Kwanini Nguruwe hakamuliwi maziwa kama Ng'ombe?

Ukimkamua utamaluza utamu wa nyama.
 
maziwa ya nguruwe yanatumika kama dawa ya kumwachisha mlevi sugu pombe!!
 
Tumtafute Mr Manguruwe atatujibu maana kijiji cha manguruwe wanakunywa mpaka supu ya nguruwe
 
Kwahiyo kila mnyama anayezaa na kunyonyesha, afu analiwa na binadamu bas akamuliwe maziwaa?
Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani mama wa wtt 10 au 12 unataka umkamue kweli??
 
Kwahiyo kila mnyama anayezaa na kunyonyesha, afu analiwa na binadamu bas akamuliwe maziwaa?
Khaaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Take this: Bila kujali chanzo cha maziwa; maziwa YOTE ni chakula na mtu akitaka anaweza kuyala bila shida yoyote na hakuna madhara.
Sasa tukianza kuingiza humo mambo ya Imani, Mila, Desturi na Ubinafsi ndo hapo tunakuwa na kutengana - Ila maziwa yatabaki kuwa ni maziwa na ni chakula. Ni juu yako ww binafsi uamue kusuka au kunyoa.
 
unamimina kwenye chai,ukijifanya ni ya maziwa ya ng'ombe kwa yeye tu!!!! ila asijue,,,ili asistuke nanyi kunyweni chai ya maziwa ila ng"mbe
Aisee asante. Hii naiweka ktk. vitendo haraka sana. Inarudiwa-rudiwa au ni mara moja tu basi?
 
😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…