ya Ugaidi

"Ugaidi ni matumizi ya nguvu au vurugu ili kufanya mashambulizi au vitendo vya kigaidi kwa lengo la kuleta hofu, kuua watu, au kusababisha uharibifu wa mali ili kufikia malengo ya kisiasa, kidini, au kijamii."

Cartels ni makundi ya uhalifu yanayojihusisha na biashara haramu kama vile biashara ya madawa ya kulevya, silaha, au usafirishaji haramu wa binadamu. Ingawa wanaweza kutumia vurugu, lengo lao kuu ni faida ya kifedha badala ya malengo ya kisiasa au kidini yanayofuatiliwa na makundi ya kigaidi.
 
Kwa nini waumalize Uislamu na sio kuumaliza Uhindu, Ubudha na Ukristo. Kwa nini nyie tu ndio muhusishwe na Ugaidi na sio Budha wa kichina
Ndio unatakiwa kujua hivyo , sheria za uislamu ndio zinapinga mifumo yao kama riba ,dhulma ndio kikwazo kwao.

Kumbuka sheria za kiislamu zinakataa ubepari ,hao jamaa zako hawawezi kukubali hata siku moja maana hata ukoloni unapingwa na wao walifanya ili kujipatia utajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…