Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenyewe kavaa barakoa huko kunyali wamekuonaje?Lete ushahidi wa picha!!! Kagame hawezi kuchezea waalimu waliomfundisha.
Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.Hao hao ndio waliomfurumusha kule Congo DRC kwa jina la M23....hawawezi kamwe. Ana wagambo wanaosumbua disorganized armies Kama DrC Congo,UPDF,wale Magaidi wa Mozambique,Waasi wake n.k.
Jwtz ni organized, experienced and well equipped army. There is nothing to compare with tiny Rwandan Army.
Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.
Jeshi lake ni dogo lakini ni jeshi lililo imara na limekuwa tested kwenye trenches katika operations mbalimbali. Mobutu ameondolewa na Kagame via Laurent Desire Kabila hilo halina ubishi. Ameivuruga Kongo anavyotaka.amepimana msuri na Kaguta Mseveni ndani ya Kongo pale Kisangani miaka ya mwanzoni mwa 2000 na akamuonesha show ya kibabe. Na hawa wawili wote ni wafugaji,wamesoma wote na pia wamefanya harakati za mapambano wote.
Ripoti ya CIA inasema mataifa makubwa ya Zimbabwe na Angola yaliopogundua jeshi la Rwanda taifa dogo kuidhibiti Kongo na kuchuma mali,nao wakatuma majeshi yao Kongo kwa lugha ya kulinda amani Ila lengo ilikuwa kuidhibiti Rwanda na kuipunguzia ushawishi kwenye kanda ya maziwa makuu. Huyo ndo Kagame. Lakini wapi mda huu tukijadili haya jeshi la Kagame lipo Msumbiji likiwafyeka magaidi.
So kuliangalia jeshi letu kwa dharau yuko sahihi ,hapa kwetu tuna majenerali wanastaafu hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano. Kazi kupasua matofali only for domestic intimidation kwa wapinzani wa CCM.
Hv mbona watz wanamhara sana pk? Kuna nn hapo ruwanda kwa wahutu na watutsi? Mbona washamba tu! Akuje baas ajarbu aoneeKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
PK ni kijana wetu. Ujasusi kaanza kujifunzia bonge hivyo lazima awe na heshima hawezi kuleta dharau.Ukute sisi tusiojua kitu tunaona onyesho la JWTZ limeenda sawa ila kamanda jasusi PK kaona makosa mengi kwenye izo mambo.
Peleka takle lako uone kama siyo wakakamavuLazima atudharau, Taifa kubwa halina askari shupavu na wabunifu, dhana za mkoloni.
Ingia youtube uone vijana wa PK walivyo wakakamavu.
Nchi hii kila kitu utopolo tu
Kumbe ndiyo maana kalidharau Sana JWTZ. Hadi Masanja alipokuwa akichekesha aliamua kushauri tuanzishe Vita na Rwanda.Kagame ni general aliyechukua mafunzo ya juu kabisa kwenye chuo cha maofisa wa kijeshi USA Cha General Staff Colldege kilichopo Fort Leavenworth,Kansas. Ni jasusi aliyeiva kwelikweli.
Jeshi lake ni dogo lakini ni jeshi lililo imara na limekuwa tested kwenye trenches katika operations mbalimbali. Mobutu ameondolewa na Kagame via Laurent Desire Kabila hilo halina ubishi. Ameivuruga Kongo anavyotaka.amepimana msuri na Kaguta Mseveni ndani ya Kongo pale Kisangani miaka ya mwanzoni mwa 2000 na akamuonesha show ya kibabe. Na hawa wawili wote ni wafugaji,wamesoma wote na pia wamefanya harakati za mapambano wote.
Ripoti ya CIA inasema mataifa makubwa ya Zimbabwe na Angola yaliopogundua jeshi la Rwanda taifa dogo kuidhibiti Kongo na kuchuma mali,nao wakatuma majeshi yao Kongo kwa lugha ya kulinda amani Ila lengo ilikuwa kuidhibiti Rwanda na kuipunguzia ushawishi kwenye kanda ya maziwa makuu. Huyo ndo Kagame. Lakini wapi mda huu tukijadili haya jeshi la Kagame lipo Msumbiji likiwafyeka magaidi.
So kuliangalia jeshi letu kwa dharau yuko sahihi ,hapa kwetu tuna majenerali wanastaafu hawajawahi kuwa tested kwenye mapambano. Kazi kupasua matofali only for domestic intimidation kwa wapinzani wa CCM.
PK alikata mguu muda mrefu hadi Magufuli alivyofariki hakuonekana msibani, kulikoni leo karudisha mguu......au kuna ushawishi anautafuta kwa hangaya.Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Niletee takle lako uone kama sitakufanyizia pia.Peleka takle lako uone kama siyo wakakamavu
Yeye kwanini hakuipotezea ya kagame au na wewe unanipangia cha kupost?Usiwapangie watu cha kupost kama unaona haikufai ipotezee tu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa mnapenda kumpraise utafikiri ni rais wa US au Israel.. wabongo ulimbukeni na kujidharau ni jadi mbaya sana.Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Mh! Waganda wapi hao unawa-refer ndugu? Waganda hawa waliomwita Museveni makalio ndo unawasemea au waganda wengine? Pengine nimesoma vibaya.Huyu jamaa mnapenda kumpraise utafikiri ni rais wa US au Israel.. wabongo ulimbukeni na kujidharau ni jadi mbaya sana.
Kauli(thought) ya kijinga kama hii huwezi isikia kwa mkenya wala mganda.
Ni kawaida tu mkuu maana hata tumbo ndio hua linajamba lkn matako ndio yanasingiziwa wkt ukweli yenyewe Ni spika tu.Tatizo la sisi Watanzania baadhi yetu tunajifanya ni wajuwaji sana kumbe akuna kitu
dah niliiona mpaka nikamwambia wife tukabakia kimya tu sometime alikuwa mpaka anakunja suraKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Black hawker ile ile ya somalia!!?Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..
In order to outsmart that guy, you must think like him,,, he is very smart
Mnampaisha Sana huyo jamaa,Ni lofa tu.Mtu pekee anaeweza kumu outsmart PK ni JK na mimi tu,, huyu jamaa tayari ana Blackhawk attack helcopters, na hii ni tabu kweli kweli,, inabidi angalau nasisi tutafute HIND..
In order to outsmart that guy, you must think like him,,, he is very smart
written by number one popoma himselfKtk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Yale maonesho ya kijeshi yalikuwa ya mchongo mchongo... substandard kabisa...Ktk maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wetu leo, Rais PK sikumuelewa vizuri.
Kwa wale walioshuhudia jicho lake wakati akiwaangalia Makomando wetu, gwaride na silaha zetu mtagundua Kuna walakini!!
Mbona Kama alikuwa na Dharau Sana?
Omba fiendly ujiridhishe uboya wake...Mnampaisha Sana huyo jamaa,Ni lofa tu.