Kwanini Paul Kagame aangalie jeshi letu kwa dharau likionesha uwezo wake kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru?

Hao hao ndio waliomfurumusha kule Congo DRC kwa jina la M23....hawawezi kamwe. Ana wagambo wanaosumbua disorganized armies Kama DrC Congo,UPDF,wale Magaidi wa Mozambique,Waasi wake n.k.

Jwtz ni organized, experienced and well equipped army. There is nothing to compare with tiny Rwandan Army.
Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.

Jeshi lake ni dogo lakini ni jeshi lililo imara na limekuwa tested kwenye trenches katika operations mbalimbali. Mobutu ameondolewa na Kagame via Laurent Desire Kabila hilo halina ubishi. Ameivuruga Kongo anavyotaka.amepimana msuri na Kaguta Mseveni ndani ya Kongo pale Kisangani miaka ya mwanzoni mwa 2000 na akamuonesha show ya kibabe. Na hawa wawili wote ni wafugaji,wamesoma wote na pia wamefanya harakati za mapambano wote.

Ripoti ya CIA inasema mataifa makubwa ya Zimbabwe na Angola yaliopogundua jeshi la Rwanda taifa dogo kuidhibiti Kongo na kuchuma mali,nao wakatuma majeshi yao Kongo kwa lugha ya kulinda amani Ila lengo ilikuwa kuidhibiti Rwanda na kuipunguzia ushawishi kwenye kanda ya maziwa makuu. Huyo ndo Kagame. Lakini wapi mda huu tukijadili haya jeshi la Kagame lipo Msumbiji likiwafyeka magaidi.

So kuliangalia jeshi letu kwa dharau yuko sahihi ,hapa kwetu tuna majenerali wanastaafu hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano. Kazi kupasua matofali only for domestic intimidation kwa wapinzani wa CCM.
 
Thanks for sharing comrade [emoji1431]
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Hv mbona watz wanamhara sana pk? Kuna nn hapo ruwanda kwa wahutu na watutsi? Mbona washamba tu! Akuje baas ajarbu aonee
 
Lazima atudharau, Taifa kubwa halina askari shupavu na wabunifu, dhana za mkoloni.
Ingia youtube uone vijana wa PK walivyo wakakamavu.
Nchi hii kila kitu utopolo tu
Peleka takle lako uone kama siyo wakakamavu
 
Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.

Jeshi lake ni dogo lakini ni jeshi lililo imara na limekuwa tested kwenye trenches katika operations mbalimbali. Mobutu ameondolewa na Kagame via Laurent Desire Kabila hilo halina ubishi. Ameivuruga Kongo anavyotaka.amepimana msuri na Kaguta Mseveni ndani ya Kongo pale Kisangani miaka ya mwanzoni mwa 2000 na akamuonesha show ya kibabe. Na hawa wawili wote ni wafugaji,wamesoma wote na pia wamefanya harakati za mapambano wote.

Ripoti ya CIA inasema mataifa makubwa ya Zimbabwe na Angola yaliopogundua jeshi la Rwanda taifa dogo kuidhibiti Kongo na kuchuma mali,nao wakatuma majeshi yao Kongo kwa lugha ya kulinda amani Ila lengo ilikuwa kuidhibiti Rwanda na kuipunguzia ushawishi kwenye kanda ya maziwa makuu. Huyo ndo Kagame. Lakini wapi mda huu tukijadili haya jeshi la Kagame lipo Msumbiji likiwafyeka magaidi.

So kuliangalia jeshi letu kwa dharau yuko sahihi ,hapa kwetu tuna majenerali wanastaafu hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano. Kazi kupasua matofali only for domestic intimidation kwa wapinzani wa CCM.
Kumbe ndiyo maana kalidharau Sana JWTZ. Hadi Masanja alipokuwa akichekesha aliamua kushauri tuanzishe Vita na Rwanda.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
PK alikata mguu muda mrefu hadi Magufuli alivyofariki hakuonekana msibani, kulikoni leo karudisha mguu......au kuna ushawishi anautafuta kwa hangaya.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Huyu jamaa mnapenda kumpraise utafikiri ni rais wa US au Israel.. wabongo ulimbukeni na kujidharau ni jadi mbaya sana.
Kauli(thought) ya kijinga kama hii huwezi isikia kwa mkenya wala mganda.
 
Mh! Waganda wapi hao unawa-refer ndugu? Waganda hawa waliomwita Museveni makalio ndo unawasemea au waganda wengine? Pengine nimesoma vibaya.
 
Tatizo la sisi Watanzania baadhi yetu tunajifanya ni wajuwaji sana kumbe akuna kitu
Ni kawaida tu mkuu maana hata tumbo ndio hua linajamba lkn matako ndio yanasingiziwa wkt ukweli yenyewe Ni spika tu.
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
dah niliiona mpaka nikamwambia wife tukabakia kimya tu sometime alikuwa mpaka anakunja sura
 
Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..
In order to outsmart that guy, you must think like him,,, he is very smart
Black hawker ile ile ya somalia!!?
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
written by number one popoma himself
 
Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.

Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!

Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Yale maonesho ya kijeshi yalikuwa ya mchongo mchongo... substandard kabisa...
Ulitegemea reaction zipi kutoka kwa wazoefu wa medani kama kina PK??
 
Back
Top Bottom