Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Hapana aisee kwa haya ni wazi kuwa Paul Makonda kaonewa sana. Nimejikuta nikipata huruma juu yake maana si kwa faulo hii iliyochezwa.

Yani mfano kwa Shinyanga mjini mtu kakataliwa na wajumbe 456 kapata kura 12 tu eti ndiye amepitishwa? Hapana!

Pia nimegundua kumbe ile hama hama ilikuwa ni makubaliano endelevu.
Makonda umeonewa na nasimama na wewe leo.
Mpeni fomu huko Chadema,
 
Habari ni kuwa Makonda alikuwa atumbuliwe kabla ya kampeni kuanza ili impe JPM credit , sasa yeye akaustukia machezo akajiengua mapema! Hizo hazikuwa habari njema kwa mkuu, akakasirika sana kwani amemharibia mahesabu. Kwa sababu hiyo sioni ajabu Makonda kutopata uteuzi wa Ubunge.
 
Sijakubaliana kabisa na mm kukatwa nahamia rasmi cdm....Tundu Lisu oyeee!!
 
Habari ni kuwa Makonda alikuwa atumbuliwe kabla ya kampeni kuanza ili impe JPM credit , sasa yeye akaustukia machezo akajiengua mapema! Hizo hazikuwa habari njema kwa mkuu, akakasirika sana kwani amemharibia mahesabu. Kwa sababu hiyo sioni ajabu Makonda kutopata uteuzi wa Ubunge.
[emoji23][emoji23][emoji23]hata Mimi nilijua ndio lengo la mkuu ili a win mass support Ila makonda naye angecheza kwa step tu. Pole yake Mimi naona bashite Ni mpambanaji asiye choka
 
Habari ni kuwa Makonda alikuwa atumbuliwe kabla ya kampeni kuanza ili impe JPM credit , sasa yeye akaustukia machezo akajiengua mapema! Hizo hazikuwa habari njema kwa mkuu, akakasirika sana kwani amemharibia mahesabu. Kwa sababu hiyo sioni ajabu Makonda kutopata uteuzi wa Ubunge.
Aisee kwahiyo katibua mipango
 
Haiwezekani makonda kafanyiwa zengwe

Ova
 
Back
Top Bottom