Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Kwanini Nchi nyingi zenye asili ya Uislam zinakumbwa na Vita sana?

Achani ujinga makundi yote ni yenu hao ISIS ni nyie sio rahisi kuumaliza uislamu, mnatumia pesa kibao kila mwaka ila wapi 😅😅😅 ukweli unajulikana
Kwa nini waumalize Uislamu na sio kuumaliza Uhindu, Ubudha na Ukristo. Kwa nini nyie tu ndio muhusishwe na Ugaidi na sio Budha wa kichina
 
KAFIRI WEWE MBONA HWISHII KUKERA WATU UNATAKA KUVURUGA UZI`` umechanganyikiwa
a4981bdebef82cc6ed0d305a86b3385e.jpg
 
Kwa nini waumalize Uislamu na sio kuumaliza Uhindu, Ubudha na Ukristo. Kwa nini nyie tu ndio muhusishwe na Ugaidi na sio Budha wa kichina
uislamu umesimamia katika misingi yake ya haki na hautaki kupindishwa hao wengine wanafanya maamuzi kulingana na situation ila uislamu wanaangalia quran inasemaje.
 
Tuanze na hii

Yesu: aliyeniona Mimi, amemwona Mungu. (Yohana 14:5-9).

Wacha tuangalie muktadha:

“Filipo akamwambia, Bwana, tuonyeshe Baba, nasi yatutosha. Baba; nawe wasemaje basi, Utuonyeshe Baba?

Yohana 14:8-9


Filipo alitaka kumwona Mungu kwa macho yake mwenyewe, lakini hii haiwezekani kwa kuwa hakuna mtu anayeweza kufanya hivyo. Biblia inasema:

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote," Yohana 1:18

"Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote," 1 Yohana 4:12

"Na Baba mwenyewe aliyenipeleka amenishuhudia. Sauti yake hamkuisikia wakati wo wote, wala sura yake hamjaiona." Yohana 5:37

Lakini walikuwa wakisikiliza sauti ya Yesu na kumtazama akiwa amesimama mbele yao!

Yesu alikuwa anatuambia tu kwamba matendo yake mwenyewe na miujiza inapaswa kuwa uthibitisho wa kutosha wa kuwepo kwa Mungu bila Mungu kushuka kimwili na kujiruhusu kuonekana kila wakati mtu ana shaka.

Hii ni sawa na kwa mfano:

1)Yohana 8:19: "Wakamwambia, Baba yako yuko wapi? Yesu akajibu, Ninyi hamnijui mimi, wala Baba yangu; kama mngalinijua mimi, mngalimjua na Baba yangu."

2)Yohana 12:44 "Yesu akapaza sauti, akasema, Yeye aniaminiye mimi, haniamini mimi, bali yeye aliyenipeleka."

3)Yohana 15:23 "Yeye anichukiaye mimi anamchukia na Baba yangu."

4)Mathayo 10:40-41 "Awapokeaye ninyi, anipokea mimi (Yesu), naye anipokeaye mimi, anampokea yeye aliyenituma. Ampokeaye nabii kwa kuwa ni nabii, atapata thawabu ya nabii; ampokeaye mwenye haki kwa kuwa ni mwenye haki, atapata thawabu ya mwenye haki."

5) Waamuzi 13:20-22 inasema: “Ikawa, huo mwali wa moto ulipopaa juu mbinguni, kutoka katika madhabahu, ndipo malaika wa BWANA akapanda katika mwali wa moto wa madhabahu, Manoa na mkewe wakatazama. wakaanguka kifudifudi, lakini malaika wa BWANA hakumtokea tena Manoa na mkewe.” Ndipo Manoa akajua ya kuwa yeye ni malaika wa BWANA.” Manoa akamwambia mkewe, Hakika tutakufa, kwa sababu tumemwona Mungu."

Ikiwa tunataka kusisitiza kwamba wakati Filipo alipomwona Yesu (AS), alikuwa amemwona Mungu "Baba" kimwili kwa sababu Yesu "ndiye" Baba na wote wawili ni "Utatu," na Yesu ni "mwili" wa Mungu, basi. hii itatulazimisha kuhitimisha kuwa Yohana 1:18, 1 Yoh 4:12, Yoh 5:37..nk. yote ni uongo.

Je, Filipo ndiye pekee ambaye "alimwona baba"? Hebu tusome:

"Si kwamba mtu amemwona Baba, ila yeye atokaye kwa Mungu; huyo ndiye aliyemwona Baba."

Yohana 6:46


Ni nani huyu "aliye wa Mungu" na amemwona Baba unayemwuliza?

Hebu tuulize tena Biblia:

“Yeye aliye wa Mungu husikia maneno ya Mungu; Yohana 8:47.

Na

"Mpenzi, usifuate uovu, bali wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu; bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu." 3 Yohana 1:11.


Je, watu wote ambao wamefanya mema pia wamemwona Mungu kimwili?
Kwa hiyo unakiri kuwa Mungu ni Baba?
 
