Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

Uchaguzi 2020 Kwanini Paul Makonda ametoswa na Patrobas Katambi amepata uteuzi?

mkuu alisema kuwa anajua kufanya kazi hta kama hana cheti kwahiyo tusubili tuonee


Unadhani yeye hakuona madhara ya kufanya kazi na mtu asie na upeo wala nini madhara yake ameyaona na sasa kamwacha acheze ngoma ya Kimarekani. Sitasangaa Manji akarudi hapa na kumsue huyu mtu.
 
Katambi ni usalama wa Taifa-CCM [emoji23][emoji23][emoji23]
Screenshot_20200821-120345.jpg
View attachment 1543970
 
johnthebaptist,

Sababu PM ana ugonjwa wa kudharau na kusahau kuwa, hata baharini anayevuma ni papa, ila wengine wapo. Kuna samaki wana umeme grid ya Taifa cha mtoto ila size zao kama kisosa cha chai ya mama ntilie
 
Sababu PM ana ugonjwa wa kudharau na kusahau kuwa,hata baharini anayevuma ni papa, ila wengine wapo. Kuna samaki wana umeme grid ya Taifa cha mtoto ila size zao kama kisosa cha chai ya mama ntilie
Hahahaaaa.......!
 
For you yes is a man............................. not for me.

Aliekuambia ili uwe mtu lazima uwe Diwani au Mbunge nani? Nonsense!!!!! Ninyi ndio wale mnaowabebea na kuwatongozea wanaume wenzenu tena usinitetemeshe mie

🙄🙄🙄🙄 Mkuu he is a man kwa kuwa mpambanaji!!!!

Ulichotafsiri sicho!!!

Pole
 
Hivi kwa nini watanzania ni mbumbumbu kama wewe?Ulishaambiwa watoa rushwa watakiona cha moto,sasa ulitaka Masele na rushwa yote abaki kisa wajumbe wamempigia kura?

Au kwa akili yako ya kiutopolo ulitaka Dr Ndungulile atoswe tu kwa ajili ya kumfurahisha Makonda pamoja na uadilifu na kupata kura halali bila rushwa?

johnthebaptist
 
Anaenda kuwa naibu spika....subili mwezi wa 11 utaona
 
Mabeberu walifikisha faili la Makonda, hivyo ikawa hakuna namna ikabidi Mzee baba atengeneze mazingira ya kumuondoa kwa njia iliyofanyika. Win win situation serikali ya CCM imeepukana na mbinyo bila wananchi kujua kuwa ni mbinyo wa mabeberu, wakati mwingine kama alivyosema Palamagamba Kabudi masuala mengine yanafanyika kwa siri kulinda heshima.
Kwa hali ilivyo wasingelazimisha Makonda pale Kigamboni, lakini wanaweza kumpa ubunge wa kuteuliwa kama watashinda!
 
johnthebaptist,

Mtukufu katika viti 10 kimoja ni cha Daud Bashite na kingine ni cha Mwakyembe na wote atawapa uwaziri huku Bashite makonda akiwa waziri wa mambo ya ndani ili awakomoe chadema na baadhi ya CCM wanaomsanifu sasa.
 
Kama watanzaniaa wangetambua kuwa hii nchi sio ya Mwenyekiti wa Chama chochote wala MTU yeyote na ikajengeka kwenye akili za watu hivyo ili kunusuru vizazi vijavyo basi Mh . Maselli anghamia Chama kingine na kuendelea kuwatumikia wapiga Kura wake

Lakini kwa sababu hii nchi inategemea hisani ya mtu mmoja basi Maseli asubiri uteuzi, na sijui kwa nini huyo Katambi aliyeacha Uteuzi na kukimbilia Ubunge amepewa na kuachwa Mbunge.

Lakini ni zamu ya sehemu mojawapo wanajua wenyewe wanachofanya na watavyopangana.
Siasa sihasa!!

Kwa kweli tumuunge Mkono Lisu hata kama hatapata lakini wapinzani wapate Wabunge na madiwani wengi sana. Demokrsia itazikwa Rasmi tarehe 28/10/2020 endapo CCM itashinda kwa bara na Visiwani.

Na hakuna atakayewalaumu mana tutakua tumewapa kazi ya kuzima demokrasia sisi wenyewe kupitia sanduku la kura.
 
Back
Top Bottom