Kwanini nchi za kiarabu zinapingana na Quran kwa kufuta ndoa za wake wengi?

Kumkunja mtu hadi akunjike ni relative. Je anayekunjwa yuko tayari kukunjika? Anyway tujikite kwenye dhima kubwa ya kuoa wake wengi ni kuongeza population. So sio mpaka umkunje mtu hadi akunjike ndio ashike mimba na kuzaaa. Mengine tunajitakia wenyewe
 
Kuna utofauti kati ya uarabu na uislamu. Ni kama useme uzungu na ukristo
 
aliyekuambia turkey, Iran na saud arabia zinaongzwa kwa sharia za kiislamu ni nani? turkey wana raisi, iran nayo ni ivyo ivyo saudia kuna mfalme isome Qurani tukufu kama utakuta kuna aina izo za uongozi kwenye uislamu.
Kweny uislam kuna aina gan ya uongozi?
 

Huyo ni mimi nimeandika hayo maneno. Soma jina langu vizuri
 
Kwan kakabuadirifu wa mtu unaeza kuupima au kujipima mwenyew pasipo kuiingia kwenye mathna? Mtazunguka sana lakin ukweli upo wazi
 
Ni kweli kabisa mkuu kuna watu wameamua kuoa 2 mpaka 3 au wanne wakiwa hawana hata cha kuwapa acha kuwaridhisha tu

Haya yanatokea sana katika sehemu zenye vita kila kona duniani

Sio waislam tu wengine wamewaweka so called vimada au nyumba ndogo na wanawazalisha tu

Uturuki walipiga marufuku zamani sana ila kwa watu wanaoa tu na sheria imekanyagwa kwani kwa sasa mpaka Maimamu wameruhusiwa kufungisha ndoa sio lazima kwa qhadhi mahakamani

Nime Google kidogo nimekutana na hii kwa watakaoweza kuelewa
 
Reactions: ITR
Unfortunately siku hizi mentality wengi hawapo hivyo wao wanaamini ktk ndoa pamoja na kupata watoto kuna vya ziada wanatakiwa wavipate.

So ktk mazingira kama haya utakuwa unatafuta lawama ili kuwasomea albad'ir watoto wa watu watakaokusaidia tu
 
Wanaume wengi ambao hata uwezo wa kuhudumia mwanamke mmoja hawana lakini ndo wanaokomaa kuoa wake wengi. Wanaume wenye uwezo wa kuhudumia wake wengi hawana hata mpango wa kuoa wake wengi.
Mke hahitaji kula tu na kuvaa
 
Kwan kakabuadirifu wa mtu unaeza kuupima au kujipima mwenyew pasipo kuiingia kwenye mathna? Mtazunguka sana lakin ukweli upo wazi
Uadilifu hata wewe mwenyewe unaweza kujipima iwapo utaongeza mke na wote kuwapatia haki zao kwa mujibu wa sheria ya kiislamu,

Ukweli upi uliowazi? fafanua hem
 
Labda changamoto zake npzinahatarisha uchumi wao, japo binafsi sielewi watakabili vipi uwingi wa wanawake kukosa mahitaji ya kimwili ikizingatiwa kuwa kwenye hizo nchi kuchepuka ni kosa pia
 
Asante Da mgen.
 
Wanaume wengi ambao hata uwezo wa kuhudumia mwanamke mmoja hawana lakini ndo wanaokomaa kuoa wake wengi. Wanaume wenye uwezo wa kuhudumia wake wengi hawana hata mpango wa kuoa wake wengi.
Hata mpango wa kuoa hatuna!
 
Kuoa wake wengi ni primitivity
 
Yale hayakuwa Maagizo ya Mungu Bali ni Mila za zamani za kiarabu ambazo kwa wakati huo zilikuwepo sehemu nyingi duniani. Ndio maana Mungu alimuimbia Adam mke mmoja ambaye ni Eva tuu. Ndio maana hata baba wa Imani alikuwa ana mke Mmoja ambaye ni Sarat tuu na Hajir alizaa naye kwa bahati mbaya tu.
Hivi vitabu vina mambo mengi ya Mila na desturi za zamani ukijifanya unafuata Kila kilichoandikwa utaingia Chaka na itakula kwako. Mwone samaki la kimataifa lililofungiwa lolijifanya linamuiga mtume ambaye amemsoma tuu kwenye kitabu Sasa hivi kimyaaaa kidomo Domo chote keishnei
 
Hiyo reference ya mfalme atakayokuletea hapa , haitoki Google?

Kuna reference yoyote hapa duniani kwenye Internet ambayo haitoki Google?
 
Google usiiiamini kwa kila kitu bro utapotea
Kuna content yoyote duniani hapa inayokuwa accesed kupitia Internet ambayo haipo Google?

Unachotakiwa kufanya ni kui-prove wrong hiyo taarifa aliyokupa mtoa mada kwa kuleta other sources.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…