#COVID19 Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

Usiwe na wasiwasi; wengine uliowataja wanataka kukuza tatizo la Covid-19 kusudi wapate misaada. Dunia nzima hakuna Covid kwenye ukanda wa ikweta kwa sababu ya hali ya hewa ispokuwa Brazil tu ambapo msongomano wa watu ni mkubwa sana, lakini waganga njaa ndio wanaotaka kusema wanakufa sana kwa korona huku ikweta ili wapate misaada.
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Hao wanaowafungia watu wao mwaka sasa kuna unafuu gani waliotuzidi sisi tunaoishi kienyeji?hizo lock down hata huko ulaya zimewasaidia kwa kiasi gani, sembuse ndio kwenye haya maisha yetu ya kuunga unga?mfano huko KENYA, toka saa 10 alfajiri watu wako kwenye shughuri zao kama kawaida, eti ikifika saa 3/usiku ndio marufuku ya kutembea?!huo si ujinga??Viongozi wa Afrika wanawapa tabu wanyonge kwa kujinufaisha wao, masikini huwezi kumtisha kwa COVID19!! Asindwe kwenda kutafuta eti kuogopa .Huyo mseveni aliyewafungia watu wake kwa siku 42, na kuwaahidi kuwapa kila familia USH.100, 000 huo si utani?!!
 
Hata katiba ni matakwa ya wasaka madaraka tu, Leo Prof Shivji kaongea vizuri kwenye kigoda cha mwalimu. Lakini sitaki kwenda nje ya mada, tusiharibu mada
[emoji1303][emoji1303][emoji1306][emoji1756]
 
Hii kitu kuna watu wameweka mitaji yao hapo wanataka kupata mpunga sio kama tunavofikilia sasa chanjo waliotengeneza watapeleka wapi lazima watumie akili
Kweli mkuu[emoji1319][emoji1319]
 
Sawa kabisa mkuu qangu
 
Achana na lile changa la macho ushawahi kuiona hio ripot??
 
Hali ya ugonjwa hata sisi mtaani tungeiona kama mwaka juzi
 
Eti takwimu za kuchukulia pesa IMF!!! 😂😂😂unadhani IMF ni Wapumbavu kiasi hicho!?

Kwani mkuu shida iko wapi wewe na familia yako, kaa ndani fuata maelekezo yote ya kujikinga na COVID19!watoto wafundishe nyumbani basi!!Kwani sijaona hata ulichopinga, kwenye hiyo link.kwani kuna masharti ili upate hizo pesa na sharti moja wapo ndio hilo la kutoa data ?ukwelinutakuja julikana tu, na ndio maana unaona EU, wanakwambia kama umepata chanjo ya Astrazenica ya India bado hutaruhusiwa kuingia kwao, na ndizo chanjo nyingi zinazosambazwa na COVAX.
 
Ni upumbavu kudhani kwamba kwa sababu Tanzania takwimu za ugonjwa na wanaokufa hazitolewi kabisa ukilinganisha na nchi jirani basi tuko salama
India pia walijiona wako salama hivyo misongamano kwenye sikukuu zao kidini na kampeni za kisiasa ikapamba moto na COVID-19 haikufanya ajizi na idadi ya vifo ilifikia zaidi ya laki nne kwa siku.
Chukua tahadhari acha ubishi wa kipumbavu.

 
Hebu acha ujinga wewe wapi nilipoandika kuhusu kukaa ndani?

 
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
Hizo ni takwimu tu za kuchukulia pesa kutoka IMF, WHO.hakuna lolote na wasiwatie wananchi hofu, chanjo sawa zije na anayetaka achanjwe!!aliyewalinda mwaka mzima ndio atakayeendelea kuwalinda tu, japo tahadhari ni muhimu.
Haya matakwimu tunalazimishana huku kitaa tungeona bhana
 
[emoji1303][emoji1303][emoji1303][emoji1303]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu agiza kinywaji baridi au moto bili ntumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…