Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #121
😀😀😀 nice guys huwa wanaishiaga kuwa baba wa kambo.Victims ni sisi Nice Guys
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀 nice guys huwa wanaishiaga kuwa baba wa kambo.Victims ni sisi Nice Guys
Inauma sana aisee😀😀😀 nice guys huwa wanaishiaga kuwa baba wa kambo.
Matatizo gani mama,Ukiona uko matatizoni wewe sio nice guy walahi
Kama hauna uzoefu wa chaos za kwenye dating pool na unaona umefika wakati wa kuanzisha familia yako mimi naona ni bora ukubali kuonekana mshamba kwa kuwaambia wazee wakutafutie mke uko kijijini.Kuna jamaa live nilimuona anafanyiwa hii kitu na huyo as you said damaged girl.
Yule dem alikua anamuaktia mchiz vibaya kama wife material kabisa. Ila mim rafiki yake huyo dem pia ni rafiki yangu, so ndio akawa ananipa picha kamili.
Manzi analiwa hovyo ovyo tuu hadi na watoto wadogo. Nilisikitika sana aisee.
Balance of natureUnapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?
Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.
Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.
Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.
Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.
Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.
Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.
Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.
Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.
Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.
They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.
Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.
You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.
Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.
Naomba uelezee zaidi mkuuBalance of nature
Hawa mademu time hizi wanaendaga kujitega makanisani.Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?
Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.
Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.
Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.
Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.
Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.
Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.
Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.
Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.
Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.
They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.
Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.
You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.
Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.
Shukrani sana mkuu kwa appreciation yako na kujazia nyamaI absolutely love reading your work! You have a real talent for explaining complex ideas in a simple, accessible way.
It's so important to be careful when dealing with women when it comes to relationships. They often have a tendency to put on a show in the initial stages of a relationship, but in reality, they're not. It's always better to do a background check!
Kwenye uwanja wa mapenzi "nice guy" ina maana tofauti kidogo na unavyoweza kuitafsiri kwa ujumla wake.Sasa umeshasema Nice huoni kwamba pamoja na kuwa Nice ni hata kuweza kuhimili / kuishi / kuwasamehe hao so called damaged....
"Empath" a person who is highly attuned to the emotions of others.
Thus kuna watu ile kuwa needed, the need to fix, the need to be wanted, the need to feel they can make a difference that is their attraction...
To each his/her Own...
Nadhani it's being naive kudhani kwamba unaweza kumbadilisha binadamu mwenzako kirahisi, au predict the outcomes za mtu au aliyekuwa bora jana kesho hawezi kubadilika kuwa mzuri au vice versa..., au mtu bora kabisa leo kesho akawa mchawi wa kutupa kulingana na circumstances..., Hence the Saying Hell hath no Fury as a Woman Scorned....Kwenye uwanja wa mapenzi "nice guy" ina maana tofauti kidogo na unavyoweza kuitafsiri kwa ujumla wake.
In dating pool nice guy means that naive man who can be easily manipulated, cheated and used by women.
Kama uzi Huu hautoeleweka Kwa Nice Guy, basi Wacha waendelee kujinyongaUnapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande mwingine?
Kuna wanawake uko nje wanatumia vibaya ujana wao kulala na wanaume tofauti tofauti, kupoteza muda na wanaume wasiokua na malengo, nidhamu na kutojua wajibu wao. These women are doing all these shit stuffs in the name of having fun.
Fast foward baada ya miaka 10 mpaka 15, sasa ushajipata, akaunti ya benki inasoma figures za maana, sasa una maisha ambayo watu wengi wanayatamani.
Unaona umefika sasa wakati wa kuoa na uanzishe familia yako. Unajua wanawake gani watakaokuwinda kwa udi na uvumba? ni wale wanawake walliotumia prime yao vibaya mtaani wakati wewe unapambana.
Sasa hivi wapo 28+, wana past chafu, body count inasoma mileage nyingi sana, wengi ni single mothers, wanaishi na trauma za mahusiano yao ya nyuma, washaaribu kizazi kwa kumeza vidonge vya kutoa mimba, kuna wengine hapa ndo hawana bikira hata moja. Wamebeba sumu kali mioyoni mwao.
Pamoja na demages zao bado wanaishi kwenye illusion ya kujiona wana haki ya kunufaika na mafanikio na hela ya mwanaume kwa sababu tu wao ni wanawake, wanataka kipande cha keki kwenye mafanikio yako.
Hapa ndipo nice guys huwa wanazidiwa ujanja na hawa demaged women, kwa sababu hawa nice guys hawana uzoefu wa chaos za kwenye dating pool maana focus yao waliiweka zaidi kwenye kupambania malengo.
Sasa nice guy kaingia mtaani kusaka mwanamke wa kufanya nae maisha na hawa demaged women wanajua nice guy huyu mpambanji ni mgeni hana maarifa na uzoefu kwenye uwanja wa mahusiano kwaiyo watatumia huo mwanya kumlaghai.
Nice guy kuwa makini hapa. Usisettle na mwanamke kichwa kichwa. Wanawake wanajua kuigiza, kudanganya na kujifanya wife material.
Kumbuka hawa wanawake wa age yako wameingia kwenye dating pool around miaka 14-15 tu kwaiyo wana uzoefu mkubwa na wamekuzidi maarifa mengi kwenye dating pool.
They will play the role of loving, supportive, and innocent partner to fool you. They will act like they have left their past behind, but trust me that baggage is still there and it's waiting to destroy everything you've built once you let them in.
Nice guy ambae uliachana na mambo ya kidunia kupambania mafanikio, ukweli ni kwamba hawa demaged women wanaotaka kuandika upya historia yao sio type yako. Leave them alone, they belong to the street.
You spent your whole 20's striving for success, you are naive in dating pool, then look for a young, innocent and well cultured woman. Who respects herself and hasn't been corrupted by the streets. Ikiwezekana ongea na wazee wakutafutie mke.
Kuwa makini nice guy, usiingie kwenye mitego ya hawa demaged women. Don't let your hard work go to waste by settling for someone who doesn't deserve the life you have built. You have come too far to lose it all to a delusional, entitled and unworthy woman.
Tatizo nataka kuamini ila nakumbuka tu yaliyopita very nice guy dah wengi wanashida sanaMatatizo gani mama,
Mimi ni mr a very nice guy
Wapo simps ambao ni slow learner kwaiyo tusiwakatie tamaa tuendelee kuwaelekeza taratibuKama uzi Huu hautoeleweka Kwa Nice Guy, basi Wacha waendelee kujinyonga
Emotional baggages anazozibeba mwanamke kwenye mahusiano yake ya nyuma zinachangia kwa kiasi kikubwa sana character kwenye mahusiano yake yajayo. Hapa naona unajaribu kubishana na ukweliExactly to each their own..., kwahio kwa uamuzi wako na wengine wana uamuazi wao na wote wataface consequences of their decisions, ila kama unadhani kwamba sababu mpaka leo hata baggages huko nyuma na kesho atakuwa kama leo basi you have got another think coming....
Jaribu na kwangu kidogo.Tatizo nataka kuamini ila nakumbuka tu yaliyopita very nice guy dah wengi wanashida sana