LOGARITHM
JF-Expert Member
- May 5, 2010
- 974
- 475
Pombe OUT na hivyo Makonda Out foreverHajatoswa...nafasi zingine zipo......subiri kidogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pombe OUT na hivyo Makonda Out foreverHajatoswa...nafasi zingine zipo......subiri kidogo
Ebana eeeee! aloooo ni hatari sanaMtu namna hii utamuachaje kwa akili ya kawaida? Endelea
Probably YesMabeberu walifikisha faili la Makonda, hivyo ikawa hakuna namna ikabidi Mzee baba atengeneze mazingira ya kumuondoa kwa njia iliyofanyika. Win win situation serikali ya CCM imeepukana na mbinyo bila wananchi kujua kuwa ni mbinyo wa mabeberu, wakati mwingine kama alivyosema Palamagamba Kabudi masuala mengine yanafanyika kwa siri kulinda heshima.
USA akikupiga ban nani atakuteua? Ndio mana wameamua akae pembeni tu.Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
Kama jiwe atashinda atamteua ubunge viti maalum kisha atamuundia wizara maalum ya kikosi kazi cha utekaji na uuaji!
Juzi kajianzishia Uzi humu wakumshambulia lissu na mzee hupita humu, pia Ndugai naye kachangia yeye kukatwa piaLakini pia mshindani wake kuna muda aliwakorofisha Viongozi wa kitaifa...alikua kwenye mafaili ya mangula Kwa muda...Katambi alifanya smart move kwenda kugombea Shinyanga kwani alishajua mapungufu ya mshindani wake.
Wakurugenzi wa taasisi kubwa na makatibu wakuu wa wizara hawaokotwi barabarani mkuu. Hao lazima wawe wajuvi na wenye uzoefu wa kutosha, huyo uliyemtaja hawezi kutosha hapo.Usije shangaa kateuliwa kuwa mkurugenzi wa taasisi kubwa au katibu wa wizara
Yap! Nimekumbuka Mkuu! Ilikuwa lazima Masele aadhibiwe!Uyo alikua na bifu na Ndugai asingerudi au mmesahau ..
Hapana mkuu wewe ndo umechanganya! Stephen Masele, ndiye alikuwa Mbunge wa Pan, na mbunge wa Shy town.Unachanganya Mafaili mkuu.
Huyo Makamu mwenyekiti Bunge la pan Ni masele wa Jimbo la Mbogwe Geita.
Na huyo masele mwingine ni Mbunge wa Shy Mjini alipopitishwa Katambi
Watu kama nyinyi ni hatari kwa ustawahi wa chama na nchi kiujumlaDogo Katambi kabebwa....kule wana CCM wanamtaka Masele; kama unabisha basi fika Shinyanga town sasa hivi uone kinachoendelea.
Jimbo ni kama limekabidhiwa upinzani rasmi...hakuna namna yoyote yule kijana wa x- CDM anaweza kutoboa pale...yaani kabebwa waziwazi huku wakati wafia chama....miaka nenda rudi wakiachwa midomo wazi!!
Wana CCM asili wamesema kubebana sasa basi kama ni kampeni makao makuu wahamie jimboni wampigie dogo kama wataweza.
Kamati ROHO MBAYA muda huu inaendelea na kikao chake.
Ahahaaa! Jamaa kaongea kwelikweli duh..!Mtu namna hii utamuachaje kwa akili ya kawaida? Endelea
Mganga wake aliyekuwa anampa kiburi amefariki huko Bagamoyo ndiyo maana siku hizi hakauki makanisani. Zile ndumba zimeshaekspaya na mimavi yake aliyokunya inaanza kunuka sasa.Bashite kilichompoza nivyeti vyake vya uvuvi