Triple G
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 3,018
- 4,369
sijajua mkuu ni nini hasa umelenga? connections zipo za aina nyingi sana...mfano; mfanyabiashara atahitaji connection za kibiashara ili aweze kwenda vizur, makazini, mashuleni, e.t.c sijajua umeegemea wapi hiyo connection maana ina uwanda mpana sana...