Hiyo ndio ilinifanya nikitafute.....Viko vingi sana, wewe tu. Kanisa katoliki liliomba msamaha nadhani mwaka 2000 mwanzoni kuhusu kuficha kitabu hiki cha Mary Magdalene
Je unajua alikuwa ni mchumba wake Yesu?
Nakupa siri hii moja ujue. Unaweza ukasoma Biblia usielewe ukaona miaka au wanachanganya number na kazalika. Haikuwa kimakosa ila sasa watu wanabadilisha number imekuwa na makosa mengi
Mathematic is not just numbers its a language. Its a universe language.
Utata unakuja kwenye mafundisho wenye 73 wanaamini kuna toharani wenye 66 hawaamini.Martin Luther king kipindi anavitoa hakuvitoa kwa sababu haviaminiki. Ila aliviweka kama vitabu mhim vya kusoma mwishoni mwa biblia.
Bible imeandika mwisho yote yange andikwa basi yasingetosha.
Protestant waliona hivo vitabu 66 vinatosha kumhubiria mtu na akaamini na kuwa mkristo bora. Roma waliona hivyo 73, eastern Orthodox 76 na Ethiopian Orthodox 81.
Msingi wanao angalia haya maandishi yanatosha kumfanya mkristo akaamini na kuwa bora.
Japo vitabu vyote vinakubalika lakini ni vile basic tu kwa mkristo labda hawa waprotestant wa juzi ambao hawajui chanzo cha kuvitoa.
Kwa nini kanisa la mwanzo walitumia zaidi tafsiri ya Kigiriki (Septuagint) badala ya orodha ya maandiko ya Kiebrania (Hebrew Canon) ?Ukiongelea tofauti ya idadi ya vitabu, moja kwa moja unakuwa unaongelea vitabu vya Tobiti, Yudithi, Hekima, Siraki, Baruku, 1 Wamakabayo na 2 Wamakabayo. Hivi ni vitabu vinavyopatikana katika Biblia ya Kikatoliki lakini havimo katika Biblia nyingi za Kiprotestanti.
Kanisa la mwanzo lilitumia sana tafsiri ya Kigiriki (Septuagint), iliyokuwa na vitabu 46 vya Agano la Kale. Karne ya 16, wakati wa Reformation, Waprotestanti walifuata zaidi orodha ya maandiko ya Kiebrania (Hebrew Canon), iliyokuwa na vitabu 39 vya Agano la Kale. Ukijumlisha na vitabu 27 vya Agano Jipya unapata vitabu 66.
Vitabu hivyo 7 vilikuwa na utata, na utata huo ni sababu kila upande uliviangalia, ukavipokea au kuvikataa kwa savabu zake, mfano
Kuhusu swali la nani ana mamlaka ya kuamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia, hapo ndipo mjadala mkubwa ulipo:
- wayahudi walivikataa sababu Havikuwepo katika orodha ya Kiebrania iliyokubaliwa na Wayahudi wengi.
- Waprotestant walivikataa sababu Baadhi ya mafundisho yake yalionekana kutounga mkono baadhi ya mafundisho ya Waprotestanti.
- Wakatoliki walivikubali sababu waliona vilitumika na Kanisa la kwanza kwa karne nyingi, hivyo vina mamlaka ya kiroho.
Wakatoliki husema Kanisa, kupitia mapokeo yake na mabaraza ya Kanisa (Church Councils), lilitambua rasmi vitabu vya Biblia.Waprotestanti husema Kanisa halikuumba Biblia, bali lilitambua tu vitabu ambavyo tayari vilikuwa vimevuviwa na Mungu (inspired writings).
Kwa hiyo, mjadala si kuhusu vitabu saba pekee, bali pia kuhusu chanxo cha mamulaka ya mwisho katika Ukristo: Kanisa au Maandiko.
Hivyo vitabu chukulia kama elimu ya kidunia kuna kuwa na basic education, secondary, advance, na university.Utata unakuja kwenye mafundisho wenye 73 wanaamini kuna toharani wenye 66 hawaamini.
Fundisho la toharani(purgatory) ni muhimu sana kwenye Ukatoliki na hata katika historia yake limekuwa lenye kuleta tafrani sana, ni mojawapo ya mafundisho yaliyomtoa Martin Luther kwenye Ukatoliki akipinga watu kulipishwa fedha na mali kwa ajili ya maombi ya Kanisa kuwatoa watu wao Toharani kuingia mbinguni.Hivyo vitabu chukulia kama elimu ya kidunia kuna kuwa na basic education, secondary, advance, na university.
Kila kanisa limechagua basic education yake iwe ipi ndio hivyo vitabu vya biblia. Kutoamiani au kuamini toharan inategemea na jinsi ulivyozama kwenye mafundisho na hicho sio mhimu sana.
