Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

Sikweli, vijana wengi wa kiume huchelewa sana kuanza mahusiano. Usitake kubalance mizani hapa. Huo ndio ukweli.
 
Hayo makurumbembe yanajua sana kuwawin wazazi, kuna kisa kimoja dem kajilengesha kwa jamaa, jamaa akawa kama yupo 50/50 dem kuona hivo ikabidi awahi kuji attach na wazazi wa mshikaji unajua nini kilifuata, dingi wa jamaa ni wale wazee wastaafu walikua kwenye chombo kimoja hapa nnjini, fast forward dingi alimla yule mkwilima wake kimasihara na yeye ndo akawa catalyst kuhakikisha mwanae anamuoa
 
Mustakabali wa mahusiano/ndoa ni fumbo lakini iyo isiwe sababu ya kubet kwa mwanamke ambae unaziona red flags.

Kwanini ufanye gamble kwa mwanamke mwenye past chafu wakati wenye past safi wapo?
 
Mustakabali wa mahusiano/ndoa ni fumbo lakini iyo isiwe sababu ya kubet kwa mwanamke ambae unaziona red flags.

Kwanini ufanye gamble kwa mwanamke mwenye past chafu wakati wenye past safi wapo?
Labda nikuulize ww binafsi swali mkuu, mwanamke mwenye past safi wewe unaweza kumjua? Unamjuaje?
 
kweli aisee mazeee...mm nlipoona mjini hakuna vitu visafiii...nliongea na wazeee wakaniletea mtoto mbichi kabisa toka muheza hukoo....yaaani best decision of my life, mke mzurii, mtulivu na muelewa kabisaa, no conflict at alll....huwa nacheka tu kimya kimya marafiki zangu wakiniambia wanachopitizwa na wake zao wa mjinii mazee ...yaani ni simple tu stay away from damaged women! ama utaishi maisha ya fedheha hadi kifo chakoo...
 
Sikweli, vijana wengi wa kiume huchelewa sana kuanza mahusiano. Usitake kubalance mizani hapa. Huo ndio ukweli.
KIjana wa kike anaingia kwenye dating pool akiwa 14 yrs tu., kijana wa kiume akiwahi sana anaingia kwenye dating pool akiwa 18-20 hivi. that's why on most cases mwanamke wa age yako anakua amekuzidi uzoefu na ujuzi mkubwa hapo kwenye dating pool.

Mzee wangu alishawahi kuniambia nitakapokiria kuoa nioe mwanamke ambae nimemzidi angalao miaka 8
 
***** hapa Jadda et al lazima akunje ndita akisoma nyuzi za namna hii
 
Wazazi wa hovyo wapo pia, sema sio rahisi wazazi kumuingiza chaka mtoto wao. Halafu iyo kukutafutia mke yaani wanampoint wao wenyewe mwanamke ambae wana file lake tangu akiwa mdogo hapo kijijini, ila ukijichanganya kutafuta gumegume la mjini halafu umpeleke kwa wazazi wamfanyie uhakiki ofcourse uyo gumegume ataigiza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…