Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

Tumekufanyaje kwani 😀
 
Umeeleza vyema. Safi sana kaka.
 
Mtoto wako wa kiume akija kukuambia anataka kuoa kahaba au mwanamke anaejulikana kwa umalaya mtaani utamkubalia
Mpaka anakuja kwangu kunieleza hayo mwenyewe atakuwa ameshaangalia prons ana cons za huyo malaya au kahaba kama unavyomuita so nitamkubalia
 
You are a woman and you can't teach a man how to be a man, because you don't what it takes to be a man.
 
Ukishafikia level unatafutiwa na wazazi mke, basi wewe ushafeli
Hakuna shida yoyote kutafutiwa mke na wazazi. Mjini watu tumekutana ukubwani na tupo bize hatuna muda wa kufatilia file zima la mwanamke sio mbaya ukiwaambia wazee wakutafutie binti ambae wanaijua historia yake tangu akiwa mtoto uko kijijini
 
Hahaha,
Mbona unachanganya mambo?
Kwa huo ufafanuzi wako hao ni 'Bad Guys'
 
Ukipata demaged ujue na wewe ni demage ingine tu Umepewa wa kufananaa
 
Ukipata demaged ujue na wewe ni demage ingine tu Umepewa wa kufananaa
Sio kweli kabosa.. kupata demaged product kwa kiasi kikubwa kunatokana na makosa uliyoyafanya wakati unamfanyia vetting partner wako, hakuna mahusiano moja kwa moja ya wema au ubaya wa mtu.

Unafikiri in most cases kwanini mume akiwa hovyo mke anakua mwema au mke akiwa hovyo mume anakua mwema?

ni kwa sababu hawa watu wa hovyo wana uzoefu mkubwa kwenye dating pool, washakichafua sana kwaiyo wakiamua kutulia ni rahisi kufanya chaguo sahihi kwa sababu wanazijua kwa undani characters zote za jinsia nyingine.
 
You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.
Umeongea ukweli sana.

Kijana mwenye mafanikio Obviously aliacha mambo ya dunia aka jikita kwenye malengo na hana uzoefu na hawa Hawks
 
Victims ni sisi Nice Guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…