Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Kwanza sijui kwa nini tunaonesha mambo mengi sana ya kijeshi siku ya maadhimisho ya Uhuru mbele ya wageni ambao potentially wanaweza kuwa maadui zetu. Tunaonesha ndege, vivaru, mizinga, magari ya kijeshi, ambulance, etc, mbele ya halaiki ya wageni. Tunatambua kwa wananichi maonesho hayo ni very interesting, lakini kwa nini yasitafutiwe siku yake kama siku ya mashujaa. Kwenye maadhimisho ya siku ya Uhuru tubaki na gwaride na hotuba fupi?
 
Wewe jamaa utakuwa Mwanajeshi au Komando kabisa ambaye ulikuwa kwenye maonyesho ya Uhuru.Wongo kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lazima atudharau, Taifa kubwa halina askari shupavu na wabunifu, dhana za mkoloni.
Ingia youtube uone vijana wa PK walivyo wakakamavu.
Nchi hii kila kitu utopolo tu
Unaonaje km ukihamia Rwanda??.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Mkuu, kwani wewe si unajua conventional warfare ilivyobadilika tayari? Ukiacha umahiri wa kupambana ardhini, kwa mfano akina green berets, special marine forces na wenzao wa aina ile leo hii kuna vijimambo vya maajabu ya "lasers", "drones" akina hypersonic missiles n.k. .... sasa hawa wakwetu akina ROTC Msata na wenzao na museum ya hardware za kichina si uchekee tu?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Huyo ndio kagame mtutsi. Hua wanajiamini na kwa asili wana dharau.
 
Today military parade, was it a show off or a way of telling the noisy neighbours to shut up?
Kagame wala alikuwa anaangalia tu pili ni ufinyu wa uelewa nchi zote duniani hufanya military parade Hilo ni gwaride la kawaida linalohusisha gwaride la miguu na gwaride la zana za kivita sio maonyesho ya zana za kivita ni gwaride
 
Leta ushahidi wa video! Wengine tulikuwa tunakinga maji ya mvua wakati watukio hilo kama liikuwepo.
 
Unaonaje km ukihamia Rwanda??.
Nihamie mara ngapi?
Nchi hii ina maphaller wengi sana ndio maana wanasiasa wananeemekea uphaller huu.
Hamtaki kuusikia ukweli, mmejaa ubishi wa kimavymavy tu
 
Umenena mkuu,ni ushamba kiwango cha sgr.
Pale ingekua ni ngoma za kimakonde,Nuta jazz ,mbaraka mwinshehe hotuba hala waende kula ubwabwa.
PK alishtuka sasa mambo ya kivita vp tena .
Maana kashiriki sana pande hizo, watu hao wanakuwaga na brain trauma.
Nafkiri alikua mbali sana kushtukia wale jamaa wanavyofanya pale akikumbuka miaka yake.
Na nakuhakikishia yule jamaa hakua na dharau yoyote..
Kuona yale mambo pale akikumbuka yupo tena ardhi ileile alitunguliwa habyarimana akirudi kigali akitoka bongo na yaliyotokea
Anapata maruweruruwe.
Labda anaona kaibgia tego la panya.
Mkwere yupo tu remote yake full charge
 
Hata wale ma boxer ukiwaona kwenye meda tour utasema jamaa ulingoni atauwa ila akiingia sasa ngumi moja anaweza kulala ukajiuliza ndio yule aliyekuwa anapiga kelele ndio kama hizi show off
 
CCM wametuharibia jeshi letu, tupo nyuma mno ki teknonilia ya kijeshi na zana za kivita za kisasa., tukizubaa hata kagame anatubokoa.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Askari hawakuonyesha ukakamavu unaostahili na vifaa vyao vyakizamani sana. Elewa Kagame ni generali na mpiganaji mahiri
 
hii ni komenti ya kitoto sana!
 
Mkuu darcity ,kongole maana maandishi yako yamemaliza kila kitu.
JWTZ ndiyo jeshi bora zaidi kusini mwa jangwa la Sahara. Anayebisha na abishe.
Kwa sisi tunaowasiliana na watu toka nchi mbalimbali,wanatuambia tuna jeshi la mfano katika Afrika.
Kagame anajua.
Nyusi anajua.
Museveni anajua.
Haikande anajua.
Ramaphosa anajua.
Tsishekedi anajua.
Farmaajo anajua.
Mohamed Abdullahi anajua.
Uhuru anajua.
Salva Kiir anajua.
Chakwera anajua.
Kuangaliwa kwa jicho zuri au baya,kwa dharau au heshima, haviondoi ukweli kwamba JWTZ ni balaa.
Taasisi pekee ambayo bado haijaingiliwa na kunajisiwa Tanzania ambayo Watanzania wanao uwezo wa kujivuna nayo ni JWTZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…