Mbona hakuna sehem kanisa liliomba msamahaViko vingi sana, wewe tu. Kanisa katoliki liliomba msamaha nadhani mwaka 2000 mwanzoni kuhusu kuficha kitabu hiki cha Mary Magdalene
Je unajua alikuwa ni mchumba wake Yesu?
Nakupa siri hii moja ujue. Unaweza ukasoma Biblia usielewe ukaona miaka au wanachanganya number na kazalika. Haikuwa kimakosa ila sasa watu wanabadilisha number imekuwa na makosa mengi
Mathematic is not just numbers its a language. Its a universe language.
Ukiona dini ina mavitabu mengi mara version hii mara hadithi kibao.Kwa nini Wakatoliki wanatumia Biblia yenye vitabu 73 huku Waprotestanti wanatumia Biblia yenye vitabu 66 ?
Hivyo vitabu 7 vya ziada au pungufu vilikuwa na utata gani kati ya ndugu hawa wawili wa Ukristo ?
Nani huamua kitabu kipi kiwe sehemu ya Biblia na kipi kisiwe katika Biblia?
Kuna watu wanatumia hizo nguvu?Ndio
Wanaunda makundi mbalimbali kwa sababu kama ilivyo quran ina elimu ya giza ya uchawi na mambo kama hayo
Kuna maneno yako very powerful, powerful kiasi cha kukupa uwezo wa kimungu mtu
Martin Luther hakutoka Catholic bali alitolewa(excommunicated). Na alipokuwa Catholic hakupinga toharan alipinga watu kulipishwa pesa.Fundisho la toharani(purgatory) ni muhimu sana kwenye Ukatoliki na hata katika historia yake limekuwa lenye kuleta tafrani sana, ni mojawapo ya mafundisho yaliyomtoa Martin Luther kwenye Ukatoliki akipinga watu kulipishwa fedha na mali kwa ajili ya maombi ya Kanisa kuwatoa watu wao Toharani kuingia mbinguni.
Kanisa linaomba msamaha kikubwa. In 2016, kupitia papa limemtambua Marry Magdalene kama mmoja wa mitume wa Yesu.Mbona hakuna sehem kanisa liliomba msamaha
Sijaelewa pale kwa mchumba wa Yesu aisee..Kanisa linaomba msamaha kikubwa. In 2016, kupitia papa limemtambua Marry Magdalene kama mmoja wa mitume wa Yesu.
Kila kitu unataka utafutiwe kweli unashindwa kusoma makala za kanisa
Mary Magdalene: An Apostle for Our Times
Who is Mary Magdalene? On June 10, 2016, the Vatican announced that Pope Francis elevated the July 22nd observance of Mary Magdalene from a memorial to a liturgical feast. This action places Mary Magdalene's feast on par with those of the male apostles recognizing her role as the primary witness...futurechurch.org
HIcho ndicho unachokishika vingine walaSijaelewa pale kwa mchumba wa Yesu aisee..
Kuanzia kipande gani hujaelewaSijaelewa pale kwa mchumba wa Yesu aisee..
Sijawahi kusikia hiki kitu, na kuna kashfa huwa naziona humu mara yesu alikuwa gay mara mchumba ni mary n so n so, nimechagua kujua hii part.. sijaona kama hili swali halina maana!HIcho ndicho unachokishika vingine wala
Kesho unakuja mtandaoni unasema Yesu hayupo hajawahi kuwepo na wala hakuna Mungu. You only listen to what you want to hear
Ask me meangful questions dear seran
Kaka kilichofanyika ni kumpandisha hadhi au kumtambua kuwa mtume mmoja wapo wa Yesu hakuna sehemu limeomba msamaha kwa kuficha kitu, labda unifafanulie vizuriKanisa linaomba msamaha kikubwa. In 2016, kupitia papa limemtambua Marry Magdalene kama mmoja wa mitume wa Yesu.
Kila kitu unataka utafutiwe kweli unashindwa kusoma makala za kanisa
Mary Magdalene: An Apostle for Our Times
Who is Mary Magdalene? On June 10, 2016, the Vatican announced that Pope Francis elevated the July 22nd observance of Mary Magdalene from a memorial to a liturgical feast. This action places Mary Magdalene's feast on par with those of the male apostles recognizing her role as the primary witness...futurechurch.org
Mambo za Yesu alikuwa na mchumba haziniingii kabisa😫Kuanzia kipande gani hujaelewa
Wataalamu waliobobea ndo wanatoa hizo dondoo mkuu, kuna nyuzi kadhaa hata jukwaani.Mambo za Yesu alikuwa na mchumba haziniingii kabisa😫