Kama ningekuwa mkristo wallah kwakufuata hoja zenye akili ningesilimu chap

Katika biblia kuna mambo yanajichanganya sana kwakweli,,, ndio maana viongozi wao hawatakagi maswali.

Namshukuru Allah kwa hii neema ya uislamu.
65fdc5c1072562b8bb58180bdcd722a9.jpg

Mud alikuwa mpiga puri hatari😅
 
kulingana na tafsiri yako,,,,,kwani bible inasemaje kuusu kuuwa?katiba hazitoi pia haki ya kuuwa ikiwa imethibitishwa na mahakama?

hao NATO hawauwi watu kwa maslahi ya nchi yao?iweje muislamu akitaka kuikomboa dini na imani yake aonekane ni gaidi?
Bible haitoi mwanya wowote wa kulipiza kisasi kwa kumwaga damu, ndio maana hata kipindi Yesu anakamatwa na askari mmoja wa wanafunzi wake alichukua kisu na kumkata sikio askari, ila Yesu akamkataza na kisha kuponesha sikio hilo...

Yesu anatufundisha kusamehe saba mara sabini na kutokulipiza kisasi kwa kisasi. Mwenye kazi ya kuhukumu ni Mungu tu. Na mwenye kazi ya kutoa uhai ni Mungu tu, kwa sababu yeye ndio amkupatia pumzi... Ndio kwenye maziko ya kikristo tunasema "Bwana alitoa na Bwana ametwaa" yani yeye ndio mwenye kutoa pumzi na kuichukua
 
hujielewi
Ndugu zangu waislam tususie na Tuacheni kutumia bidhaa za makafir mashia kama mo Energy. Tutumie Azam energy na bidhaa zake.

Haiwezekani Iran na mashia kuwatukana na kuwadhalilisha maswahaba. Haiji kabisa akilini rafiki mkubwa wa karibu wa Mtume swahaba Abubakar Caliph atukanwe na mashia halafu tumekaa kimya.

Inauma na kuhuzunisha hawa makafir Iran na mashia wamdhalilishe na kumtukana mke wa kipenzi chetu bi Ayesha eti alikuwa kahaba na anaoga uchi mbele ya wanaume.

Wanatuletea maulid ya hovyo wanaqufr, kweli kuna maulid ya Ali na Fatima kweli? Maulid ni moja tu ya Mtume Muhammad SAW.

Ndo maana siku ya Aaashuurah wanajipiga kujidhuru na majambia usoni utosini na mgongoni siyo wanahuzuni bali ni laana na majitu kutoka kwa maswahaba.

Tusikae kimya ndugu zangu waislam tuutetee uislam hata kwa nafs. Tukicheza tutakosa Janah na firdaus siku ya qyamah.


adriz Mrs Besyige Jagina
 
Upanga ndiyo silaha ya kwanza apewayo mslimu wa Uislamu.

Kwa upande mwingine, mwongofu wa Ukristu hupewa Upanga wa Neno la Mungu.

Yesu: Auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga.

Mtume: Auaye kwa ajili ya Allah atapewa thawabu nyingi.

Sijui umenielewa?
Hapo ndo palivuruga Kila kitu nahsi.
 
Misimamo mikali ipo kwenye dini zote. Joseph Kony na genge lake kule Uganda ilikuwa ni shida kama ambavyo kule Myanmar kwa mabuddha wenye misimamo mikali. Hapo India kuna Wahindu wana misimamo mikali. Lakini katika dini zote wenye misimamo mikali ni wachache sana.
 
Kwani ugaidi kwa tafsiri yako ni nini ??
Maana ya Ugaidi

"Ugaidi ni matumizi ya nguvu au vurugu ili kufanya mashambulizi au vitendo vya kigaidi kwa lengo la kuleta hofu, kuua watu, au kusababisha uharibifu wa mali ili kufikia malengo ya kisiasa, kidini, au kijamii."

Cartels ni makundi ya uhalifu yanayojihusisha na biashara haramu kama vile biashara ya madawa ya kulevya, silaha, au usafirishaji haramu wa binadamu. Ingawa wanaweza kutumia vurugu, lengo lao kuu ni faida ya kifedha badala ya malengo ya kisiasa au kidini yanayofuatiliwa na makundi ya kigaidi.
 
Kwa nini waumalize Uislamu na sio kuumaliza Uhindu, Ubudha na Ukristo. Kwa nini nyie tu ndio muhusishwe na Ugaidi na sio Budha wa kichina
Ndio unatakiwa kujua hivyo , sheria za uislamu ndio zinapinga mifumo yao kama riba ,dhulma ndio kikwazo kwao.

Kumbuka sheria za kiislamu zinakataa ubepari ,hao jamaa zako hawawezi kukubali hata siku moja maana hata ukoloni unapingwa na wao walifanya ili kujipatia utajiri
 
Back
Top Bottom