Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Kamba
 

Attachments

  • 20230602_061515.jpg
    30 KB · Views: 3
Mbona mbuzi anatoa maziwa na yananyweka!?
Hao si wanyama wanaoliwa?
vipi ushawahi kunywa maziwa ya kondoo??najua huwezi jibu hili swali mpaka unakufa😬😬😬nakusubiri
 
Tuweke kituo kwenye nyama yake tuu...maziwa tumwachie kwanza ukinywa utatapika mpaka utumbo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…