Kwanini Ndoa siku hizi zimekuwa chache kwa Vijana?

Chache kwenu malofa

Vijana wenye nazo wanaoana sana

Ukitaka kuhakiki uliza kumbi za Dar es salaam bila kuweka order miezi mitatu ay zaidi kabla kuoa au kuolewa hupati ukumbi

Kumbi unakuta ziko full booked

Uliza wa Dar wakuambie
 
Ni kitu cha ziada.ni kama kununua gari ukiwa na hela utanunua ni sawa na ndoa ukiwa na hela utaoa.

Kwan uongo ndugu zanguni?
Kuoa sio lazima uwe na hela isipokuwa teknolojia imekuwa Sana kuishi na Mwanamke anabidi kuwa na kitu Cha kukuongezea na sio ngono maana ngono huku Tandika inaanzia 1500 unapata Hadi 2000 itategemea na Bei ya soko na Aina ya bidhaa . Then ukija huku kupika na kufua zipo mashine za kufulia na majiko yanoyopika kwa haraka Sana
 
Ndoa ckuiz haina thamani tena Kama zamani.
Wanawake wa ckuiz Ni magumu Sana wanaendekeza ufeminist Hadi kwenye ndoa.
 
ugumu wa maisha ndo sababu kuu,vijana wanakula tu na kusepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…