Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

Kuna watu wanatumia hii sheria ya kuruhusu kuowa wanawake wengi vibaya.

Uislamu hauruhusu kuowa kiholela bali umeweka masharti na sifa ambazo unazo takiwa kuwa nazo ili uweze kuoa mke wa pili, kwanza uwe vizuri kiuchumi ili uweze kuwatunza hao wanawake,sio mke mmoja tu kumtunza huwezi unakimbilia kuowa mke wapi eti kisa dini inaruhusu.
Pia uwe na nguvu za kutosha kuwatosheleza kitandani sio ww unapiga kimoja kama jogoo alafu unakimbilia kuowa mke wa pili ili iweje kwanza.
 
Kabla hata hatujafika mbali nipe ushahidi wa hili maana naona ni upotoshaji wa hali ya juu.

Kwasasa duniani wanaume ni wengi kuliko wanawake.

View attachment 2479104
Huko kwenu tu Tz Mama samia alipiga vigelele vingi baada ya matokeo ya Sensa kuona wanawake ni wengi zaidi ya wanaume, basi ata hisia hupati kwa nchi zilizobaki ulimwenguni?
 
... wivu tu umekujaa na wewe! Hutaki ku-share?
 
... wivu tu umekujaa na wewe! Hutaki ku-share?

🤣🤣🤣🤣hujanielewa, sio wivu

Nimesemaaaa, Mimi mwenyewe hajanitosha..... yaani ni bampa to bampa

Sasa hiyo habari ya kugawana siku mimi nitaiwezea wapi jameni!? Hata yeye anajua☺☺

Msema kweli mpenzi wa Mungu
 
... huo si ndio wivu wenyewe mama D? Sijakuelewa vipi sasa.
 
Attachments

  • Screenshot_20230113-100353_Firefox.jpg
    127.7 KB · Views: 7
... huo si ndio wivu wenyewe mama D? Sijakuelewa vipi sasa.

Bado hujaelewa, nasemaaaa

🤣🤣🤣🤣hujanielewa, sio wivu

Nimesemaaaa, Mimi mwenyewe hajanitosha..... yaani ni bampa to bampa

Sasa hiyo habari ya kugawana siku mimi nitaiwezea wapi jameni!? Hata yeye anajua☺☺

Msema kweli mpenzi wa Mungu
 
Sensa ya Tanzania wanawake ni wengi kwa Milioni 1 tu
 
Mimi nakuletea evidence ya Tunisia hairuhusiwi kufunga ndoa na mke zaidi ya mmoja. Nenda kasome sheria ya ndoa ya tunisia article 8 of the personal status code

Polygamy is a taboo issue in Tunisia and a crime punishable by law, under Article 18 of the Personal Status Code.

Pia uturuki ilikataza ndoa ya mke zaidi ya mmoja toka mwaka 1926

Ukioa mke zaidi ya mmoja ni kosa kisheria under turkish civil code adhabu ya jela inakuhusu
Soma screen shot
 
Attachments

  • Screenshot_20230113-100353_Firefox.jpg
    127.7 KB · Views: 4
Nisaidie chanzo cha habari yako Mkuu
 
Ila na wewe unatupiga hapa? Lini wanaumme wakawa mara nne wanawake
 
Sasa kama kuna sheria Tunisia kwanini umekuja na mada nchi za kiarabu, ukataja Saudia Arabia, Uturuki na Iran kuhusu ndoa?

Uislamu ama sheria za kiislamu duniani hazitekelezwi na fatwa za kisheria kutoka Tunisia ama nchi yoyote iwe za kiarabu ama kwengine kokote.

Waislmau duniani kote wana miongozo yao kutoka kwenye kitabu kitakatifu Quran na hadithi za Mtume S.A.W. Sasa ikitokea nchi dola yake ya kiislamu inatetereka huwezi kuhukumu kwa waislamu wote duniani na nchi zote duniani.

Na hata huko Tunisia sina hakika sana hizo sheria ulizotaja za Tunisia kwa vile reference zako ni google search na wikipedia
 
Wapi nimetaja saudi arabia na iran?
 
So wawakilishi wa uislam Ila kutwa mnafunga safari kwenda kwenye vyuo vya Dini kusoma Dini jinsi ya kuvaa makobazi
Kufunga safari sio issue kwasababu wao wana wanachuoni wengi wanaandaa vizazi vyao kusoma kutokana na mifumo yao, na hakuna mgongano baina ya kauli hizi mbili.
 
Wapi nimetaja saudi arabia na iran?
Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi.

Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi nchi zenye waislamu wengi hawataki kuoa wake wengi?
 
Yakobo aliwamuduje wa nne?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…