Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Ubora? Labda kwa idadi ga askari lakini sio ubora

Jeshi makomandoo wake wanateswa na makachero km watt na JWTZ liko kimya!

Unajua PK ndie alieliongoza jeshi letu kumtoa Idd Amin?

Au mlidanganywa kuwa ni Mayunga?

PK ni extreme fighter sio level yetu mkuu
Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua wewe ni mjinga, Mwaka 1978 kagame alikuwa na miaka mingapi na alikuwa wapi?
 
Ujinga ninkutokuwa na info za kutosha.

PK kaanza vita akiwa kijana mdogo sana na alishiriki vita ya Uganda mstari wa mbele kabisa km kiongozi wala sio informer,umepotoshwa..soma!

PK ndie aliemfurusha Idd Amin ndipo akina Mayunga wakafuata..soma!

M7 alipoingia madarakani alimpa cheo PK cha kusimamia na kulinoa jeshi la Uganda...soma!

Baadae PK alirudi msituni kuikomboa Rwanda chini ya utawala wa wahutu...soma!

Hakuna vita PK aliwahi kushindwa,ndje jasusi bora kabisa kuwahi tokea kusini mwa sahara...US wanajua,Nyerere,JK,JPM hawa wote na ubabe wao kwa 'slim' hawakuwahi kumchokoza

Wewe una taarifa sahihi sana za PK.

Jeshi letu lina idadi kubwa ya wanajeshi lakini halina ubora wowote ukilinganisha na la Rwanda.

PK ni level nyingine kabisa acha atudharau km makomandoo wetu wanapigwa vibao na askari polisi hakuna namna,dharau lazima
Ahsante kwa kuappriciate kiongozi. PK Hawa vijana wa leo wanamchukulia kisportsport.
 
Ungekaa kimya hakuna ambaye angejua wewe ni mjinga, Mwaka 1978 kagame alikuwa na miaka mingapi na alikuwa wapi?
1978 tayari kagame alikuwa na miaka 21 kishapata mafunzo ya juu ya kijeshi hapa nchini akitokea kambi ya wakimbizi.

Uliza lingine...feeble minded person.

Wewe miaka 21 bado unachezea tope uwanja wa fisi manzese halafu unafikiri wote tuko km wewe!
 
yaani jamaa alikumbuka walivyofurusha kule Drc Kongo alikokuwa kaweka mgambo wake,ss akawa anajiuliza ndio hawa hawa walinifanyia noma au wengine,ha ha ha kumbe ndo hao hao,Kama analeta dhrau basi ajaribu aone watakachomfanya,aulize Amin dada nn klmtokea !?,Kama Kenya wenyewe mpaka leo bado hawanaga uhakika wa estimate ya uwezo wa jwtz,ukiwauliza je kdf na jwtz Kama zikipigwa mtatoboa,wanakwambia ooh kwa vita ya ardhi mnaweza kutupiga lkn angani hamtuwez,ukweli jwtz tangu enz za mwal. iko fiti na high molale Hadi leo,si marine,si anga si ardhini.
Akawa anajiuliza ndio hawa hawa walinufanyia noma au wengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Ni komando yule na alipindua nchini na akaamua kung'ang'ania madaraka!
 
Wee ndiye mjinga, kama wataka tutukanane. Una elimu gani wee? Nchi zinaonesha zana za kivita katika siku za Taifa aidha kuonesha walipofikia katika kutengeneza silaha (hilo halipo) au jinsi walivyo na silaha za kisasa (kwa wale wasiotengeneza). Huwezi kuonesha silaha za zamani kwa exhibition. Labda wewe ndiye limbukeni unayetaka kuona. Lakini wamwonesha Uhuru au Kagame...yaingilika akilini? Nani asiyejua Mig 21 au makombora ya kawaida ya surface-to-air?
i have noticed the kid i'm arguing with is a fool.
giphy.gif
 
Soma ukusanye maarifa,usikusanye ujinga

kwa mjinga maarifa sahihi kwake ni ujinga,na upumbavu kwake ndo maarifa.

Wewe ulitaka niandike nini unachoona ni sahihi na kwa source ipi?
[emoji706][emoji706]
Tupe source Kagame aliongoza majeshi kumtoa Amin Uganda.
 
Tupe source Kagame aliongoza majeshi kumtoa Amin Uganda.
Acha kutembelea kwenye hoja yangu...
Tafuta source mwenyewe au hujui kusoma?

Sema nipe siyo tupe...Unafikiri watu wote wanaomba source?
Umu mjinga ni wewe tu
 
Ndio maana nikakuambia acha utoto najua hujui unachokisema au husemi kwa kumaanisha ndio nikakuuliza au unatafuta habari?
Ndani ya mjadala huu mjinga ni wewe tu...wengi wana taarifa sahihi maana hili linajulikana na taarifa zipo..tafuta mwenyewe usitupe kazi za kijinga kwa ujinga wako
 
Ndani ya mjadala huu mjinga ni wewe tu...wengi wana taarifa sahihi maana hili linajulikana na taarifa zipo..tafuta mwenyewe usitupe kazi za kijinga kwa ujinga wako
Wengi wanataarifa mbona hatuzioni hizo taarifa PK anafoleni mbali sana kwa TZ ndio maana baada ya kauli yake tata kwa JK alinyooshwa na akaomba yaishe.
 
Back
Top Bottom