Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

Kuna jamaa live nilimuona anafanyiwa hii kitu na huyo as you said damaged girl.

Yule dem alikua anamuaktia mchiz vibaya kama wife material kabisa. Ila mim rafiki yake huyo dem pia ni rafiki yangu, so ndio akawa ananipa picha kamili.

Manzi analiwa hovyo ovyo tuu hadi na watoto wadogo. Nilisikitika sana aisee.
 
Mkuu hil linaitaj neema ya mungu TUPO KWENYE SOKO LA MISHANGAZI kuruka huu mtego sijui na ukiruka UMETOBOA
 
Kama hauna uzoefu wa chaos za kwenye dating pool na unaona umefika wakati wa kuanzisha familia yako mimi naona ni bora ukubali kuonekana mshamba kwa kuwaambia wazee wakutafutie mke uko kijijini.

Ukifanya msako wewe mwenyewe hapa mjini na wakati hauzijui tricks za hawa viumbe kuna uwezekano mkubwa sana wa kuingizwa chaka
 
Balance of nature
 
I absolutely love reading your work! You have a real talent for explaining complex ideas in a simple, accessible way.
It's so important to be careful when dealing with women when it comes to relationships. They often have a tendency to put on a show in the initial stages of a relationship, but in reality, they're not. It's always better to do a background check!
 
Hawa mademu time hizi wanaendaga kujitega makanisani.

Unakuta kidume umejitafuta saiz mambo safi una kua usafiri mara paaaap!!! Pastor wa kanisa unalosali anaanza kukufosi uoe.

Na mwanamke wa kuoa unapewa hapo hapo kanisani, maskini ya mungu na wewe unaamua kutundika daruga za team kataa ndoa unapiga magoti na kusema ido.

Kumbe mwanamke ulieoa, ni chuma cha reli, anazijua bamia za kila aina, alishafinywa mpaka na zilizopinda, ndefu, fupi, butu yaani kwa kifupi hakuna asilolijua, ila akiwa kwako ni wife material tena anampenda yesu.

Unakuta unaamua kumtoa demu out kumsuprise sehemu nzuri ambayo unaamini hajawahi kufika, lakini mkifika eneo la tukio reaction yake inakua ya kawaida tu(kumbe alishaga kuja enzi zake na vidume wenzio)

Kuna jamaa hapo kenya aliamua kumsuprise mkewe kwa kumpandisha helicopter 🚁 πŸ˜‹, demu kapanda helicopter hakuonyesha hata mshtuko(surprised) hata kidogo, kumbe enzi zake ameyapanda sana ma choper, kwa hiyo ni kitu cha kawaida.

Na ma pasta wakishakuona una vijihela kidogo wanakufosi uoe ili usije kukimbia kanisani (sadaka atalipa nani) Ukishaoa na ukawa na familia lazima kila j2 kanisani.


View: https://youtu.be/dUhZeo776n8?si=gEPxjfE6FyASjQHt
 
Sasa umeshasema Nice huoni kwamba pamoja na kuwa Nice ni hata kuweza kuhimili / kuishi / kuwasamehe hao so called damaged....

"Empath" a person who is highly attuned to the emotions of others.

Thus kuna watu ile kuwa needed, the need to fix, the need to be wanted, the need to feel they can make a difference that is their attraction...

To each his/her Own...
 
Shukrani sana mkuu kwa appreciation yako na kujazia nyama
 
Kwenye uwanja wa mapenzi "nice guy" ina maana tofauti kidogo na unavyoweza kuitafsiri kwa ujumla wake.

In dating pool nice guy means that naive man who can be easily manipulated, cheated and used by women.
 
Kwenye uwanja wa mapenzi "nice guy" ina maana tofauti kidogo na unavyoweza kuitafsiri kwa ujumla wake.

In dating pool nice guy means that naive man who can be easily manipulated, cheated and used by women.
Nadhani it's being naive kudhani kwamba unaweza kumbadilisha binadamu mwenzako kirahisi, au predict the outcomes za mtu au aliyekuwa bora jana kesho hawezi kubadilika kuwa mzuri au vice versa..., au mtu bora kabisa leo kesho akawa mchawi wa kutupa kulingana na circumstances..., Hence the Saying Hell hath no Fury as a Woman Scorned....

Therefore you might be the one doing the damaging hence as we physicists might tell you, Action and Reaction are Equal and Opposite...
 
Kama uzi Huu hautoeleweka Kwa Nice Guy, basi Wacha waendelee kujinyonga
 
Emotional baggages anazozibeba mwanamke kwenye mahusiano yake ya nyuma zinachangia kwa kiasi kikubwa sana character kwenye mahusiano yake yajayo. Hapa naona unajaribu kubishana na ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…