Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

Kwanza umeshawahi kupanda ndege? Ndege zinaporuka anga za mbali, e.g. KLM inapofika anga za juu, kule kuna baridi sana kiasi cha kufikia -50 Centigrade au zaidi. Kinachotokea ndege inapotoa moshi ule unakutana na mgandamizo mkubwa sana na baridi sana kiasi kuwa ule moshi unagandishwa ghafla.

Umeshawahi kujiuliza unapoamka asubuhi sana sehemu za baridi sana,. hewa unayotoa wakati unapumua kwa nini inakuwa kama moshi?

Ninaomba kueleweshwa, kwanini upoelekea juu kutoka usawa wa bahari (altitude) joto hupungua angali unaelekea karibu zaidi na jua? Ninaomba maelezo kwa lugha nyepesi kidogo.
Thanks.
 
Kwa ujumla ule mstari unaojitokeza kule juu sio moshi as such (i.e hakuna ndege inayotoa moshi mwingi namna ile tena moshi mweupe), bali ni mvuke unaotokana na burning fuels, ambao unaganda kutokana na baridi iliopo kule juu kama ilivyokwisha elezwa, na ndege za aina ile ni jet aeroplanes ambazo hazitumii mapangaboi ya nje.

Aisee kuna watu wanajua madude hadi wanatuchanganya..... yaani yote naona majibu sasa sijui lipi ni babalao
 
Ninaomba kueleweshwa, kwanini upoelekea juu kutoka usawa wa bahari (altitude) joto hupungua angali unaelekea karibu zaidi na jua? Ninaomba maelezo kwa lugha nyepesi kidogo.
Thanks.

Ukijibiwa unishtue nami please
 
The atmospheric pressure indulges in sequences of neutralise masses of massive gases called hydrogen enduring by a moving plane in ozone layer.

The impact of friction in midair collision between the moving plane at a very high supersonic speed equivalent to sound barrier irritate the ping sounds and leaves along trait of unusual gasses which amazes people like you in the grounds to contemplate and ask mediocre questions pertaining and embarking in this unsolved myths of long trail of gases left behind by big planes penetrating in an international flying zone.

I think have helped u
Naona umetema kidhungu kuonyesha msisitizo
 
Wewe ndio umetuvuruga kabisa
kiufupi ule sio moshi
ile ni hali ambayo inatokea baada ya joto kali kupita kwenye baridi kali zile ndio effect zake

nimetumia neno "mist"-ni unyevunyevu ulioangani...rejea maelezo yangu vizuri,habari nnayotoa ni ya darasani na siyo ya vijiweni...
 
Inavyoeleweka huku angani kuna upepo wenye kasi kubwa (marekebisho kama siko sahihi).

Mara nyingi nimeona zile ndege zinazopita juu sana zamani tukiziita 'roketi' zinaacha mstari mweupe wa moshi na mstari huu unachukua muda kupotea/kutawanyika unaweza kuchukua hata dakika 10 au zaidi.

Je, kwa nini hali hiyo inatokea au inawezekana kuwa si kweli kuna upepo mkali huko angani?

1. Condensation of water vapor in the exhaust gas

This needs the very cold, very dry air at higher altitudes between 6000m and 12000m. These trails can form condensation cores for humidity already present, so the trail grows over time and stays in place for hours. They are called condensation trails or "contrails".


Cirrus clouds triggered by aircraft contrails

2. Smoke from unburnt or partially burnt fuel

This was prevalent in early jets and allowed to spot them from a distance - just follow the black line, at its tip is an aircraft. Smokeless combustor cans which allow more fuel-air mixing put an end to this.


This B-47 uses rockets to accelerate quickly which leave the biggest smoke trail, but also the old J-47 left a lot of smoke behind. This picture is from the excellent web page contrailscience.

3. Oil mist or smoke flares

The third source is shown in your picture: Oil is injected into the hot exhaust stream which forms a dense mist. This can be done with jets and piston engines, and gliders or parachutists use smoke flares. Once they are ignited (in most cases electrically) they burn down and cannot be switched off.

There are many more things that can be sprayed from an aircraft (fuel, obviously, when it has to be dumped in an emergency, fertilizer or insecticides, silver iodide to seed clouds), but these are special cases. I encourage you to visit contrailscience.com for an exhaustive list of those other cases.

Sorry I could not load the pictures
 
This is very informative topic kutoka kwa JAYJAY.
More information about contrail.
see
 
Kile unachoona kama moshi mweupe kinaelezewa na nadharia ya 'refraction' katika physikia ya mwanga.

