Kwanini nyumba yako unaiita "kakibanda kangu"? Mungu hapendi kujishusha sana. Having too much humility is self destructive

Mbona Rais Magufuli anatoa elimu bure ? Waambieni Chadema kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Magufuli.
 
Tunashukuru Tanzania tumepata Rais Mzalendo anayeipenda Nchi yake Asante Magufuli oooyeeeeee.
 
Unajua mdogo wangu hujawajua vizuri binadamu,

Huyo unaemwabia,ukisema kama hivyo nimejenga nyumba yangu,wengi hawapendi maendeleo ya mtu,wengi wanapenda kukuona chini.(ndo mana baadhi ya watu wanaatumia kakibanda)

Mimi pia ni muhanga sana,haya maisha acha tu,mtu atakuongelea vibaya hata choo cha mabati tu kashindwa kujenga.
 
Ni mawazo na fikra za kimasikini, atakapokueleza hivyo, bila shaka utamwrleza maneno ya kumpongeza na kumtia moyo, pengine ndio anachotafuta.
Siishi sehemu kubwa au yenye hadhi, Ila ninapomkaribisha yeyote asiyepafahamu, nina tamka nyumbani au kuongezea kwangu, sio kakibanda.
 
Kuna watu wanaoishi vizuri na wanajiweza, lakini kuna wengine wapo tu kwa sababu walizaliwa. Kuna wenye nyumba na wanao miliki vibanda. Nadhani kila mtu anatakiwa kujitathimini kwa kuzingatia uhalisia.

Kibanda ni kibanda tu, hata ukiite ghorofa.
Ukweli mchungu
 
Acheni kuweweseka nyie Wapinzani. Rais Magufuli ametupeleka uchumi wa kati kwa miaka mitano tu.
 
Watanzania wanampenda huyu Mzee Magufuli haijwahi kutokea Hebu angalia Elimu bure Zahanati kila kona ya Nchi.
 
Unajisifu Kwa Nani? Mambo mengine keep silence upo msemo unasema wakati mwingine jifunze kutosema mambo mazuri yako maana sio kila MTU anakufurahia. End
 
Being humble ndiyo mpango mzima. Kinyume chake ni kuwa boastful. Mjivuni. Hayo ni chukizo mbele ya Mungu wetu.
 
Mtu mweusi hataacha asili yake ya kujishusha chini na kuomba omba pesa, sipokua wachache tu wenye kujitambua.

1-Kujishusha na kutamka maneno ya kihuni all the time akidhani atapewa sifa kumbe ulimbukeni tu 😀
2-Kuomba omba pesa, hii tabia haitaisha, jitu zima na nguvu zake linaomba, halioni aibu.

Hii kasumba haitaisha...
 
Tatizo wananzengo hawapendi kusikia kua tunamiliki nyumba hivyo inabidi tu useme una kibanda, hata simu kali tunasema kimeo, gari tunaita ka mkweche ili mradi tu nyoyo zao zisuuzike
 
Mwingine anafunga na kuomba kwa kuvaa magunia kuwa apate kachumba kamoja tuuuuu....akijienga kachumba kamoja anaweka na matoleo ya kuunganisha kachumba kapili ahahaaaaaaaaaaaaa......unafiki kiwango cha PhD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…