ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Ya unavyoelekea juu joto hupungua lakini hadi usawa fulani tu. Hapi ni baridi kiasi cha kutengeneza barafu na ndo maana mvuke hupoa kiasi cha kuganda kwa wingi hadi kufanya mvua kubwa. Ukienda juu zaidi kuna layer inaitwa Thermosphere. Hapo kuna joto la kutosha kuyeyusha chuma. Ukivuka hapo joto linapungua tena. Kwa ufupi Gravity inahusika sana katika kupelekea hali kami hii. Mfano rahisi ona jinsi ukanda wa pwani ulivyo na joto kuliko sehemu za miinuko kama Kilimanjaro , Iringa na Mbeya. Ona hadi Mlima Kilimanjaro una barafu ilihali upo ukanda wa Tropiki. Aisee ile barafu ya Kilimanjaro kwa mbali unaona kama kabarafu ka kawaida lakini siku nilipofika Uhuru peak nilishangaa maana kuna mabarafu yamejipanga na marefu kuliko magorofa ya posta.
Kweli kabisa. Ni kama exhaust ya gari wakati wa baridi hutoa mvuke pia na hata maji hutokea kwenye exhaust.