blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
Nnachowapendea Team Makonda hamkati tamaa...Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nnachowapendea Team Makonda hamkati tamaa...Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
Kama jiwe atashinda atamteua ubunge viti maalum kisha atamuundia wizara maalum ya kikosi kazi cha utekaji na uuaji!
Kwa kuwateua wale waliokataliwa na wajumbe kuwa wagombea,ccm[JIWE] imeweka credibility yake on the line. Msije mkashangaa kuwa wote wakashindwa kwani wajumbe ndio wapiga debe huko kwenye constituencies!!!! Kushindwa kwao kutaonesha kutokubalika kwa JIWE.
time will tell mimi siyo team Makonda hataNnachowapendea Team Makonda hamkati tamaa...
Mabeberu walifikisha faili la Makonda, hivyo ikawa hakuna namna ikabidi Mzee baba atengeneze mazingira ya kumuondoa kwa njia iliyofanyika. Win win situation serikali ya CCM imeepukana na mbinyo bila wananchi kujua kuwa ni mbinyo wa mabeberu, wakati mwingine kama alivyosema Palamagamba Kabudi masuala mengine yanafanyika kwa siri kulinda heshima.
Time has told brother....time will tell mimi siyo team Makonda hata
Habari ni kuwa Makonda alikuwa atumbuliwe kabla ya kampeni kuanza ili impe JPM credit , sasa yeye akaustukia machezo akajiengua mapema! Hizo hazikuwa habari njema kwa mkuu, akakasirika sana kwani amemharibia mahesabu. Kwa sababu hiyo sioni ajabu Makonda kutopata uteuzi wa Ubunge.
Wewe Ni CCM au.
Mkuu Nani alimteua Makonda kwenye Tume ya katiba na then ukuu wa wilaya. Ni JPM au MWINYI. Nimesahau nikumbushe.
Hakunaga.Nasikia yupo kwenye payroll ya tiss...?
Kwa elimu gani aliyokuwa nayo....!?Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
Hiyo hiyo