Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?


Kweli kabisa. Ni kama exhaust ya gari wakati wa baridi hutoa mvuke pia na hata maji hutokea kwenye exhaust.
 
Kinachofanya uuone ule mstari unabaki kwa muda mrefu ni umbali uliopo kutoka upeo wa macho yako mpaka ulipo ule moshi.. Na ndio maana hata ile ndege yenyewe unaiona kama ina enda mwendo wa kawaida sana lkn kumbe inaweza kuwa hata 700km/h hadi 1000km/h. Sasa kama ile ndege inaenda kwa kasi hivyo lakini ww unaona inaenda mwendo wa kawaida vile. Je moshi ambao speed yake ni ya kawaida sana, kwanini usiuone umekaa dakika zaidi ya kumi bila kusambaratika?/?? japo mpaka ww unakuwa na uwezo wa kuuona ule moshi kule, kuna uwezekano mkubwa sana kwamba ule moshi ni mwingi lakini pia ni mzito sana. Hayo ni mawazo yangu. Asante
 
NIMESTUKA SANA KUONA HUU UZI UMEKAA MUDA MREFU HIVI NA UMEKOSA JIBU SAHIHI, NGOJA NIANDAE NONDO NIRUDI KUTOA JIBU.
majibu mengi tu yametolewa sasa sijui kama wewe huoni au,ndio uvivu wa kusoma
 
majibu mengi tu yametolewa sasa sijui kama wewe huoni au,ndio uvivu wa kusoma

MKUU MAJIBU MENGI YAMEGUSIA ENGINE THRUST PEKEE NA JIBU SAHII LILITAKIWA KUGUSIA SHAPE YA NDEGE NA WINGS TIPS DESIGN PIA.

 
Jet engine inapofanya kazi, hutoa gesi zenye joto Kali kwa spidi kubwa baada ya mafuta kuchomwa ndani ya engine (exhaust gas ) ambazo kasi yake huifanya ndege isogee mbele ( For every action there is egual and opposite reaction ) hizi gesi zenye joto Kali huchoma unyevunyevu ( humidity) ulioko angani na kugeuka kuwa mvuke wa maji. Hicho unachokiona ni mvuke wa maji na si moshi.
 
umeifanya weekend yangu kuwa perfect
 
Okay kwanza kitaalam ile haiiwi Rocket kama ulivyo iita
Bhahahaa...Hata mimi sijui kitu nimeweka comment ili uzi upande juu... Nitarudi badae kujua kinachoendelea
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwan Ndege/rocket hutumia mkaa au kuni...?

Ule sio moshi wala mstari, Bali ni wingu linalijichora kutokana na speed ya chombo kinachopita kwa kasi angani [emoji574]

Kumbuka hata gari, binadam, baiskel na wanyama n. K huacha alama barabaran baada ya kupita [emoji188] [emoji252]
 



Kwanza kabisa lazima tujue kwamba kuna utofauti wa muundo wa engine za aeroplane na muundo wa rocket, rocket zinafanya Nazi kutokana na newton third law of motion, the law state that in every action there are equal and opposite reaction, katika rocket propagation when fuel in side the rocket engine zinapounguzwa zinakuwa forced kutoka nje kwa spidi kubwa kupitia nozzle zilizo nyuma ya rocket, hii huitwa action, action husababisha reaction, kumbuka kuwa reaction na action zipo katika opposite direction, hivo basi reaction itaipeleka rocket mbele wakati action itakuwa inaelekea nyuma. Mfano mzuri chukua puto lijaze upepo alafu liachie, litatoka kwa spidi kuelekea katika muelekeo furahi huku likitoa hewa kwa nyuma, hivyo ndivyo rocket inavyo fanya kazi. Katika ndege zingine newton third law haitumiki, bali fuel huunguzwa katika engine na energy hutengenezwa, energy hiyo ndiyo hutumika kuendesha engine za ndege husika.
 
Umenichekesha sana ila huu uzi umekuwa kama upo jukwaa la utani.
 
Mkuu hawajashindwa kutengeneza vinavyoficha ile trail. Ndege za kivita au za kispy zinayo hiyo ant-stealth technology ila ni expensive kuweka ktk ndege za kawaida za abiria na za mizigo. Ni kama ukafunge kiyoyozi ktk trekta ya shamba au jikoni.
 
Those white streaks planes leave behind are actually artificial clouds. They're called contrails, which is a shortened version of the phrase “condensation trail." Airplane engines produce exhaust, just like car engines do. As hot exhaust gases escape from a plane, the water vapor in the fumes hits the air.(copy pasted from google link hii)Google
 

si kweli umedanganya, ile ni ndege inapovuka speed of sound inatengeneza compressed air ndo ule moshi si issue ya exhaust kabisaaaa!!!
 
W We jamaa unauelewa mkubwa sana umeniongezea jambo kichwani. Thanks
 
Na wewe umeongea chenye mantiki Sana
 
Mkuu hawajashindwa kutengeneza vinavyoficha ile trail. Ndege za kivita au za kispy zinayo hiyo ant-stealth technology ila ni expensive kuweka ktk ndege za kawaida za abiria na za mizigo. Ni kama ukafunge kiyoyozi ktk trekta ya shamba au jikoni.
Umenichekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…