Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Mnasahau kwamba huyo Paul hata elimu yake ni shida. Yeye safari hii atabaki kulea mwanae tu hakuna namna

Wewe mwenye elimu hata udiwani au kujua jina lako bado.

Ndio maana huwa mnakuwa maskini kila siku.

He is a man
 
Wewe mwenye elimu hata udiwani au kujua jina lako bado

Ndio maana huwa mnakuwa maskini kila siku

He is a man
Nani kakuambia wenye elimu kubwa ndio huwa wabunge na madiwani?!

Unless unazungumza kinyume!
 
nani kakuambia wenye elimu kubwa ndio huwa wabunge na madiwani?!.

unless unazungumza kinyume!.

nani kasema neno 'elimu kubwa'?

Ukionyesha wapi nimesema hivyo nitakujibu

Kama sijaandika hivyo mahali, kaa kimya mpaka kiama
 
No.2 na no.3 heri wangepewa wao ila chai jaba hata ccm shy hawamjui,no.3 yeye ni mchanga hawezi kupewa jimbo ila pesa yake wanakula sana
Inasemekana Patrobas ndo kapeleka malalamishi NEC. Hao watano wote juu yake walitoa Rushwa.
 
Inasemekana Patrobas ndo kapeleka malalamishi NEC. Hao watano wote juu yake walitoa Rushwa.
Heri waliotoa rushwa,kuliko yeye alienunuliwa kama dada poa pale kona bar,huyu mpka saa sita salome alishashida...ccm hata ilazimishe makada kumnadi ila kura hawatampa shy upinzani unanguvu san.
Masele 2015 alishindwa sema kura zikasokotwa akapewa
 
Wewe mwenye elimu hata udiwani au kujua jina lako bado

Ndio maana huwa mnakuwa maskini kila siku

He is a man

For you yes is a man............................. not for me.

Aliekuambia ili uwe mtu lazima uwe Diwani au Mbunge nani? Nonsense!!!!! Ninyi ndio wale mnaowabebea na kuwatongozea wanaume wenzenu tena usinitetemeshe mie
 
Nasikia yupo kwenye payroll ya tiss...?
Kitambo sn huyo ndo mwanaccm jasiri kuzidi wote sio hao kina musiba wapiga kelele.

Huyu anafanya matukio yoyote machafu anayotumwa na ccm kuanzia kumpiga mzee Warioba
 
Siasa bhana hazitabiriki kabisa.

Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA.

Namsubiri mNEC mzee Mgaya aje anipe ufafanuzi.

Maendeleo hayana vyama!
naona wapinzani badala ya kupambana na mambo yenu mmeamua kugeukia kwa jirani. CCM ina kikosi kipana kama cha SIMBA yaani anatoka chuma cha pua, anaingia Chuma cha reli. Msiyempenda atarudi kwa UPEPO WA KIMBUNGA.
 
Siasa bhana hazitabiriki kabisa.

Bado sijavijua vigezo vya kumtosa kijana aliyeipigania CCM kwa jasho na damu Paul Makonda na kumpitisha Patrobas Katambi ambaye mchango wake mkubwa uko CHADEMA.

Namsubiri mNEC mzee Mgaya aje anipe ufafanuzi.

Maendeleo hayana vyama!
Alishindwa KIHALALI na Ndugulile sasa nyie mlitaka apitishwe kilazima na bila sababu? Waliokuwa wa kwanza na wamekatwa kuna sababu, hawajaonewa.
 
Sasa hivi CCM wanaenda kuingiza watu wa ajabu kweli kwenye bunge lijalo ,wacheza sinema za utupu ,wezi ,Wala rushwa , mafisadi
 
Attachments

  • Screenshot_20200821-002818.png
    Screenshot_20200821-002818.png
    81 KB · Views: 1
Back
Top Bottom