Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Siasa bhana hazitabiriki kabisa.

Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA.

Namsubiri mNEC mzee Mgaya aje anipe ufafanuzi.

Maendeleo hayana vyama!
 
Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
 
Kwa kuwateua wale waliokataliwa na wajumbe kuwa wagombea,ccm[JIWE] imeweka credibility yake on the line. Msije mkashangaa kuwa wote wakashindwa kwani wajumbe ndio wapiga debe huko kwenye constituencies!!!! Kushindwa kwao kutaonesha kutokubalika kwa JIWE.
 
Na chadema? Maana nao kuna waliowateua waliokataliwa kura za maoni
Kwa kuwateua wale waliokataliwa na wajumbe kuwa wagombea,ccm[JIWE] imeweka credibility yake on the line. Msije mkashangaa kuwa wote wakashindwa kwani wajumbe ndio wapiga debe huko kwenye constituencies!!!! Kushindwa kwao kutaonesha kutokubalika kwa JIWE.
 
Mabeberu walifikisha faili la Makonda, hivyo ikawa hakuna namna ikabidi Mzee baba atengeneze mazingira ya kumuondoa kwa njia iliyofanyika. Win win situation serikali ya CCM imeepukana na mbinyo bila wananchi kujua kuwa ni mbinyo wa mabeberu, wakati mwingine kama alivyosema Palamagamba Kabudi masuala mengine yanafanyika kwa siri kulinda heshima.
 
Back
Top Bottom