Kwanini ndugu zetu wazaramu wanawapa watoto majina fikirishi?

Nyamayao hivi huwa lina maana gani
 
Ni kwa sababu wazazi wana akili fikirishi ndo maana wanatoa majina fikirishi
 
Hayo majina yana maana zake mkuu, mfano ukikuta dada wa kizaramo anaitwa Mwazani, basi huyo alizaliwa na papuchi kubwa (mwazi), Pili na Tatu, idadi ya kuzaliwa kwa hao watoto nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…