Kwanini Ndoa siku hizi zimekuwa chache kwa Vijana?

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Ukitizama siku hizi wanaofunga Ndoa ni wazee au vijana ambao tayari washazalishana.

Kwanini ni nadra sana kuona Ndoa za vijana barubaru wenye miaka 24 hadi 32 ambao hawajazaa wala hawana watoto nje. Miaka ya babu zetu tulikuwa tunaona sana Kijana akienda kuchumbia mwali, huko wote wakiwa hawana uzoefu mkubwa wa mahusiano na hawana watoto lakini siku hizi nadra sana, vijana wanazalishana tu...

Tena mabinti wako tayari kubeba mimba za wanaume ambao tayari wapo kwenye ndoa eti kisa tu mwanaume huyo ana Pesa. Na baadhi ya wazazi wamekuwa wakisapoti watoto wao kuzaa na waume za watu.

Vijana barubaru nao wamekuwa wakipokonywa mademu zao na sponsors. Hence kupelekea vijana nao kukata tamaa kuoa, wanazalisha wanakimbia.

Vijana na Mabinti wote hawaeleweki, mabinti wamechagua kuwa Single mothers, huku wakifanya umalaya wa chini chini kusapoti watoto wao wakitumia kigezo cha superwoman.
 
UNATUULIZA HILI IWEJE?😑😑😑😑
 
Jeshi letu ni la sita Kwa ubora duniani. Akusikie general Nguema wa Gabon. Mbavu zanguuu. πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘ŒπŸΏπŸ‘†πŸΏ

adriz kaoa wanne anaumia kimya kimya tu.

#KATAA NDOA MAAMAE
 
Majibu yote yapo humu humu ndani ya uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…