Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Mnasahau kwamba huyo Paul hata elimu yake ni shida. Yeye safari hii atabaki kulea mwanae wa kichina tuu hakuna namna
Duh.. Mungu anakuona, sio kwa hasira hizo aisee, nadhani makahaba sio type yake, ungeokoka kwanza ili umshawishi, leo sidhan kama ungeandika maandiko yasio na utu kiasi hiko.
 
picha linajieleza...

2464227_2.jpg
 
Hapana aisee kwa haya ni wazi kuwa Paul Makonda kaonewa sana. Nimejikuta nikipata huruma juu yake maana si kwa faulo hii iliyochezwa.

Yani mfano kwa Shinyanga mjini mtu kakataliwa na wajumbe 456 kapata kura 12 tu eti ndiye amepitishwa? Hapana!

Pia nimegundua kumbe ile hama hama ilikuwa ni makubaliano endelevu.

Makonda umeonewa na nasimama na wewe leo.
 
CCM inaangamia kwa watu wake kukosa maarifa yakiwemo hata maarifa madogo tu ya kusoma alama za nyakati.

Kwa kutompitisha Makonda,naweza sema walau hapa wamesoma alama za nyakati kwani kwa kumpitisha, ingewagharimu CCM nchi nzima mpaka mgombea wao wa uraisi.

Kwa upande wa Katambi, Katambi atakataliwa na wana-CCM ,wapinzani na wasio na vyama pia.
 
Hapana aisee kwa haya ni wazi kuwa Paul Makonda kaonewa sana. Nimejikuta nikipata huruma juu yake maana si kwa faulo hii iliyochezwa.

Yani mfano kwa Shinyanga mjini mtu kakataliwa na wajumbe 456 kapata kura 12 tu eti ndiye amepitishwa? Hapana!

Pia nimegundua kumbe ile hama hama ilikuwa ni makubaliano endelevu.
Makonda umeonewa na nasimama na wewe leo.
Sasa mkuu ulitaka Makonda apitishwe alafu Upinzani wapate cha kusemaa yani hii ni Tactical move moja makini sanaaa na Atateuliwaa
 
Hapana aisee kwa haya ni wazi kuwa Paul Makonda kaonewa sana. Nimejikuta nikipata huruma juu yake maana si kwa faulo hii iliyochezwa.

Yani mfano kwa Shinyanga mjini mtu kakataliwa na wajumbe 456 kapata kura 12 tu eti ndiye amepitishwa? Hapana!

Pia nimegundua kumbe ile hama hama ilikuwa ni makubaliano endelevu.
Makonda umeonewa na nasimama na wewe leo.
Kwa nini hakuwatumia wale wajuba aliotimba nao Clouds Media?
 
Back
Top Bottom