Joto kali hotoka kwenye exhaust ya ndege/roketi hufanya joto la hewa kwenye njia inapopita ndege liwe juu kuliko maeneo ya pembeni yake. Kwa mujibu wa kanuni za Physikia, 'refraction' ya mwanga hutokea kutokana na tabaka la la hewa yenye joto kubwa katikati ya sehemu ya hewa yenye joto la chini, hivyo kufanya unapoangalia uona kama moshi mweupe.
Hali hii hupotea polepole jinsi joto la hewa linaporudia kwenye usawa wake.
Mkuu wewe nimekuelewa vizuri, nimekumbuka na Nyumbani Makete kuna baridi sana hasa nyakati za asubuhi.

Ukihema ile hewa inayotoka mdomoni mida ya alfajiri inakua kama moshi hivi au mvuke fulani.

Wakati mwingine hata jua linapochomoza ile asubuhi unakuta mvuke kama ukungu hasa maeneo ya mtoni.
 
ndege ni ndege na roketi ni roketi vitu viwili tofauti.roketi huwa zinatumika sana kwenda anga za juu.ndege haziwezi kwenda anga za juu.hii ni kutokana kwanza na material yaliyotumka kuzitengeneza yako tofauti.kuhusu Moshi wakuu hapo juu wamekueleza vizuri sana


hapo nimezungumzia ndege, hiyo "roketi" nimeitumia kuelezea jinsi zamani za shule ya msingi tulivyokuwa tukiziita. kwa hiyo sizungumzii zile za NASA.
 
hapo nimezungumzia ndege, hiyo "roketi" nimeitumia kuelezea jinsi zamani za shule ya msingi tulivyokuwa tukiziita. Kwa hiyo sizungumzii zile za nasa.
point taken
 
Inavyoeleweka huku angani kuna upepo wenye kasi kubwa (marekebisho kama siko sahihi).

Mara nyingi nimeona zile ndege zinazopita juu sana zamani tukiziita 'roketi' zinaacha mstari mweupe wa moshi na mstari huu unachukua muda kupotea/kutawanyika unaweza kuchukua hata dakika 10 au zaidi.

Je, kwa nini hali hiyo inatokea au inawezekana kuwa si kweli kuna upepo mkali huko angani?
Kwenye physics kuna kanuni inasema kuwa action and reaction are equal but opposite in direction.
Rocket na ndege kubwa zinatumia jet engines ambazo zinaunguza gas kwa kiwango kikuwa na kuachia mabaki kwa nyuma yakitoka kwa speed hivyo reaction ya kutoka hayo mabak ya gas na hewa ni kuisukuma ndege au rocket mbele.
Ule mstari unaouona ni mabaki yanayotoka kwene nozzles baada ya combustion kwenye combustion chamber
 
Tatizo watu wanachanganya habari, ndege jumbo jet wanaziita rocket, halafu wanasema zinatua south africa na cairo tu wakati uwanja wowote wa kimataifa zinatua, kia, dar na nairobi hizo ndege zinatua, ila kuna baadhi zinataka vifaa 'ngazi' za aina tofauti za kushushia abiria maana zina ghorofa, ndege zenye ghorofa ni airbus a 380 na boeing 747,
Unalosema ni kweli kabisa watu wanachanganya mambo.
Rocket ikiwnda angani hairudi na kutua kama ndege inaporudi inabaki ile sehemu ya mbele tu ambayo inaenda anguka baharini imetenenezwa ili ielee na ikishatua baharini elcopter maalumu huja kuichukua maana wanahanga ndipo wanapokaa.
Space shuttle hii hutumiwa sana sana na NASA kupeleka mizigo na wanahanga anga za juu. Hii inekaa kama ndege na hurudi duniani ni kutua kama ndege katika viwanja maalumu huko marekani maana si biwanja vya ndege kwakuwa inaporudi inakuwa imechemka kweli na inapotua inakaa uwanjani bila watu waliono kutoka kwa muda mrefu kwanza ipoe.
Hizi space shuttle wameacha kuzitumia kuanzia mwaka huu operation zake zimeisha kama walivyo sitisha matumizi ya ndege ya concord.
 
Kwanza umeshawahi kupanda ndege? Ndege zinaporuka anga za mbali, e.g. KLM inapofika anga za juu, kule kuna baridi sana kiasi cha kufikia -50 Centigrade au zaidi. Kinachotokea ndege inapotoa moshi ule unakutana na mgandamizo mkubwa sana na baridi sana kiasi kuwa ule moshi unagandishwa ghafla.

Umeshawahi kujiuliza unapoamka asubuhi sana sehemu za baridi sana,. hewa unayotoa wakati unapumua kwa nini inakuwa kama moshi?

Mkuu, kweli wewe ni oil chafu, 50 centigrade ndo baridi kali??!!!!
 
Back
Top Bottom