Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua wewe ni mjinga, Mwaka 1978 kagame alikuwa na miaka mingapi na alikuwa wapi?Ubora? Labda kwa idadi ga askari lakini sio ubora
Jeshi makomandoo wake wanateswa na makachero km watt na JWTZ liko kimya!
Unajua PK ndie alieliongoza jeshi letu kumtoa Idd Amin?
Au mlidanganywa kuwa ni Mayunga?
PK ni extreme fighter sio level yetu mkuu
Ahsante kwa kuappriciate kiongozi. PK Hawa vijana wa leo wanamchukulia kisportsport.Ujinga ninkutokuwa na info za kutosha.
PK kaanza vita akiwa kijana mdogo sana na alishiriki vita ya Uganda mstari wa mbele kabisa km kiongozi wala sio informer,umepotoshwa..soma!
PK ndie aliemfurusha Idd Amin ndipo akina Mayunga wakafuata..soma!
M7 alipoingia madarakani alimpa cheo PK cha kusimamia na kulinoa jeshi la Uganda...soma!
Baadae PK alirudi msituni kuikomboa Rwanda chini ya utawala wa wahutu...soma!
Hakuna vita PK aliwahi kushindwa,ndje jasusi bora kabisa kuwahi tokea kusini mwa sahara...US wanajua,Nyerere,JK,JPM hawa wote na ubabe wao kwa 'slim' hawakuwahi kumchokoza
Wewe una taarifa sahihi sana za PK.
Jeshi letu lina idadi kubwa ya wanajeshi lakini halina ubora wowote ukilinganisha na la Rwanda.
PK ni level nyingine kabisa acha atudharau km makomandoo wetu wanapigwa vibao na askari polisi hakuna namna,dharau lazima
1978 tayari kagame alikuwa na miaka 21 kishapata mafunzo ya juu ya kijeshi hapa nchini akitokea kambi ya wakimbizi.Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua wewe ni mjinga, Mwaka 1978 kagame alikuwa na miaka mingapi na alikuwa wapi?
Soma acha ujingaHivi upuuzi kama huu mnautolea kwenye vijiwe gani?
Soma ukusanye maarifa,usikusanye ujingaAcha utoto
Akawa anajiuliza ndio hawa hawa walinufanyia noma au wengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani jamaa alikumbuka walivyofurusha kule Drc Kongo alikokuwa kaweka mgambo wake,ss akawa anajiuliza ndio hawa hawa walinifanyia noma au wengine,ha ha ha kumbe ndo hao hao,Kama analeta dhrau basi ajaribu aone watakachomfanya,aulize Amin dada nn klmtokea !?,Kama Kenya wenyewe mpaka leo bado hawanaga uhakika wa estimate ya uwezo wa jwtz,ukiwauliza je kdf na jwtz Kama zikipigwa mtatoboa,wanakwambia ooh kwa vita ya ardhi mnaweza kutupiga lkn angani hamtuwez,ukweli jwtz tangu enz za mwal. iko fiti na high molale Hadi leo,si marine,si anga si ardhini.
Mahaba yako kwa kagame yanakupofusha na kukugeuza ndondocha.Soma acha ujinga
Sasa mbona unaandika ujinga ndicho ulichokusanya au unatafuta habari?Soma ukusanye maarifa,usikusanye ujinga
Ni komando yule na alipindua nchini na akaamua kung'ang'ania madaraka!Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
i have noticed the kid i'm arguing with is a fool.Wee ndiye mjinga, kama wataka tutukanane. Una elimu gani wee? Nchi zinaonesha zana za kivita katika siku za Taifa aidha kuonesha walipofikia katika kutengeneza silaha (hilo halipo) au jinsi walivyo na silaha za kisasa (kwa wale wasiotengeneza). Huwezi kuonesha silaha za zamani kwa exhibition. Labda wewe ndiye limbukeni unayetaka kuona. Lakini wamwonesha Uhuru au Kagame...yaingilika akilini? Nani asiyejua Mig 21 au makombora ya kawaida ya surface-to-air?
Soma ukusanye maarifa,usikusanye ujingaAcha utoto
kwa mjinga maarifa sahihi kwake ni ujinga,na upumbavu kwake ndo maarifa.Sasa mbona unaandika ujinga ndicho ulichokusanya au unatafuta habari?
Huu ndo upumbavu wa watz walio wengi...Mahaba yako kwa kagame yanakupofusha na kukugeuza ndondocha.
Binti nenda ukamuandalie kagame chakula cha mchana.Huu ndo upumbavu wa watz walio wengi...
Ukweli kwao mahaba na uchochezi...
Uongo kwao ni sifa na uzalendo🚮🚮
Tupe source Kagame aliongoza majeshi kumtoa Amin Uganda.Soma ukusanye maarifa,usikusanye ujinga
kwa mjinga maarifa sahihi kwake ni ujinga,na upumbavu kwake ndo maarifa.
Wewe ulitaka niandike nini unachoona ni sahihi na kwa source ipi?
[emoji706][emoji706]
Yale ma helcopta alivyokuwa analalamika zito hayakuoneshwa?Ndege zenyewe tulimnyang'anya idd amin kipindi cha vita vya kagera...... Ndege za kishamba balaaa.
Acha kutembelea kwenye hoja yangu...Tupe source Kagame aliongoza majeshi kumtoa Amin Uganda.
... nadhani waandaji wali-confuse wakadhani hadhira na tukio lile ni kampeni za ubunge Nanjilinji huko!Yaani kwa kweli hilo li Masanja na lile jenzie ni mapimbi na nusu [emoji36] yametuaibisha kichizi !
Ndio maana nikakuambia acha utoto najua hujui unachokisema au husemi kwa kumaanisha ndio nikakuuliza au unatafuta habari?Acha kutembelea kwenye hoja yangu...
Tafuta source mwenyewe au hujui kusoma?
Ndani ya mjadala huu mjinga ni wewe tu...wengi wana taarifa sahihi maana hili linajulikana na taarifa zipo..tafuta mwenyewe usitupe kazi za kijinga kwa ujinga wakoNdio maana nikakuambia acha utoto najua hujui unachokisema au husemi kwa kumaanisha ndio nikakuuliza au unatafuta habari?
Wengi wanataarifa mbona hatuzioni hizo taarifa PK anafoleni mbali sana kwa TZ ndio maana baada ya kauli yake tata kwa JK alinyooshwa na akaomba yaishe.Ndani ya mjadala huu mjinga ni wewe tu...wengi wana taarifa sahihi maana hili linajulikana na taarifa zipo..tafuta mwenyewe usitupe kazi za kijinga kwa ujinga wako