Jet engine ni more powerful na inaeezesha chombo kwenda speed kali sana hata ukitaka kiende super sonic speed kwa propeller ngumu.Oh, shukrani mkuu,
Sasa kwanini watumie engine ya jet tuseme ndio madhubuti sana, au ni bei nafuu au hakuna aina ya engine inayoweza kufunction kwa umbali huo?
Concord zilikuwa ni ndege zinazotengenezwa kwa ushirikiano kati ya britain na france.Aisee hizo concord ni rocket au
Ah ah ah ah ahTulipokuwa wadogo tuliaminishwa kwamba hizo ndio roketi.
Tuliambiwa kwa afrika zinatua Misri na Afrika kusini tu.
Tuliambiwa kama kama umeiona ukiwa arusha(kwa mfano) ujue ipo misri.
Hata hivyo waliotuambia habari hizo hawakuwa na lengo la kutupotosha; huo ndio ulikuwa uelewa wao.
Nimewasamehe wote.
hahahahahaha sina mbavuShukrani kwa maelekezo, lakini hakukuwa na haja ya kuandika hayo ya "macho makengeza" hasa kwa mtu usiyemjua.
Hahah,,hii kwel imezeeka,,hv zinabebaga abiria kwel?
Hiyo sipandi, lazima mnirudishie nauli yangu.Zingine ni uzee tu kama hii..........
Uwe unasoma vizuri. Amesema -50 centigrade ambayo ni baridi sana na sio 50 centigrade.Mkuu, kweli wewe ni oil chafu, 50 centigrade ndo baridi kali??!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] udogo raha sanaTulipokuwa wadogo tuliaminishwa kwamba hizo ndio roketi.
Tuliambiwa kwa afrika zinatua Misri na Afrika kusini tu.
Tuliambiwa kama kama umeiona ukiwa arusha(kwa mfano) ujue ipo misri.
Hata hivyo waliotuambia habari hizo hawakuwa na lengo la kutupotosha; huo ndio ulikuwa uelewa wao.
Nimewasamehe wote.
[emoji23]THINKINGBEING
wengine walienda mbali kabisa na kututandika fix kwamba ndege aina ya concord haziwezi kutuwa dar maana nyumba zote zingebomoka.
fix hizi zilienda sambamba kila siku Swiss international ikituwa tunaambiwa ndio dege la nyonya damu wamekuja kuchukuwa damu.
Rest in Peace Brother tutakukumbuka daima.Nimejifunza kitu kipya hapa leo.....asanteni kwa elimu.
Shusha nondo mkuu!Kumbe ujuaji wa watu humu JF una kikomo? Yaani hakuna anayejua?
Msamehe tuu. Hao wanasifa za Inzi.. Mdudu huyo kawaida yake hutafuta vibovu tuuWe unamkandia mwenzio wakati wewe ndiyo umeboronga. Yeye kaandika -50 (minus 50). Badala ya kuangalia kwa makini inakazania kuponda. Ona sasa umeshangaza umati. Hebu tupunguze tabia ya kutafuta kosa moja kwenye 99 ya mbolea. Au nyie ndo wale badala ya kushkuru "mvua imenyesha" mnalalamika "mvua imeleta matope"
Anasema id yake na registration pekee nataarifa chache na kuwa anapita anga ya nchi husika ila aombi kibali chakupita au kuomba njia.Duuh, sasa kama kule inapopita haitoi taarifa, hiyo haiwezi kuteteresha usalama wa nchi endapo watakapoamua kudondosha mabomu au sumu?
Au hiyo sheria ni kwa nchi za africa tu?
Cuz sidhani kama hadi marekani unaweza ukakatiza bila taarifa