Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Acha uongo kijana! Hivi unawajua askari ambao walikuwa mstari wa mbele kwenye Vita vya Kagera, au unaropoka tu?! Hebu tujuze, huyo PK aliongoza kamandi ipi wakati wa kumtoa Idd Amini?!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]acha uongo jk ndiyo alimnyoshaa aliwapiga wale m23 had nyumbani kwake kabisa Rwanda na hakuna kitu alifanya
 
Msubhati....ndugu zako wana ujasiri wa kupiga wanawake na kuchomana visu. Dunia ya Sasa hakuna vita ya kutumia visu! Wakati Wazaramo wanasimama na Mwarabu,Mjerumani na baadae Muingereza ndugu zako walikuwa wanalima mtama.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Uchokonozi
 
Huyo jamaa yaelekea ni mtutsi ndiyo maana anampamba na kumuoverate huyo muuaji. Watutsi mahali popote wanajiona wao ni bora.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huku Congo ikishika nafasi ya 9?

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] akili kichwani
 
Mkuu,kuna "vibuyu vya asali" vya Kagame ndiyo vinamsifia humu. Achana nao.
 
Hahahaaaaaa...
Ngoja nikae kimya maana naona "vibuyu vya asali" vya bwana tolu vimekurupuka.
 
Kwani umelazimishwa kui - click mada hii na kuisoma...??

Unachokiona "not constructive" kwako, kwa wengine ni very constructive....

Ukiona mada haikupi manufaa kuchangia au hata kuisoma tu, anza mbele nenda zako kilabuni ukanywe ulanzi...

Mbaya zaidi hapa ni kuwa, umetumia lugha mbaya, ya kuudhi na chafu kumkosoa mwenzako kana kwamba amekuingilia chumbani kwako bila kubisha hodi...

Acha hizo bwana. Tuheshimiane tu kwa sababu hakuna gharama yoyote ktk kuwaheshimu wengine na mawazo yao....!!
 
Kumchokoza Kivipi ?
Kwani Tz imeshachokoza nchi yoyote ?
Sera ya Tz sio kuchokoza ni kusaidia nchi zote ikiwemo rwanda , wakimbizi wengi walikimbilia huku kuokoa maisha yao

Kazi ya Jw ni kulinda mipaka na Hakuna nchi yoyote iliyodhubutu kupunja ardhi ya Tz.
Pk na Museveni walifundishwa Tz
America inaelewa umuhimu wa Tz Katika kustabalize Amani ya ukanda wa maziwa Makuu na kusini na Ndio maana wanashiriki pamoja Katika mazoezi ya Kijeshi na mafunzo
 
Msubhati....ndugu zako wana ujasiri wa kupiga wanawake na kuchomana visu. Dunia ya Sasa hakuna vita ya kutumia visu! Wakati Wazaramo wanasimama na Mwarabu,Mjerumani na baadae Muingereza ndugu zako walikuwa wanalima mtama.
Yaani waarabu si watu wakujivunia kabisa!! mazee ni aibu sana, kuishi na Muarabu! ila wazaramo mnapendaaa!! sababu yao ukinenepa tu makalio! yooo! unawekwa ndani wanakupa unachotaka faster! wanatamka toto mashalah nabendesa sana! wale siyo kabisa!!

halafu wanakufanya nyoronyoro wanakupaka mafuta!! weye waona sifa mkuu? unapenda kupakwa mafuta tu huna lolote! oooh! yes! wanaume kurya pipo wanashika jembe hasa la ng'ombe wanajilisha. tena umesema vizuri sana! una akili! na ndivo walivo wakurya!

ke wa kikurya akireta ujinga ni mikwaju tu! tena wana adabu mno!! kurya akiolewa na mzaramo ujipange atakuliza kila siku! lkn ke Mzaramo anakuacha umelala ndani anakwenda ngomani mweee!!! na

huko nako unajua wanachofanywa unaona sifa, imebakia siri yenu moyoni sawa bana ...hapa sisemi saaana.........lkn ujue ile siyo sifa jifunze kwa kurya pipo....
 
Hata pk anga za mahita hatoki

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Msubhati....tunazungumzia kupambana sio kukaa na waarabu. Rudi kusoma historia! Nimekaa Mara miaka sita, najua vizuri wakurya kuanzia Mugumu, waliopo Bunda,Tarme...ujanja na ujasiri wao ni kutandika wanawake na kupigana kwa kutumia mapanga.

Mashoga wengi wanatoka huko mikoani.
 
Siku zote Paul Kagame anaona watanzania hatuna akili kutokana na kuacha rasilimali zetu ziwanufaishe wazungu na kuacha watanzania kwenye lindi la umasikini.
 
Kwa hiyo Jeshi la watanzania makabila 120 liwe la kabila moja tu?!? Unatuongelea hisia tu......
Woote hao waoga waoga tu!! walikuwa wanatoroka kwenda kujiunga na Jeshi tangu enzi za Mkoloni! na hata ivo hayo makabila yoote toa majirani zake na watani zake Mkurya!! sababu hao wote ni masalia ya wakurya, km Waha, wahaya, wanyanturu,nk!!

Hao wana damu zetu! kabisa wake zao tuliwazalisha bure tena sana! wanatuheshimu tangu zama, Hata hao wazaramo wachache tulishawapa mbegu! ukiona makabila mengine wanajiunga fuatilia utaona ni Damu ya kikurya tupu! au kanda ya ziwa kwa asili!! hata Marais waliotoka maeneo hayo ni wakakasi!

Wazungu na jeuri yao yote!! hawakuthubutu kamata mtumwa Kanda ya ziwa! kichapo walichokuwa wanapata! heee!!! walipokuja tawala sasa kikoloni wakatupatia jeshi looote KAR! tukawa amjemedari mpaka leo!! wanatutaka!

Wake zetu wanatupenda tumewajengea pareeee kipunguni, Mwanaghati nk! na hawatishwi na vibaka! kifupi wanajilinda....km umechoka maisha kawaibie uone!! kina nani wameweza haya Tanzania hii!!

hao!hao! wake zetu wanalisha mayai Bongo nzima!! mnapaswa kutushukuru mnapokula chips mayai!! hela wanapeleka Musoma! tuna nunua ng'ombe tuna walisha tena nyama DSM uongo? nenda kusini Ruvuma huko!! wamebeba the big four km unazijua!

Sasa waliokimbilia jeshi wanaona kurya wanafaidi ngoja vita ije uone!!! TZ matapigwa km hamna akili nzuri!!!.... na kaburu anajua mziki wa wakurya kule South!! kaburu walikuwa wanatwa woake zao bure!! ndo maana Musoama damu ya kaburu ni nyingi!!

hata wewe ukitaka unapewa damu ya kishujaa! kutoka Mara! Muraaaaa! ongea na mkeo tu!! Mara hoyeeeeeeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…