Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea huwa najisemea kimoyomoyo "huyu ataniambia nini!"
Lazima kuna case study, mtu aliyesababisha ukaja na uzi huu.Yeyote yule aliepata mafanikio kwa connection yaani kubebwa....
Kuwa na connection pia ni asset mkuu, hata wewe ukiwa na kampuni yako zikija CV mbili zinafanana, itakua rahisi zaidi kuajiri mtu unayemfahamu au uliyepewa taarifa zake na mtu wa karibu kuliko mtu baki kabisa.
Unaweza ukatoboa bila kubebwa, Mungu yupo mkuu.
Sijasema namchukia nimesema namdharau...Yan huo ni wivu tulia wakat wako utafika
Nimekupata mkuu eg. Mungu alimletea Ridhiwani mtu anayeitwa JKAnashindwa kujua kuwa ili uweze kufanikiwa Mungu( kwa wale wa Imani) huwa analeta watu wa Hatma yako( connection) ili waweze kukuvusha kukupeleka kwenye baraka zako! Baada ya hao watu kutokea basi watakufundisha na kukuacha ujisimamie mwenyewe kwa uwezo wa Mungu.
Sijasema namchukia nimesema namdharau...
Ninamdharau kwa sababu kunatofauti kati ya aliejipambania na aliepambaniwa.....Usimdharau kwa ajili hiyo. Maana ni udhaifu pia
Ninamdharau kwa sababu kunatofauti kati ya aliejipambania na aliepambaniwa.....
Kwa nini wewe hupati hizo connection? Huzitaki?Kwa miaka hii nimekuwa nikikutana na watu waliopata mafanikio au maendeleo yoyote Yale kupitia connection huwa Nina mdharau sana, na muda mwingine huwa naudharau hata ushauri wake,..akiwa anaongea huwa najisemea kimoyomoyo "huyu ataniambia nini!"
Hata hizo connection Mungu hutoa. Punguzeni wivu. Hakuna ufahari kwenye kusota.Ambao wamepambana na kufika walipo kwa msaada wa Mungu hawawezi kukuelewa.
Kuna kupambana mpaka unafika point unakata tamaa ya maisha, chakula hakuna, hujui unalala vipi na utaamkaje, mwisho unakuja kuona neema ya Mungu inakugsa.
Jomba punguza wivu. Hapa duniani hatuwezi kuwa sawa. Hizo dharau zako zitakuchelewesha zaidi.Ninamdharau kwa sababu kunatofauti kati ya aliejipambania na aliepambaniwa.....
Sidhani kama umeelewa connection inayozungumziwa hapa.Hata hizo connection Mungu hutoa. Punguzeni wivu. Hakuna ufahari kwenye kusota.