Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #81
Inashangaza sana hii tabia ya kutafuta upenyo wa kumlaumu mwanaume kwenye makosa ya mwanamke kama vile uyo mwanamke hana akili ya kutambua jema na bayaMwanaume ndie anaekwambia vaa kimini uende club ukacheze nusu uchi mbele ya umati?
Usinichekeshe!
Ok cool.You are loud and wrong.
Siwindi mtu wa aina yeyote, hivyo inafanya Sihusiki na huu uzi, i am just another feminist, feminist by birth.. Who defends women rights and wrongs..
Learn about people or perish.
Be sharp and ruthlessMwanamke akikutaka mzeee kumruka ni kipengele sana
Mkuu tunapoelekea hawa wanawake hawataamini, unajua baadhi ya wanaume washaanza badili mitazamo kuwekeza kwenye kutafuta zaidi kuliko mahusiano tena hawana kabisa mpango nina ushahidi kulingana na ninapofanyia kazi na kila ninapokuwa mtaani au viwanja kuhang na wana.Kuna wakati huwa natamani kujiaminisha kwamba baada ya kujipata si lazima nije kuishi na mwanamke ndiyo nipate ukamilifu wa kuishi hapa duniani. Nyakati zimebadilika, ninaweza nika hit and run na nikaishi mpk uzeeni, nikafa kwa mapenzi ya Mungu tu na si stress za damaged woman ambaye ningeishi nae
Kuna dondoo zinaweza kukuongoza kama heshima, utiifu, mavazi, mienendo yake, bikira, maisha ya wazazi wake n.kLabda nikuulize ww binafsi swali mkuu, mwanamke mwenye past safi wewe unaweza kumjua? Unamjuaje?
weka mbele udhaifu wake kuliko mema yake.Nimesoma nimesoma huu uzi nimejikuta nimeangukia huko tena nipo ndaniii kwenye pango refu.Natokaje jamani msaada
Kwa mwanaume gharama za maisha zinakua ndogo ukiwa single na kubwa ukiamua kuingia kwenye committed relationship, wakati kwa mwanamke akiwa single gharamanza maisha zinakua kubwa na akiingia kwenye relationship gharama za maisha zinashuka au anaishi free kabisa.Mkuu tunapoelekea hawa wanawake hawataamini, unajua baadhi ya wanaume washaanza badili mitazamo kuwekeza kwenye kutafuta zaidi kuliko mahusiano tena hawana kabisa mpango nina ushahidi kulingana na ninapofanyia kazi na kila ninapokuwa mtaani au viwanja kuhang na wana.
Mimi binafsi ni miongoni mwao nipo age of 30's nina watoto wawili naiona tofauti kubwa sana kuwa mwenyewe kuliko kuishi na mwanamke nothing to stress me zaidi ya kazi na nimepiga hatua kubwa sana kuliko nilipokuwa na hao viumbe ile serious relationship.
Sas kuna mpaka wazee hawataki kabisa habari za mahusiano na wanafurahia maisha i wonder uko mbele hali itakuaje.
N.B Vimeo vyakukata upwiru ni vipo vingi but nina limit navyo tukimalizana kila mtu anashika njia zake.
Mara nyingi unakuta alijikita kwenye Sabuni tu brooHuyo "nice guy" wakati anajitafuta alikuwa anabanjuka na mbwa eti??
Si aoe hao aliokuwa anabanjuka nao maana watakuwa wanaendana?
True hakuna amani ndani ya moyo kama unapojipangia matumizi pesa yako pasipo kuwaza pesa ya wigi, chupi, kusuka etc kutoka kwa mwanamke na sas hivi wana kauli yao kwamba muoga wa maisha ilihali naona hawajui wanachotaka ulishapitia ndiyo hiyo mitego wanayoweka unase wapite na vyako badae haohao wanaanza kukucheka.Kwa mwanaume gharama za maisha zinakua ndogo ukiwa single na kubwa ukiamua kuingia kwenye committed relationship, wakati kwa mwanamke akiwa single gharamanza maisha zinakua kubwa na akiingia kwenye relationship gharama za maisha zinashuka au anaishi free kabisa.
Alikuwa mpiga nyetoHuyo "nice guy" wakati anajitafuta alikuwa anabanjuka na mbwa eti??
Si aoe hao aliokuwa anabanjuka nao maana watakuwa wanaendana?
Hili suala la ngono kabla ya ndoa ni la wote, si wasichana tu bali vijana na wazee wamo na wanachangia uharibifu wa jamii zetu kwa ujumla kiasi cha kusemwa hakuna maadili tena.
Not necessarily so, for as they say, 'opposites attract'.Mimi najua kama wewe nice guy you'll always attract a nice woman ....we attract what we are .,...
According to mtazamo wako lkn unaweza ukaangalia vyote hivyo na steel mwaamke asiwe hivyo unavyothan, women are very complicated creature in this universe we are living mkuu, bado hujawajua vizuri kama hizo ndio dondoo unazotegemea upate nice women.Kuna dondoo zinaweza kukuongoza kama heshima, utiifu, mavazi, mienendo yake, bikira, maisha ya wazazi wake n.k
StillAccording to mtazamo wako lkn unaweza ukaangalia vyote hivyo na steel mwaamke asiwe hivyo unavyothan, women are very complicated creature in this universe we are living mkuu, bado hujawajua vizuri kama hizo ndio dondoo unazotegemea upate nice women.
KAtika kila jambo kuna exception lakini tunapofanya general conclusion atuangalii exceptionality.According to mtazamo wako lkn unaweza ukaangalia vyote hivyo na steel mwaamke asiwe hivyo unavyothan, women are very complicated creature in this universe we are living mkuu, bado hujawajua vizuri kama hizo ndio dondoo unazotegemea upate nice women.
Mbona wapo watu waliooa makahaba na sasa wamebadilika wanasherehekea miaka10 ya ndoa zao. Ndio maana nasema hayana fomula mkuuKAtika kila jambo kuna exception lakini tunapofanya general conclusion atuangalii exceptionality.
Ndio maana nimekuambia katika kucjagua kukosea kupo lakini isiwe sababu ya wewe kupuuzia hatari.
Kwanini hauwezi kwenda kuchukua mmoja wa makahaba wanajiuza pale reverside na kumfanya awe mkeo, huyu kahaba nae ni binadamu pia anaweza kubadilika kwanini usimchukue umkanye aache ukahaba halafu umuweke ndani awe mkeo?
Mustakabali wa mahusiano/ndoa ni fumbo lakini iyo sio sababu ya wewe kuchagua mwenza wa maisha blindly.
Ukiona uko matatizoni wewe sio nice guy walahiAsante kwa nishtua bro, maana mimi ni mr nice guy pro level,
Ngoja niwaambie wazee.
Ila kaka vyuma hivi vyenye utapeli ni vya moto
Ukishafikia level unatafutiwa na wazazi mke, basi wewe ushafeliNinachotaka kusema watakapoamua kuoa wafanye vetting vizuri na ikiwezekana waombe kusaidiwa na wazazi kwa sababu nice guys hawajui tricks nyingi sana hapo kwenye dating pool